Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZOEFU TAIFA STARS KUTAJWA KESHO

Wachezaji wazoefu wa Taifa Stars watakaoungana na wale 16 waliopatikana katika mpango wa maboresho wa timu hiyo watatangazwa kesho (Aprili 19 mwaka huu) saa 4 asubuhi kwenye ofisi za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF). Taifa Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager itapiga kambi kwenye hoteli ya Kunduchi Beach kujiandaa kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Burundi itakayochezwa Aprili 26 mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wanaosaka namba Stars kutajwa kesho

MCHAKATO wa ung’amuzi wa vipaji kwa ajili ya maboresho ya timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, ulioshirikisha wang’amuzi wa vipaji zaidi ya 40 umekamilika jana na majina ya nyota...

 

10 years ago

Vijimambo

TAIFA STARS KUWAFUATA MISRI KESHO

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premier Lager, kesho siku ya ijumaa jioni inatarajiwa kuondoka Addis Ababa Ethiopia kuelekea nchini Misri tayari kwa mchezo wa siku ya jumapili. 
Stars ambayo imeweka kambi ya mazoezi takribani kwa wiki moja sasa jijini Addis Ababa leo imeendelea na raiba yake ya mazoezi katika uwanja wa Taifa, amabpo leo imefanya mazoezi yake asububuhi tu. 
 
Kocha mkuu wa Taifa Stars Mart Nooij amesema, anashukuru maendeleo ya kambi...

 

10 years ago

Michuzi

TAIFA STARS KWENDA AFRIKA KUSINI KESHO

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kesho jumatano inatarajiwa kusafiri kuelekea nchini Afrika Kusini kwa ajili ya kushiriki michuano ya kombe la COSAFA.
Michuano ya COSAFA inatarajiwa kuanza kutimua vumbi Mei 17 mpaka Mei 30, 2015 katika viwanja vya Olympia Park na Moruleng  jimbo la North West Province nchini Afrika Kusini ikishirikisha nchi za Kusini mwa Afrika huku Tanzania na Ghana zikiwa ni nchi waalikwa.
Taifa Stars itaondoka jijini Dar es salaam kesho majira ya saa 1 jioni, kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wadhamini: Taifa Stars iungwe mkono kesho

WADHAMINI wakuu wa timu ya taifa ya soka ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Kampuni ya Bia Tanzania kupitia bia yake ya Kilimanjaro Premium Lager, wamewataka Watanzania wajitokeze kwa wingi kuishangilia timu...

 

9 years ago

Habarileo

Pambano Taifa Stars, Algeria kesho gumzo

PAMBANO la kuwania kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia nchini Urusi mwaka 2018 kati ya timu ya soka ya Tanzania `Taifa Stars’ dhidi ya Algeria, linalotarajiwa kupigwa kesho Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, limekuwa gumzo miongoni mwa mashabiki wa soka ndani na nje ya nchi.

 

10 years ago

Michuzi

TAIFA STARS TAYARI KUWAKABILI MALAWI KESHO CCM KIRUMBA

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars - pichani)) leo asubuhi imefanya mazoezi ya mwisho tayari kwa kuwakabili timu ya taifa ya Malawi (The Flames) mchezo utakaochezwa kesho jumapili saa 10.30 jioni katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. 
Tiketi za mchezo tayari zimeshaanza kuuzwa katika vituo vya Uwanja wa Nyamagana na uwanja wa CCM Kirumba kwa bei za sh. 5,000 kwa mzunguko, sh. 12,000 kwa jukwaa kuu na sh.20,000 kwa viti vya jukwaa kuu maalum. Taifa Stars inashika nafasi ya 100 katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani