Yanga safi, Simba kilio
YANGA safari hii ni dozi tu! Ndivyo unavyoweza kuzungumzia matokeo ya mchezo wa jana wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Yanga na Toto Africans. Mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ulimalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 4-1, hivyo kuendelea kukalia usukani wa ligi hiyo ikiwa na pointi 19, ikifuatiwa na Azam yenye pointi 16.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo29 May
Yanga safi kwa Mzimbabwe, Simba yakwama kwa Mavugo

Dinaldo Ngoma, FC Platinum ya Zimbambwe.
Nicodemus Jonas na Hans MloliMBIO za usajili zinazidi kukolea, Yanga imemalizana na Dinaldo Ngoma wa FC Platinum ya Zimbambwe, wakati upande wa pili wapinzani wao, Simba wanaweza kukwama kumnasa straika Mrundi, Laudit Mavugo kutokana na Klabu ya Vital’O kuonekana kuweka ngumu.Yanga wameeleza kuwa wamemalizana na mchezaji huyo lakini wanachosubiri ni tamko la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) juu ya kuongeza idadi ya wachezaji wa kimataifa.Katibu Mkuu...
10 years ago
Bongo Movies13 Dec
Hiki ndicho Walichohaidiana JB na Ray Kigosi leo kabla ya mechi ya Simba na Yanga. JB ni SIMBA, Ray ni YANGA.
Huku tukisubiria kwa hamu sana ile mechi ya NANI MTANI JEMBE kati ya YANGA na SIMBA, Jacob Steven – JB mshabiki namba moya wa SIMBA SPORTS CLUB na VICENT KIGOSI – Ray, shabiki namba moja wa YANGA wamekubaliana haya yafuatayo.
Endapo timu moja SIMBA itafungwa, basi JB atavaa jezi ya YANGA na kumpa RAY pesa za kitanzania TSHS. MILLIONI MOJA (1) CASH na ikiwa YANGA itafungwa, basi RAY atavaa jezi ya SIMBA na kumpa JB pesa hiyo hiyo MILLIONI MOJA (1) CASH.
Unahisi nani ataibuka kidedea...
10 years ago
BBCSwahili17 Dec
10 years ago
Vijimambo09 Mar
11 years ago
Mwananchi10 Mar
Simba SC yatulizwa Mbeya, JKT Ruvu safi
10 years ago
Vijimambo
PICHA ZA MTANANGE WA YANGA NA AZAM JITIRIRISHE CHINI KIROHO SAFI






10 years ago
Vijimambo
MSUVA MAMBO SAFI AFRIKA KUSINI, YANGA WALETEWA OFA RASMI YA KUMUUZA

Simon Msuva amefaulu majaribio Afrika Kusini
MFUNGAJI bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Simon Msuva anarejea jioni ya leo Dar es Salaam na tabasamu ‘kuubwa’ baada ya kufaulu majaribio ya kucheza soka ya kulipwa Afrika Kusini.
Winga huyo wa mabingwa wa Tanzania Bara, Yanga SC jana amekamilisha majaribio yake ya siku tatu Bidvest Wits ya Ligi Kuu nchini humo na matokeo ni ‘safi’.
BIN ZUBEIRY inafahamu Bidvest Wits wameridhika na uwezo Msuva na sasa wanafungua majadiliano na klabu yake,...
10 years ago
Vijimambo
AUNGURUMAPO SIMBA MCHEZA NANI DAKIKA 90 SIMBA 1 YANGA 0



9 years ago
Vijimambo
YANGA NI ZAIDI YA MCHARO WAWALIZA SIMBA KWEUPEEE GOLI 2 BILA MAJIBU UTEJA KWA SIMBA KWISHINEIIIIIII!!
