YANGA KUVUNA MIL 90 CAF
![](http://api.ning.com:80/files/uY3PJt2fxPzSoOKIg4sAuVhDWVHtKGgWuCItldb7oL4TQ3GuJ6hI7mTqQnzxMAtRaqIOiOf0ufrNu4nsX-vUBhUZhD5JXVfW/yanga.jpg?width=640)
Katibu Mkuu wa Yanga Bw. Beno Njovu (kulia) akiongea na waandishi wa habari makao makuu ya klabu ya Yanga. Kushoto ni mwakilishi wa kampuni ya SGM Bw. Francis Goitha Klabu ya Young Africans SC imeingia mkataba wa kurusha mchezo wake wa hatua ya kwanza ya mashindano ya klabu Bingwa Afrika dhidi ya timu ya Alh Ahly ya Misri kwa gharama ya dola za kimarekani elfu 55,000 sawa na mil 90/= za kitanzania kwa muda wa dakika 90. Akiongea...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi24 Dec
Brandts kuvuna Sh170 mil
11 years ago
Mwananchi06 Feb
Yanga kuvuna Sh 253 milioni
11 years ago
GPLYANGA YAINGIZA MIL 86/-, SIMBA MIL 53/-
10 years ago
Mtanzania07 May
Yanga yaibeba Azam CAF
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
MABINGWA wapya wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga jana waliibeba Azam na kuwawezesha kukata tiketi ya kucheza Kombe la Shirikisho Barani Afrika mwakani, baada ya kukubali kipigo cha mabao 2-1 katika mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Matokeo hayo yaliwafanya Yanga wakabidhiwe kombe la ubingwa huku wakiwa na machungu ya kufungwa na Azam, walioshindwa kutetea taji lao walilotwaa msimu uliopita.
Ushindi huo pia umetibua ndoto na hesabu za...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vanfKzplWu8TsQbL3L3kiTtxn4mc5GVwU9UcY*5vhhUtSELu-T7ZNKKyZkRf0t27h7jVIjKZOfgrBYdyYKJf8-VCq7xvsbhv/yanga.jpg)
Yanga yamtema Kaseja Caf
11 years ago
TheCitizen07 Feb
Yanga Caf opponents arrive
11 years ago
Mwananchi18 Jan
Yanga yamtosa Chuji CAF
11 years ago
TheCitizen08 Feb
Yanga embark on Caf mission
10 years ago
Mwananchi28 Feb
Yanga SC yasonga mbele CAF