Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simba swing to face JKT Ruvu test

 Simba SC swing back into action today, seeking to end their Vodacom Premier League winless run when they host Ruvu Shooting at the National Stadium.

TheCitizen

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Mtanange wa Simba na JKT Ruvu Uwanja wa Taifa hivi sasa: Simba washalala kwa bao 2 - 0

Mchezaji wa Timu ya JKT Ruvu,Emmanuel Switta akimpeleka markiti Golikipa wa timu ya Simba, Yaw Berko kwa mkwaju mkali wa Penati na kuiandikia timu yake bao la pili katika Mchezo wa Ligi kuu Tanzania bara,unaoendelea hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.hadi mapumziko Simba wamelala kwa Bao 2 - 0.kipindi cha pili kimeanza hivi punde na tutaendelea kujuzana kinachojili.
Wachezaji wa timu ya JKT Ruvu wakishangilia mara baada ya kuitandika Simba bao la pili.

 

10 years ago

Mtanzania

Simba, JKT Ruvu kazi ipo Taifa

NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

TIMU ya Simba leo itakuwa na shughuli pevu ya kusaka ushindi itakapovaana na JKT Ruvu katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuanzia saa 10 jioni.

Simba itaingia dimbani ikiwa na kumbukumbu ya kufungwa mabao 2-1 na Mbeya City kwenye mchezo uliopita uliofanyika Jumatano iliyopita, JKT Ruvu wao waliambulia sare ya bao 1-1 walipovaana na Mtibwa Sugar.

Kipigo dhidi ya Mbeya City kilipelekea...

 

11 years ago

Mwananchi

Simba SC yatulizwa Mbeya, JKT Ruvu safi

Ndoto ya Simba kuwania ubingwa msimu huu imezidi kudidimia baada ya kulazimishwa sare 0-0 na Tanzania Prisons kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya, huku JKT Ruvu ikiwachapa Mtibwa Sugar 2-1 kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi.

 

10 years ago

TheCitizen

SOCCER: Simba face Mtibwa test

>Simba SC and Mtibwa Sugar look to gain ground on the Vodacom Premier League title race when they clash at the National Stadium today.

 

10 years ago

GPL

SIMBA YASHINDA BAO 2- 0 DHIDI YA JKT RUVU TAIFA

Timu ya Simba SC, imeshinda bao 2-1 dhidi ya JKT Ruvu leo Uwanja wa Taifa, Dar. Sasa ina pointi 16. Mfungaji kwa upande wa Simba ni Danny Sserunkuma kipindi cha kwanza na kipindi cha pili.

 

10 years ago

TheCitizen

Resurgent Simba face KMKM test in Zanzibar

Tanzanian football giants Simba take on KMKM at the Amaan Stadium today in what will their final friendly match before returning to Dar es Salaam for Simba Day.

 

11 years ago

Michuzi

YANGA SC NA SHOOTING YAINGIZA FEDHA NYINGI KULIKO SIMBA NA JKT RUVU


Na Boniface Wambura, Dar es Salaam MECHI za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) zilizohusisha timu za Yanga na Simba, na kuchezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki zimeingiza jumla ya sh. 101,165,000.Yanga ambayo iibugiza Ruvu Shooting mabao 7-0 mechi yake iliingiza sh. 68,450,000 kutokana na washabiki 11,972 kwa viingilio vya sh. 5,000, sh. 15,000 na sh. 20,000.Katika mechi hiyo kila klabu ilipata mgao wa sh. 15,687,488 wakati Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) iliyolipwa kutokana na...

 

10 years ago

Michuzi

MTANANGE WA SIMBA NA JKT RUVU UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR HIVI SASA

 Beki wa timu ya Simba,Hassan Isihaka (26) akiangalia namna ya kumzuia Mshambuliaji wa Timu ya JKT Ruvu,Jabir Aziz katika mtanange wa Ligi Kuu Tanzania Bara,unaopigwa hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.Simba inaomgoza kwa Bao 2-1. Nyanda wa Timu ya Simba,Ivo Mapunda akiwania mpira wa juu na Mshambuliaji wa timu ya JKT Ruvu,Samuel Kamuntu katika mtanange wa Ligi Kuu Tanzania Bara,unaopigwa hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.Simba inaomgoza kwa Bao 2-1.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani