Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Milioni 100 zaiua Yanga U/Taifa

Wachezaji wa Yanga (kijani na njano) wakichakarika mbele ya wapinzani wao, Ndanda FC, katika mechi ya ligi kuu bara kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam jana Jumapili. By Khatimu Naheka Timu hiyo ambayo imesajili wachezaji wengi chipukizi na wasio na uzoefu, imewahi kukanya Dar es Salaam mara moja tu lakini walipofika kwenye Stand Kuu ya Mabasi Ubungo wakaonyeshwa uelekeo wa Mbagala ambako walikwenda kucheza na JKT Ruvu na walipotoka wakapitiliza kwao Mtwara wakabaki kuusikia tu...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

UDHAIFU: Dakika 45 za mwisho zaiua Yanga SC

>Ni nguvu ya soda. Hivyo, ndivyo unavyoweza kuzungumzia Yanga ambayo imekuwa ikisifika nchini kuwa na beki imara iliyotengeneza ukuta mgumu, usiopitika kwenye mechi za Ligi Kuu msimu huu, lakini ndiyo imeonekana  nyepesi  zaidi kwa mabao kipindi cha pili.

 

9 years ago

GPL

SIMBA YAMPA MAVUGO SH MILIONI 100

Straika wa Vital’O ya Burundi, Laudit Mavugo. SIMBA haitaki mchezo kabisa katika kujenga kikosi chake, kwani imetenga kiasi cha dau la dola 50,000 ambazo ni zaidi ya Sh milioni 100 ili iweze kumsajili straika wa Vital’O ya Burundi, Laudit Mavugo. Laudit Mavugo (kushoto) akifanya yake.
Nguvu yote hiyo imewekwa na Simba kuhakikisha Mavugo anatua kikosini kwao aungane na Hamis Kiiza kuipa nguvu safu ya ushambuliaji...

 

9 years ago

BBCSwahili

Aliyeiba dola Milioni 100 arejeshwa China

Shirika la habari la taifa la Uchina, linaarifu kuwa afisa wa zamani ambaye anashutumiwa kwa ufisadi mamilioni ya dola, amerejeshwa nyumbani

 

10 years ago

BBCSwahili

Mancity kutumia pauni milioni 100 msimu huu

Manchester City wanatarajiwa kutumia pauni milioni 100 ili kuwasajli wachezaji wapya msimu huu baada ya vikwazo walivyowekewa kuhusu ununuzi wa wachezaji kuondolewa na UEFA.

 

10 years ago

Habarileo

Azania kuboresha makazi Manzese kwa milioni 100/

Waziri wa Ardhi, Nyumba, na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna TibaijukaWAKAZI wa Kata ya Manzese mtaa wa Mvuleni iliyopo jijini Dar es Salaam wamepokea zaidi ya Sh milioni 100 kutoka Benki ya Azania kwa ajili ya kuboresha makazi yao duni.

 

5 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA BARRICK YAILIPA SERIKALI DOLA MILIONI 100




Waziri wa Fedha na Mipango Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) wa pili kushoto, akipokea hundi kifani ya dola milioni 100 kutoka kwa Mwakilishi Mkazi wa Kampuni ya Barrick Bw. Hilaire Diarra (wa pili kushoto), Jijini Dodoma Tarehe 26 Mei, 2020, ikiwa ni sehemu ya malipo ya dola milioni 300 ambazo Kampuni hiyo ilikubali kuilipa Serikali kumaliza mzozo uliokuwepo kati ya Serikali na Kampuni hiyo hatua iliyosababisha pia kuanzishwa kwa Kampuni ya Ubia ya Madini ya Twiga kati ya Serikali na...

 

10 years ago

GPL

MSHINDI WA MILIONI 100 ZA JAYMILLIONS KUKABIDHIWA KITITA CHAKE

Mshindi wa Milioni 100/- kupitia promosheni ya JayMillions  inayoendeshwa na Vodacom Tanzania, Uwezo Magedenge (22) akiwa nyumbani kwao kijiji cha Pamilini Kilolo Mkoa wa Iringa  akiendelea na shughuri zake za nyumbani wakati alipotembelewa na maofisa  wa Vodacom Tanzania  kijijini hapo kwa  ajili ya kumchukua na kumpeleka jijini Dar es Salaam kwa makabidhiano rasmi ya kitita chake hivi karibuni.
Meneja...

 

10 years ago

Michuzi

ALIYEJISHINDIA MILIONI 100 ZA VODACOM AKABIDHIWA KITITA CHAKE

Mshindi wa Milioni 100/- kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania,Uwezo Magedenge ambaye ni mkazi wa Kilolo mkoani Iringa(katikati)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa hafla maalum ya kukabidhiwa kitita chake,Wengine katika picha Mkuu wa Idara ya huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Brigitta Stephen(kushoto) na Meneja wa Benki ya NMB kanda ya Dar es Salaam,Selie Mlay.Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam leo. Ili mteja kujua kama...

 

9 years ago

Bongo5

Jux aonesha milioni 100 kwenye Instagram (Picha)

page

Kumiliki shilingi milioni 100 kwa wakati mmoja kwa watu wengi ni ndoto nadra kutimia. Kwa Jux hizo ni fedha anazozishika kila wakati na ndio maana haoni hatari kuwaonesha mashabiki wake kwenye Instagram.

IMG_9357

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Jux amepost picha za fedha hizo zilizo kwa dola na kuandika:

It’s 50k in USD, its 100million in TSHs I think I don’t have a bad weekend I saw my first 100mil when I was 22 now it’s not new anymore go hard everything is possible in God I trust 🙏🙏 don’t forget...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani