Yanga kuvuna Sh 253 milioni
Dar es Salaam. Yanga imepanga kuvuna Sh253 milioni katika mchezo wao na Komorozine ya Comoro huku mchezaji wake Athuman Idd Chuji akipigwa Stop kuichezea timu hiyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uY3PJt2fxPzSoOKIg4sAuVhDWVHtKGgWuCItldb7oL4TQ3GuJ6hI7mTqQnzxMAtRaqIOiOf0ufrNu4nsX-vUBhUZhD5JXVfW/yanga.jpg?width=640)
YANGA KUVUNA MIL 90 CAF
Katibu Mkuu wa Yanga Bw. Beno Njovu (kulia) akiongea na waandishi wa habari makao makuu ya klabu ya Yanga. Kushoto ni mwakilishi wa kampuni ya SGM Bw. Francis Goitha Klabu ya Young Africans SC imeingia mkataba wa kurusha mchezo wake wa hatua ya kwanza ya mashindano ya klabu Bingwa Afrika dhidi ya timu ya Alh Ahly ya Misri kwa gharama ya dola za kimarekani elfu 55,000 sawa na mil 90/= za kitanzania kwa muda wa dakika 90. Akiongea...
10 years ago
AllAfrica.Com01 Dec
IOM Repatriates 253 Ethiopian Migrants
AllAfrica.com
THE International Organisation for Migration (IOM) on Friday repatriated 253 Ethiopian migrants who voluntarily decided to return to their country of origin. According to IOM Tanzanian Programme Officer Mixed Migration, Mr Charles Mkude, the migrants had ...
IOM Repatriates Over 250 Migrants From TanzaniaThe Reporter
all 2
11 years ago
Tanzania Daima02 Apr
NHC kuuza nyumba za Kinondoni mil. 253/-
SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC) limezindua mauzo ya nyumba nyingine 118 zilizopo eneo la Hananasif, Mtaa wa Wakulima, Kinondoni, Dar es Salaam, ikiwa ni utekelezaji wa mradi wa ujenzi...
10 years ago
Vijimambo21 Jan
Milioni ya Yanga yamvuruga Ngassa
![](http://api.ning.com/files/BM3*tIQqFL*7SB5AdPCC61kg1c-sDhE6w8QjUNdkrKBj20X7902ALxn0Mil5Tr8W2u37gDOXAjX0h7a1mqU3R4nOeevRHnq*/NGASSAMRISHO.jpg?width=650)
Na Wilbert MolandiSIRI kubwa ya kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa, kucheza chini ya kiwango imefahamika.Ngassa amekuwa kwenye kiwango cha chini msimu huu ikiwa ni tofauti na misimu mingine yote iliyotangulia.Kiungo huyo, alitua kuichezea timu hiyo kwenye msimu wa 2013/2014, kwa makubaliano ya kulipa fedha shilingi milioni 45, ikiwa ni deni la shilingi milioni 30 pamoja na faini ya milioni 15 za Simba ili aweze kuitumikia timu yake ya...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1zruj0PgXfgqFIYnObOhe9uSZtJ68a9uG7YwCVhKzQaRwr4et3a-OntoiBUltNrbiGhRfyOFH8fd5SMs6m-4njF99urfTMve/twite.gif?width=650)
Yanga yampa Twite milioni 40
Beki wa kimataifa wa Yanga, Mbuyu Twite. Wilbert Molandi na Sweetbert Lukonge
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umefanikisha usajili wa beki wake kiraka Mbuyu Twite kwa dau la dola milioni 25 (sawa na shilingi milioni 40). Kiraka huyo juzi Jumatatu alisaini mkataba wa mwaka mmoja kwa ajili ya kuichezea timu hiyo itakayoshiriki Kombe la Shirikisho Afrika na Ligi Kuu Bara. Kwa mujibu wa rafiki wa karibu wa beki huyo, wamefikia...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/GO1Rm-PT2poO*pOjb6*nPJ4LRHMe59dKChy6381NftZ*H9*S7hsG2dBgrb1ZElki5u7mR3f*C4u6b7GDQMqMvp2WejHGBHF4/IMG_4711.jpg?width=650)
Yanga SC yailipa Al Ahly Sh milioni 16
Na Mwandishi Wetu
MABINGWA wa soka Tanzania, Yanga wamelazimika kumwaga kitita cha dola 10,000 (zaidi ya Sh milioni 16) kuwapa Al Ahly kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Jumamosi. Timu hizo zitapambana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na tayari mabingwa hao wa Afrika wametua nchini, tayari kupambana na mabingwa hao wa Tanzania waliopania kuuangusha mbuyu huo. Habari za uhakika kutoka ndani ya...
9 years ago
Mwananchi10 Dec
Eti Yanga ina mashabiki 35 milioni!
Ukibisha jeuri! Eti Yanga, sasa ina mashabiki wanaofikia milioni 35 kati ya Watanzania milioni 44 kwa mujibu wa kauli ya mwenyekiti wa klabu hiyo, Yusuf Manji.
10 years ago
Vijimambo03 Feb
Milioni 100 zaiua Yanga U/Taifa
![](http://www.mwanaspoti.co.tz/image/view/-/2610270/highRes/936165/-/maxw/600/-/2opaqwz/-/yanga+picha.jpg)
11 years ago
GPLSimba wavuna milioni 60, Yanga wakosa mamilioni
Kikosi cha Simba. Na Khatimu Naheka
KIKOSI cha Simba kitakomba Sh milioni 60 ambazo kiliahidiwa na uongozi wa timu hiyo iwapo kingeifunga Yanga katika mchezo wa Nani Mtani Jembe uliochezwa juzi kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Wakati Simba wakijiandaa kukomba kitita hicho baada ya kuwafunga watani wao mabao 3-1, Yanga wamekosa Sh milioni 60 ambazo uongozi wa Jangwani uliahidi kuwapa wachezaji kama wataifunga Simba...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania