Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAIFA STARS KWENDA AFRIKA KUSINI KESHO

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kesho jumatano inatarajiwa kusafiri kuelekea nchini Afrika Kusini kwa ajili ya kushiriki michuano ya kombe la COSAFA.
Michuano ya COSAFA inatarajiwa kuanza kutimua vumbi Mei 17 mpaka Mei 30, 2015 katika viwanja vya Olympia Park na Moruleng  jimbo la North West Province nchini Afrika Kusini ikishirikisha nchi za Kusini mwa Afrika huku Tanzania na Ghana zikiwa ni nchi waalikwa.
Taifa Stars itaondoka jijini Dar es salaam kesho majira ya saa 1 jioni, kwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

KIKOSI CHA TAIFA STARS KUELEKEA NCHINI AFRIKA KUSINI KESHO

Msafara wa watu 27 wa kikosi cha timu ya Taifa (Taifa Stars) kinaondoka kesho (Julai 30 mwaka huu) saa 10 jioni kwa ndege ya Air Tanzania kwenda Afrika Kusini ambapo kitapiga kambi ya siku mbili kabla ya kuingia Maputo kuikabili Msumbiji (Mambas).
Taifa Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager itawasili saa 9 asubuhi kesho (Julai 30 mwaka huu) kwa ndege ya Fastjet kutoka Tukuyu mkoani Mbeya, na baadaye jioni kuunganisha safari ya Afrika Kusini.
Mechi hiyo ya marudiano ya raundi ya...

 

10 years ago

BBCSwahili

Taifa Stars yaelekea Afrika ya Kusini

Timu ya Taifa ya Tanzania ,Jumatano inatarajiwa kuelekea nchini Afrika Kusini kwa ajili ya kushiriki michuano ya kombe la COSAFA.

 

11 years ago

Mwananchi

Taifa Stars yajifua Afrika Kusini

>Msafara wa kikosi cha Taifa Stars utaondoka Afrika Kusini leo kwenda Maputo, kwa ajili ya pambano la marudiano dhidi ya Msumbiji  ‘Mambas’ litakalochezwa Jumapili kwenye Uwanja wa Nampeto.

 

9 years ago

GPL

TAIFA STARS YAENDELEA NA MAZOEZI AFRIKA KUSINI LEO

Kutoka kushoto, Ibrahim Ajib , Jonas Mkude na Said Ndemla (nyuma yao) wakiwa katika mazoezi ya kikosi cha timu ya taifa, Taifa Stars leo kwenye Uwanja wa Edenvale kwenye kitongoji cha Edenvale jijini Johannesburg, Afrika Kusini.. Beki wa kati wa Stars, Hassan Isihaka (kulia) akijiandaa kumpiga chenga kiungo wa  timu hiyo, Mudathir Yahaya. Kocha wa makipa wa Stars, Manyika Peter… ...

 

9 years ago

Mwananchi

Taifa Stars kuweka kambi Afrika Kusini kujiandaa na Algeria

Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ itaweka kambi Afrika Kusini kujiandaa na mchezo wa raundi ya pili wa kutafuta tiketi ya kufuzu kushiriki Kombe la Dunia 2018 dhidi ya Algeria, mwezi ujao.

 

9 years ago

GPL

FASTJET KUISAFIRISHA TAIFA STARS KWENDA ALGERIA

 Ofisa Habari wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Baraka Kizuguto (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu timu ya taifa Taifa Stars kwenda nchini, Algeria kwa mchezo utakaofanyika Novemba 17 mwaka huu. Katibu wa Kamati ya Timu ya Taifa Stars, Teddy Mapunda (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu timu hiyo kwenda nchini...

 

11 years ago

GPL

WAZOEFU TAIFA STARS KUTAJWA KESHO

Wachezaji wazoefu wa Taifa Stars watakaoungana na wale 16 waliopatikana katika mpango wa maboresho wa timu hiyo watatangazwa kesho (Aprili 19 mwaka huu) saa 4 asubuhi kwenye ofisi za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF). Taifa Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager itapiga kambi kwenye hoteli ya Kunduchi Beach kujiandaa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Burundi itakayochezwa Aprili 26 mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani