Algeria vs Afrika kusini:Ukweli wa mambo
Afrika kusini haijafungwa na Algeria katika michuano miwili kati ya timu hizo baada ya kuishinda Algeria 2-1 mwaka 1996
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili20 Jan
Algeria yainyuka Afrika Kusini 3-1
Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika, Afcon imeendelea nchini Equatorial Guinea,kwa Algeria kuichapa Afrika Kusini 3-1
10 years ago
BBCSwahili19 Jan
Algeria kuchuana na Afrika kusini
Algeria yenye wachezaji nyota Yacine Brahimi, Sofiane Feghouli inapigiwa upato dhidi ya Afrika kusini katika mechi ya kundi C
9 years ago
Mwananchi15 Oct
Taifa Stars kuweka kambi Afrika Kusini kujiandaa na Algeria
Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ itaweka kambi Afrika Kusini kujiandaa na mchezo wa raundi ya pili wa kutafuta tiketi ya kufuzu kushiriki Kombe la Dunia 2018 dhidi ya Algeria, mwezi ujao.
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-MQUK68_pfIM/VU2tIpE8jpI/AAAAAAABiAk/bzpKWMFhO6k/s72-c/SIMON%2BMSUVA.jpg)
MSUVA MAMBO SAFI AFRIKA KUSINI, YANGA WALETEWA OFA RASMI YA KUMUUZA
![](http://4.bp.blogspot.com/-MQUK68_pfIM/VU2tIpE8jpI/AAAAAAABiAk/bzpKWMFhO6k/s1600/SIMON%2BMSUVA.jpg)
Simon Msuva amefaulu majaribio Afrika Kusini
MFUNGAJI bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Simon Msuva anarejea jioni ya leo Dar es Salaam na tabasamu ‘kuubwa’ baada ya kufaulu majaribio ya kucheza soka ya kulipwa Afrika Kusini.
Winga huyo wa mabingwa wa Tanzania Bara, Yanga SC jana amekamilisha majaribio yake ya siku tatu Bidvest Wits ya Ligi Kuu nchini humo na matokeo ni ‘safi’.
BIN ZUBEIRY inafahamu Bidvest Wits wameridhika na uwezo Msuva na sasa wanafungua majadiliano na klabu yake,...
11 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AONGOZA UJUMBE WA WAANGALIZI WA TANZANIA KWENYE UCHAGUZI NCHINI AFRIKA KUSINI
10 years ago
MichuziMaafisa Wakuu wa Chuo cha Ulinzi wa Taifa cha Afrika Kusini watembelea Wizara ya Mambo ya Nje
10 years ago
BBCSwahili20 Jan
I Coast vs Guinea:Ukweli wa mambo
Hakuna mchezaji ambaye ametoa usaidizi wa mabao katika michuano ya mataifa ya Afrika tangu mwaka 2010 kama Yaya Toure
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UmTytg8h6JcA21e6ompg*jgcpHJ2jd1RpNvy4r1nssIINuNNOPNGLt7RU*C2BukSG4AOjDZ9C9D01mthO1MO6WA9H9LpIhw7/d1441a466af811e3ada81299c50fcdf5_8.jpg)
PENNY AZUNGUMZA UKWELI WA MAMBO
Penniel Mwingila 'VJ Penny'. Mtangazaji na meneja wa vipindi wa kituo cha runinga cha DTV, Penniel Mwingila 'VJ Penny' amesema kuwa yeye na mpenzi wake, staa wa ‘My Number One’, Diamond Platnumz, wamepeana nafasi ili kila mmoja kutafakari anachotaka maishani. Kauli ya Penny kwenye mahojiano maalum na Bongo5 TV, inajibu maswali ya wengi kuhusiana na… ...
10 years ago
BBCSwahili19 Jan
Senegal vs Ghana:Ukweli wa mambo
Senegal wameshindwa kushinda michuano mitatu ya mechi za kombe la mataifa ya afrika dhidi ya Ghana.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania