Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kerr: Wembe ni ule ule

KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerr amesema haoni sababu ya kushindwa kuondoka na pointi tatu nyingine kwenye Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga itakapocheza na Mgambo Shooting kesho.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Mtibwa Sugar mwendo ni ule ule

mtibwa-picha-1NA ZAINAB IDDY

KOCHA Mkuu wa Mtibwa Sugar, Mecky Mexime, amesema licha ya kutofanya usajili katika kikosi chake hadi sasa katika usajili wa dirisha dogo, mwendo wao utakuwa ni ule ule kama walioanza nao Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu.

Katika msimamo wa ligi hiyo hadi sasa Mtibwa Sugar imecheza mechi tisa ambapo imeshinda mechi saba, sare moja na kupoteza mmoja.

Kwa matokeo hayo, Mtibwa inashika nafasi ya tatu katika msimamo  wa ligi hiyo wakiwa na pointi 22 nyuma ya Yanga waliopo nafasi ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Samata moto ule ule TP Mazembe

Mshambuliaji Mbwana Samata ameibuka shujaa wa TP Mazembe baada ya kuifungia bao pekee katika mechi dhidi ya AS Vita walipowakishinda bao 1-0 dhidi ya AS Vital katika mchezo wa kwanza wla Kundi A wa Ligi ya Mabingwa Afrika ulilopigwa mwishoni mwa wiki kwenyeatika Uwanja wa Stade TP Mazembe, Lubumbashi.

 

10 years ago

GPL

SHOGA, CHAKULA ULE WEWE KWA NINI UWAKERE WENZAKO?

Shoga zangu, leo nitazunguma nanyi ‘topiki’ inayohuwahusu wenzetu wanaoishi katika nyumba ambazo hazina silingibodi.Naamini hakuna mtu asiyejua maana ya silingibodi, kama wapo ambao nitakuwa nimewaacha hewani, namaanisha wenzetu wanaoishi kwenye nyumba ambazo darini hakujazibwa. Soma zaidi hapa ====>http://bit.ly/1GiCHTx

 

11 years ago

Michuzi

ULE USEMI WA " UZEE MWISHO CHALIZE" UMEPEWA JINA LA MAZOEZI YA KUKATA UZITO !

Kwa wasanii wao kila usemi ni sehemu ya maisha yao! Juzi baadhi ya wasanii huko Ughaibuni wameibuka kwa kuyabandika majina mazoezi ya kukata uzito au unene wa mwili " Zoezi hili sasa lipewa jina la "UZEE MWISHO CHALINZE" usemi ambao umebuniwa na msanii Joti wa Ze Komedi. Zoezi hilo maalumu la kupiga vita unene au minyama ya uzembe limeshaanza kufanyiwa kazi kisawa sawa na wasanii,mmojawapo ni mwanamuziki Jhikoman ambae kwa sasa ana ziara ndefu huko Ulaya Mwanamuziki Jhikoman akijifua...

 

10 years ago

Vijimambo

GWAJIMA, FLORA MBASHA WAIBUKIA MKUTANO WA CHADEMA KAWE, NI ULE WA KUZINDUA KITABU CHA MBUNGE HALIMA MDEE

Msanii wa nyimbo za Injili Flora Mbasha, (mwenye nguo nyeusi), akiongoza mashambulizi jukwani
MCHUNGAJI wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, na mwibaji nguli wa muziki wa Injili Flora Mbasha, leo hii alasiri Mei 24, wameibukia kwenye mkutano wa hadhara wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.
Wakati Gwajima alihutubia, Mbasha alitumbuiza kwenye mkutano huo uliokuwa wa kuzindua kitabu cha Mbunge wa jimbo la Kawe (CHADEMA), Flora Mbasha chenye kichwa cha habari "Utekelezaji wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani