Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga yasajili beki wa Togo

YANGA imemsajili beki wa kati Vincent Baossou kutoka Togo kuziba nafasi ya Joseph Zuttah wa Ghana aliyetupiwa virago.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

USAJILI: Simba SC yasajili beki wa Lipuli

>Simba imemsajili beki wa Lipuli na Taifa Stars, Joram Mgeveke kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

 

9 years ago

Global Publishers

Yanga yasajili kiboko ya Niyonzima

issoufou-boubacar2Mshambuliaji, Issofou Boubacar.

Wilbert Molandi,
Dar es Salaam
KATIKA usajili wa dirisha dogo uliofikia tamati Desemba 15, mwaka huu, Yanga imesajili wachezaji wawili tu, straika Paul Nonga na kiungo mshambuliaji, Issofou Boubacar ili kujiimarisha.

NIYONZIMANEW4Haruna Niyonzima.

Lakini jana Ijumaa asubuhi katika mazoezi ya timu hiyo kwenye Uwanja wa Boko Veterani, Yanga ilianza kumfanyia majaribio kiungo Sina Jerome aliyetokea Rayon Sports ya Rwanda.
Yanga inafanya hivyo ili kujiridhisha kuhusu uwezo wa...

 

11 years ago

GPL

Yanga yasajili kiungo usiku

Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Sweetbert Lukonge na Hans Mloli
KLABU ya Yanga, jana usiku ilitarajiwa kumsainisha kiungo wa Taifa Stars, Said Juma.
Inadaiwa kuwa, aliyekuwa kocha wa Yanga, Hans van Der Pluijm, ndiye aliyetoa mapendekezo ya kusajiliwa kwa kiungo huyo. Jana usiku, Yanga ilitarajiwa kumsainisha mkataba wa miaka miwili lakini kama ingeshindikana jana, basi anaweza akasajiliwa ndani ya siku mbili...

 

11 years ago

Bongo5

Yanga yasajili Mbrazili wa pili, Geilson Santos Santana ‘Jaja’

Mshamabuliaji Geilson Santos Santana “Jaja” raia wa Brazil leo amesaini mkataba wa miaka miwili (2014-2016) kuitumikia timu ya Young Africans. Jaja akipokea nakala ya mkataba wake kutoka kwa Katibu Mkuu wa Young Africans Bw Beno Njovu Katibu mkuu wa Young Africans Beno Njovu amesema usajli wa Jaja unakua ni wa pili msimu huu kwa wachezaji […]

 

10 years ago

GPL

Jembe la Togo lamalizana na... Yanga

 Beki wa kati wa kimataifa raia wa Togo, Vincent Bossou. Wilbert Molandi,Dar es Salaam SIKU moja baada ya kumpokea kiungo mkabaji Mzimbabwe, Yanga, jana asubuhi ilimpokea beki wa kati wa kimataifa raia wa Togo, Vincent Bossou aliyetua kwa ajili ya kuichezea timu hiyo msimu ujao wa 2015/2016. Beki huyo mwenye uwezo wa kucheza namba zote za ulinzi wa kati, ametua kuichezea timu hiyo baada ya Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der...

 

10 years ago

Mwananchi

Beki tatizo Yanga, Azam

Wawakilishi wa Tanzania katika mashindano ya Afrika mwakani, Azam na Yanga walishindwa kutambiana juzi kwa kutoka sare 2-2, lakini mengi yalijiweka bayana katika mchezo huolicha ya matokeo hayo yapo mambo mengi yaliyojitokeza.

 

11 years ago

GPL

Beki Yanga atimkia Afrika Kusini

Beki wa kati wa Yanga mwenye umbo kubwa, Rajab Zahir. Na Wilbert Molandi
PIGO jingine Yanga! Hivyo ndivyo utakavyoweza kutamka kwa beki wa kati mwenye umbo kubwa, Rajab Zahir kuitwa kwenye majaribio ya kucheza soka la kulipwa kwenye Klabu ya Bloemfontein Celtic inayoshiriki Ligi Kuu ya Afrika Kusini ‘Sauz’.…

 

11 years ago

GPL

Beki avunja mkataba, atua Yanga

Na Martha Mboma
BEKI wa Coastal Union, Abdi Banda, amefunguka  na kusema yupo katika hatua nzuri ya kuweza kumalizana na Yanga, huku akiwa anavunja mkataba wake. Beki wa Coastal Union, Abdi Banda. Kabla ya msimu uliopita Yanga ilikuwa ikimhitaji beki huyo ambaye alipandishwa kutoka timu ya vijana ya Coastal…

 

11 years ago

GPL

Tambwe: Yanga hakuna beki wa kunizuia

Amissi Tambwe. Na Sweetbert Lukonge
IKIWA imesalia wiki moja kabla ya kukutana uso kwa uso na Yanga, straika wa Simba, Amissi Tambwe ametamba kuwa lazima afunge bao katika mechi hiyo ya Ligi Kuu Bara inayotarajiwa kuchezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Akizungumza na Championi Ijumaa, Tambwe anayeongoza kwa mabao katika ligi hiyo akiwa amecheka na nyavu mara 19, alisema jeuri hiyo anaipata kwa sababu ukuta wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani