Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SIMBA YAMPA MAVUGO SH MILIONI 100

Straika wa Vital’O ya Burundi, Laudit Mavugo. SIMBA haitaki mchezo kabisa katika kujenga kikosi chake, kwani imetenga kiasi cha dau la dola 50,000 ambazo ni zaidi ya Sh milioni 100 ili iweze kumsajili straika wa Vital’O ya Burundi, Laudit Mavugo. Laudit Mavugo (kushoto) akifanya yake.
Nguvu yote hiyo imewekwa na Simba kuhakikisha Mavugo anatua kikosini kwao aungane na Hamis Kiiza kuipa nguvu safu ya ushambuliaji...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Simba yampa Loga Sh milioni 13

Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic.
Na Mwandishi Wetu
SIMBA ilimlipa Kocha Zdravko Logarusic kitita cha dola 8,000 (Sh milioni 13), siku moja kabla ya kuondoka nchini.
Simba ilitoa fedha hizo ikiwa ni sehemu ya kutimiza masharti ya Logarusic ambaye sasa yupo nyumbani kwao Croatia kwa ajili ya mapumziko.
Katika mazungumzo ya mwisho kabla ya kuondoka nchini, imeelezwa Logarusic aliueleza uongozi wa Simba kuwa,...

 

10 years ago

GPL

Mavugo rasmi kuvaa uzi wa Simba

Mshambuliaji , Laudit Mavugo. Hans Mloli na Wilbert Molandi
TAYARI Simba imefanya yake baada ya kufanikiwa kumnasa mshambuliaji iliyekuwa ikimuwinda kwa muda mrefu, Laudit Mavugo raia wa Burundi na kumpa mkataba wa miaka miwili. Mavugo amekuwa akitajwa na Simba kwa muda mrefu tangu ulipomalizika msimu wa Ligi Kuu Bara 2014/15, baada ya mchezaji huyo kupendekezwa kutua klabuni hapo na aliyekuwa kocha wa timu hiyo aliyemaliza...

 

10 years ago

Mwananchi

USAJILI: Mavugo, Okwi, Mgosi utaipenda Simba tu

>Mshambuliaji mpya wa Simba, Mrundi Laudit Mavugo  amesema kuwa hakuna cha kumnyima kung’ara ikiwa atacheza pamoja na Emmanuel Okwi na Mussa Hassan ‘Mgosi’.

 

9 years ago

Mwananchi

Simba yamtosa Mavugo, yashusha kifaa cha Italia

Klabu ya Simba imeachana na usajili wa mshambuliaji Laudit Mavugo kutoka Burundi ikitarajiwa kushusha mchezaji kutoka Italia kwa ajili ya kuimarisha safu yake ya ushambuliaji.

 

11 years ago

GPL

Yanga yampa Twite milioni 40

Beki wa kimataifa wa Yanga, Mbuyu Twite. Wilbert Molandi na Sweetbert Lukonge
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umefanikisha usajili wa beki wake kiraka Mbuyu Twite kwa dau la dola milioni 25 (sawa na shilingi milioni 40). Kiraka huyo juzi Jumatatu alisaini mkataba wa mwaka mmoja kwa ajili ya kuichezea timu hiyo itakayoshiriki Kombe la Shirikisho Afrika  na Ligi Kuu Bara. Kwa mujibu wa rafiki wa karibu wa beki huyo, wamefikia...

 

10 years ago

Vijimambo

Yanga safi kwa Mzimbabwe, Simba yakwama kwa Mavugo


Dinaldo Ngoma, FC Platinum ya Zimbambwe.
Nicodemus Jonas na Hans MloliMBIO za usajili zinazidi kukolea, Yanga imemalizana na Dinaldo Ngoma wa FC Platinum ya Zimbambwe, wakati upande wa pili wapinzani wao, Simba wanaweza kukwama kumnasa straika Mrundi, Laudit Mavugo kutokana na Klabu ya Vital’O kuonekana kuweka ngumu.Yanga wameeleza kuwa wamemalizana na mchezaji huyo lakini wanachosubiri ni tamko la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) juu ya kuongeza idadi ya wachezaji wa kimataifa.Katibu Mkuu...

 

10 years ago

Vijimambo

Milioni 100 zaiua Yanga U/Taifa

Wachezaji wa Yanga (kijani na njano) wakichakarika mbele ya wapinzani wao, Ndanda FC, katika mechi ya ligi kuu bara kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam jana Jumapili. By Khatimu Naheka Timu hiyo ambayo imesajili wachezaji wengi chipukizi na wasio na uzoefu, imewahi kukanya Dar es Salaam mara moja tu lakini walipofika kwenye Stand Kuu ya Mabasi Ubungo wakaonyeshwa uelekeo wa Mbagala ambako walikwenda kucheza na JKT Ruvu na walipotoka wakapitiliza kwao Mtwara wakabaki kuusikia tu...

 

9 years ago

BBCSwahili

Aliyeiba dola Milioni 100 arejeshwa China

Shirika la habari la taifa la Uchina, linaarifu kuwa afisa wa zamani ambaye anashutumiwa kwa ufisadi mamilioni ya dola, amerejeshwa nyumbani

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani