Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga safi kwa Mzimbabwe, Simba yakwama kwa Mavugo


Dinaldo Ngoma, FC Platinum ya Zimbambwe.
Nicodemus Jonas na Hans MloliMBIO za usajili zinazidi kukolea, Yanga imemalizana na Dinaldo Ngoma wa FC Platinum ya Zimbambwe, wakati upande wa pili wapinzani wao, Simba wanaweza kukwama kumnasa straika Mrundi, Laudit Mavugo kutokana na Klabu ya Vital’O kuonekana kuweka ngumu.Yanga wameeleza kuwa wamemalizana na mchezaji huyo lakini wanachosubiri ni tamko la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) juu ya kuongeza idadi ya wachezaji wa kimataifa.Katibu Mkuu...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Yanga safi, Simba kilio

YANGA safari hii ni dozi tu! Ndivyo unavyoweza kuzungumzia matokeo ya mchezo wa jana wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Yanga na Toto Africans. Mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ulimalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 4-1, hivyo kuendelea kukalia usukani wa ligi hiyo ikiwa na pointi 19, ikifuatiwa na Azam yenye pointi 16.

 

10 years ago

Vijimambo

KMKM WAMELALA 2 TAIFA YANGA SASA MOJA KWA NOJA ROBO FAINALI KIROHO SAFI


MABINGWA wa kandanda Tanzania bara, Young Africans leo wamefanikiwa kuingia robo fainali baada ya kuwalaza KMKM goli 2 bila majibu, ni Busungu tena amecheka na nyavu na kumfanya kuwa na magoli 3 katika mechi tatu alizocheza. Magoli ya Yanga yalifungwa na Busungu goli moja na Tamwe goli la pili. Kipindi cha kwanza timu zote zilienda mapumziko bila kufungani hali hiyo ilikuwa pressure kwa wanazi wa Yanga kwani kama wange poteza mchezo wa leo basi wange kuwa wamesha toka katika mashindano hayo...

 

5 years ago

Michuzi

Manispaa ya Sumbawanga yang’ara kimapato huku wakipata hati safi kwa miaka mitatu

Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga imeendelea kung’aa kwa kuvuka malengo ya makusanyo ya mapato katika kipindi cha miaka miwli mfululizo huku ikiendelea kupata hati safi kwa kipindi cha miaka mitatu mfululizo hali inayapopelekea halmashauri hiyo kupata fursa ya mikopo kwaajili ya miradi maalum ya kimkakati kwaajili ya kuongeza mapato ya halmashauri.

Wakati akitoa salamu zake katika kikao cha Baraza la Madiwani la Manispaa hiyo kuhusu utekelezaji wa hoja za ukaguzi na mapendekezo ya...

 

9 years ago

Vijimambo

YANGA NI ZAIDI YA MCHARO WAWALIZA SIMBA KWEUPEEE GOLI 2 BILA MAJIBU UTEJA KWA SIMBA KWISHINEIIIIIII!!

Yanga ni zaidi ya Mcharo Simba wametepweta baada ya kukubali goli moja kila kipindi alikuwa Tambwe aliandika bao la kwanza dk ya 44 ya kipindi cha kwanza, ikumbukwe kuwa Tambwe alikuwa kipenzi cha wana msimbazi hao na wakampotezea na kunyakuliwa na Yanga. Kipindi cha pili Busungu aliesajiliwa kutoka kwa wafunga buti wa mgambo aliiandikia Yanga bao la 2 dk ya 79. Yanga sasa imefuta uteja uliodumu zaidi ya miaka 5 kila wanavyo kutana na Simbanilikuwa ni kilio tu cha kusanga meno safari hii ni...

 

10 years ago

Mwananchi

Mzimbabwe aichambua Yanga SC

Kocha wa Platinum ya Zimbabwe, Norman Mapeza ametangaza vita jijini Dar es Salaam atakapotua na kikosi chake kuikabili Yanga, Jumapili katika mchezo wa mzunguko wa kwanza wa Kombe la Shirikisho la Soka Afrika.

 

10 years ago

Habarileo

Kiungo Mzimbabwe atua Simba

KIUNGO mkabaji wa kimataifa wa Zimbabwe, Justice Majabvi aliwasili jana na kwenda moja kwa moja katika kambi ya Simba iliyopo Zanzibar.

 

10 years ago

Mwananchi

Kiungo Mzimbabwe asaini Simba

Kiwango kizuri kilichoonyeshwa na kiungo Mzimbabwe aliyekuwa kwenye majaribio, Justice Majabvi kimeifanya klabu ya Simba kumpa mkataba wa miaka miwili.

 

10 years ago

Mwananchi

USAJILI : Mzimbabwe atua Yanga

Kiungo wa FC Platinum ya Zimbabwe, Thabani Kamusoko amewasili nchini kukamilisha uhamisho wake kujiunga na Yanga na kusema hakuja Tanzania kukalia benchi.

 

10 years ago

GPL

Mavugo rasmi kuvaa uzi wa Simba

Mshambuliaji , Laudit Mavugo. Hans Mloli na Wilbert Molandi
TAYARI Simba imefanya yake baada ya kufanikiwa kumnasa mshambuliaji iliyekuwa ikimuwinda kwa muda mrefu, Laudit Mavugo raia wa Burundi na kumpa mkataba wa miaka miwili. Mavugo amekuwa akitajwa na Simba kwa muda mrefu tangu ulipomalizika msimu wa Ligi Kuu Bara 2014/15, baada ya mchezaji huyo kupendekezwa kutua klabuni hapo na aliyekuwa kocha wa timu hiyo aliyemaliza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani