TAIFA STARS YAENDELEA NA MAZOEZI AFRIKA KUSINI LEO
![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/TAIFA-STAZ-21.jpg)
Kutoka kushoto, Ibrahim Ajib , Jonas Mkude na Said Ndemla (nyuma yao) wakiwa katika mazoezi ya kikosi cha timu ya taifa, Taifa Stars leo kwenye Uwanja wa Edenvale kwenye kitongoji cha Edenvale jijini Johannesburg, Afrika Kusini.. Beki wa kati wa Stars, Hassan Isihaka (kulia) akijiandaa kumpiga chenga kiungo wa timu hiyo, Mudathir Yahaya. Kocha wa makipa wa Stars, Manyika Peter… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili12 May
Taifa Stars yaelekea Afrika ya Kusini
11 years ago
Mwananchi01 Aug
Taifa Stars yajifua Afrika Kusini
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-IlPpOZe_HoA/VVHrWOKAmuI/AAAAAAAHW1Q/JcMdGnzMqvM/s72-c/tff_LOGO1.jpg)
TAIFA STARS KWENDA AFRIKA KUSINI KESHO
![](http://1.bp.blogspot.com/-IlPpOZe_HoA/VVHrWOKAmuI/AAAAAAAHW1Q/JcMdGnzMqvM/s400/tff_LOGO1.jpg)
Michuano ya COSAFA inatarajiwa kuanza kutimua vumbi Mei 17 mpaka Mei 30, 2015 katika viwanja vya Olympia Park na Moruleng jimbo la North West Province nchini Afrika Kusini ikishirikisha nchi za Kusini mwa Afrika huku Tanzania na Ghana zikiwa ni nchi waalikwa.
Taifa Stars itaondoka jijini Dar es salaam kesho majira ya saa 1 jioni, kwa...
10 years ago
Michuzi28 Mar
MALAWI WAFANYA MAZOEZI CCM KIRUMBA LEO, TAYARI KUKUTANA NA TAIFA STARS KESHO JUMAPILI
Wakibadilishana Mawazo wakati Wachezaji wa Malawi wanajifua mara ya mwisho kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jioni ya leo.
Tiketi za mchezo tayari zimeshaanza kuuzwa katika vituo vya Uwanja wa Nyamagana na uwanja wa CCM Kirumba kwa...
9 years ago
Mwananchi15 Oct
Taifa Stars kuweka kambi Afrika Kusini kujiandaa na Algeria
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-bQw76IDvqZI/U9gEHMRynuI/AAAAAAAF7u0/EvD1Se2ih54/s72-c/Taifa-stars.jpg)
KIKOSI CHA TAIFA STARS KUELEKEA NCHINI AFRIKA KUSINI KESHO
![](http://1.bp.blogspot.com/-bQw76IDvqZI/U9gEHMRynuI/AAAAAAAF7u0/EvD1Se2ih54/s1600/Taifa-stars.jpg)
Taifa Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager itawasili saa 9 asubuhi kesho (Julai 30 mwaka huu) kwa ndege ya Fastjet kutoka Tukuyu mkoani Mbeya, na baadaye jioni kuunganisha safari ya Afrika Kusini.
Mechi hiyo ya marudiano ya raundi ya...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/11/Taifa-Stars-1.jpg)
TAIFA STARS YAFANYA MAZOEZI YA MWISHO SAUZ
9 years ago
StarTV14 Aug
Taifa Stars yaanza mazoezi bila wachezaji wa Yanga, Azamfc.
KIKOSI cha Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kimeanza mazoezi katika uwanja wa Karume kujiandaa na mchezo dhidi ya Nigeria kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa ya Afrika mwaka 2017 nchini Gabon.
Wachezaji wa Taifa Stars chini ya kocha wake mkuu Charles Mkwasa watakua wakijifua mara mbili kwa siku asubuhi na jioni katika uwanja wa Karume katika kujiweka fit na maandalizi ya mchezo huo.
Kufuatia baadhi ya wachezaji kuwa na majukumu na timu zao kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Hisani...