Simba SC yatulizwa Mbeya, JKT Ruvu safi
Ndoto ya Simba kuwania ubingwa msimu huu imezidi kudidimia baada ya kulazimishwa sare 0-0 na Tanzania Prisons kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya, huku JKT Ruvu ikiwachapa Mtibwa Sugar 2-1 kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziMBEYA CITY YABUGIZA JKT RUVU GOLI 3-0 MJINI MBEYA
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-qlralvQLbCA/Uwn-FsrthcI/AAAAAAAFPE8/VQACTSdHa2Y/s72-c/IMG_3712.jpg)
Mtanange wa Simba na JKT Ruvu Uwanja wa Taifa hivi sasa: Simba washalala kwa bao 2 - 0
![](http://1.bp.blogspot.com/-qlralvQLbCA/Uwn-FsrthcI/AAAAAAAFPE8/VQACTSdHa2Y/s1600/IMG_3712.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-iRYbrDUfPqk/Uwn-Gn-TwHI/AAAAAAAFPFE/eMIQriaeepY/s1600/IMG_3714.jpg)
Wachezaji wa timu ya JKT Ruvu wakishangilia mara baada ya kuitandika Simba bao la pili.
10 years ago
TheCitizen09 Nov
Simba swing to face JKT Ruvu test
10 years ago
Mtanzania31 Jan
Simba, JKT Ruvu kazi ipo Taifa
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
TIMU ya Simba leo itakuwa na shughuli pevu ya kusaka ushindi itakapovaana na JKT Ruvu katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuanzia saa 10 jioni.
Simba itaingia dimbani ikiwa na kumbukumbu ya kufungwa mabao 2-1 na Mbeya City kwenye mchezo uliopita uliofanyika Jumatano iliyopita, JKT Ruvu wao waliambulia sare ya bao 1-1 walipovaana na Mtibwa Sugar.
Kipigo dhidi ya Mbeya City kilipelekea...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lQ0QUhfJdPFUl0yHCFaz*gwEZCyKzyerKWT10cbxuV0mxdcydwYoEa1MZtcRIsIVST12T9sxBiQSbWMOF*KpxQ7JVw3ii*5J/s4.jpg?width=750)
SIMBA YASHINDA BAO 2- 0 DHIDI YA JKT RUVU TAIFA
11 years ago
Michuzi24 Feb
YANGA SC NA SHOOTING YAINGIZA FEDHA NYINGI KULIKO SIMBA NA JKT RUVU
Na Boniface Wambura, Dar es Salaam MECHI za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) zilizohusisha timu za Yanga na Simba, na kuchezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki zimeingiza jumla ya sh. 101,165,000.Yanga ambayo iibugiza Ruvu Shooting mabao 7-0 mechi yake iliingiza sh. 68,450,000 kutokana na washabiki 11,972 kwa viingilio vya sh. 5,000, sh. 15,000 na sh. 20,000.Katika mechi hiyo kila klabu ilipata mgao wa sh. 15,687,488 wakati Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) iliyolipwa kutokana na...