Beki Yanga atimkia Afrika Kusini
![](http://api.ning.com:80/files/yv5LJqWpO0pspPZXGabzzVafC8LhqVDWVx8ZzyX5*b69fxWdkIMgPSgT*BczvU*QskzEF5p3BwJMEHKi4BWXRd3*q6zSITe6/yanga.jpg?width=650)
Beki wa kati wa Yanga mwenye umbo kubwa, Rajab Zahir. Na Wilbert Molandi PIGO jingine Yanga! Hivyo ndivyo utakavyoweza kutamka kwa beki wa kati mwenye umbo kubwa, Rajab Zahir kuitwa kwenye majaribio ya kucheza soka la kulipwa kwenye Klabu ya Bloemfontein Celtic inayoshiriki Ligi Kuu ya Afrika Kusini ‘Sauz’.…
GPL
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-qTJDI0cHifI/Xl0BnaLhWLI/AAAAAAACz3o/K3xcfSD0Zs8uLwjGEMzX7LA-nNGNZobhACLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
MBUNGE WA CUF MKOA WA KUSINI PEMBA ATIMKIA CCM
![](https://1.bp.blogspot.com/-qTJDI0cHifI/Xl0BnaLhWLI/AAAAAAACz3o/K3xcfSD0Zs8uLwjGEMzX7LA-nNGNZobhACLcBGAsYHQ/s640/1.jpg)
Ngwali ametangaza uamuzi huo leo Jumatatu Machi 2, 2020 mbele ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole ambaye yupo Zanzibar katika ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM Wilaya za kisiwani Pemba.
Mbunge huyo amesema anajiunga CCM kwa sababu chama hicho tawala kinapeleka maendeleo kwa wananchi.
Ngwali anaungana na...
10 years ago
Mwananchi13 Oct
Simba yapata pigo Afrika Kusini kabla ya kuivaa Yanga
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-MQUK68_pfIM/VU2tIpE8jpI/AAAAAAABiAk/bzpKWMFhO6k/s72-c/SIMON%2BMSUVA.jpg)
MSUVA MAMBO SAFI AFRIKA KUSINI, YANGA WALETEWA OFA RASMI YA KUMUUZA
![](http://4.bp.blogspot.com/-MQUK68_pfIM/VU2tIpE8jpI/AAAAAAABiAk/bzpKWMFhO6k/s1600/SIMON%2BMSUVA.jpg)
Simon Msuva amefaulu majaribio Afrika Kusini
MFUNGAJI bora wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Simon Msuva anarejea jioni ya leo Dar es Salaam na tabasamu ‘kuubwa’ baada ya kufaulu majaribio ya kucheza soka ya kulipwa Afrika Kusini.
Winga huyo wa mabingwa wa Tanzania Bara, Yanga SC jana amekamilisha majaribio yake ya siku tatu Bidvest Wits ya Ligi Kuu nchini humo na matokeo ni ‘safi’.
BIN ZUBEIRY inafahamu Bidvest Wits wameridhika na uwezo Msuva na sasa wanafungua majadiliano na klabu yake,...
10 years ago
Mwananchi26 Jan
Ngasa atimkia Sauzi, Yanga yamsubiri
10 years ago
Habarileo07 Aug
Yanga yasajili beki wa Togo
YANGA imemsajili beki wa kati Vincent Baossou kutoka Togo kuziba nafasi ya Joseph Zuttah wa Ghana aliyetupiwa virago.
10 years ago
Mwananchi30 Dec
Beki tatizo Yanga, Azam
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/czF6wJsbSj362YjnsfjMjGke3f2V42yAab4D*FYpixDUrUv4aK5Kwq*6*KTI*Tf14GVbOujFUZXNDMVUrpf8MMwe7UIQimLI/TAMBWE.jpg?width=650)
Tambwe: Yanga hakuna beki wa kunizuia
10 years ago
Mwananchi28 Apr
Beki wa Blackburn Rovers atua Yanga
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*tHd*uipNJB-kCgU5ue-P05VxQK1JRGfCshUT5qXtWwnoO4KyT-UBbxRkKom*wbjHAOE6kl2AcTLMOO5W8ArJeNkafEoBKhO/11.gif?width=650)
Beki avunja mkataba, atua Yanga