Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSUVA MAMBO SAFI AFRIKA KUSINI, YANGA WALETEWA OFA RASMI YA KUMUUZA


Simon Msuva amefaulu majaribio Afrika Kusini
MFUNGAJI bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Simon Msuva anarejea jioni ya leo Dar es Salaam na tabasamu ‘kuubwa’ baada ya kufaulu majaribio ya kucheza soka ya kulipwa Afrika Kusini.
Winga huyo wa mabingwa wa Tanzania Bara, Yanga SC jana amekamilisha majaribio yake ya siku tatu Bidvest Wits ya Ligi Kuu nchini humo na matokeo ni ‘safi’.
BIN ZUBEIRY inafahamu Bidvest Wits wameridhika na uwezo Msuva na sasa wanafungua majadiliano na klabu yake,...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Simon Msuva atorokea Afrika ya Kusini

Simon Msuva ameitoroka klabu yake ya Yanga na kuelekea afrika ya Kusini kufanya majaribio ya kujiunga na klabu ya Orlando Pirates.

 

10 years ago

BBCSwahili

Algeria vs Afrika kusini:Ukweli wa mambo

Afrika kusini haijafungwa na Algeria katika michuano miwili kati ya timu hizo baada ya kuishinda Algeria 2-1 mwaka 1996

 

11 years ago

Michuzi

Membe amuaga rasmi Balozi wa Afrika Kusini nchini

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akimkabidhi aliyekuwa Balozi wa Afrika Kusini hapa nchini, Mhe. Thanduyise Henry Chiliza zawadi ya picha ya kuchora ya Mlima Kilimanjaro wakati wa hafla ya kumuaga Balozi huyo ambaye amemaliza muda  wake wa kazi hapa nchini. Hafla hiyo ilifanyika jana katika Hoteli ya Hyatt Regency (Kilimanjaro) Jijini Dar es  Salaam. (Picha na Reginald Philip)

 

11 years ago

GPL

Beki Yanga atimkia Afrika Kusini

Beki wa kati wa Yanga mwenye umbo kubwa, Rajab Zahir. Na Wilbert Molandi
PIGO jingine Yanga! Hivyo ndivyo utakavyoweza kutamka kwa beki wa kati mwenye umbo kubwa, Rajab Zahir kuitwa kwenye majaribio ya kucheza soka la kulipwa kwenye Klabu ya Bloemfontein Celtic inayoshiriki Ligi Kuu ya Afrika Kusini ‘Sauz’.…

 

11 years ago

Mwananchi

USAJILI: Yanga yakubali kumuuza Ngasa

>Uongozi wa klabu ya Yanga umetoa ruksa kwa klabu ya Free State Stars ya Afrika Kusini kufanya mazungumzo kama wanataka kumsajili mchezaji wao nyota, Mrisho Ngasa.

 

11 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AONGOZA UJUMBE WA WAANGALIZI WA TANZANIA KWENYE UCHAGUZI NCHINI AFRIKA KUSINI


Mhe. Dkt. Maalim akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Waangalizi wa Uchaguzi kwenye Kituo cha Taifa cha Kuratibu Matokeo. Kwa nyuma ni screen zinazoonesha matokeo kutoka sehemu mbalimbali za nchi yanavyoingia.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maali m akielekea kwenye moja ya Vituo vya kupigia kura wakati wa  Uchaguzi Mkuu wa Rais nchini humo uliofanyika tarehe 7 Mei, 2014. Mhe. Dkt. Maalim anaongoza ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi...

 

11 years ago

Mwananchi

Simba yapata pigo Afrika Kusini kabla ya kuivaa Yanga

Klabu ya Simba imepata pigo jingine kabla ya kukutana na wapinzani wao wa jadi Yanga baada ya kipa wao Hussein Sharrif ‘Casillas’ kuumia ugoko katika mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya Orlando Pirates nchini Afrika Kusini walipoweka kambi.

 

11 years ago

Michuzi

Maafisa Wakuu wa Chuo cha Ulinzi wa Taifa cha Afrika Kusini watembelea Wizara ya Mambo ya Nje

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. Joachim Otaru akitoa hotuba kuhusu Sera ya Mambo ya Nje ya Tanzania, nafasi ya Tanzania katika kutekeleza majukumu ya kimataifa na uwakilishi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa kwa Maafisa Wakuu wa Chuo cha Ulinzi wa Taifa cha Afrika Kusini. Maafisa hao wapo nchini kwa ziara ya mafunzo hadi tarehe 02 Oktoba 2014. Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kikanda katika Wizara ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani