Beki tatizo Yanga, Azam
Wawakilishi wa Tanzania katika mashindano ya Afrika mwakani, Azam na Yanga walishindwa kutambiana juzi kwa kutoka sare 2-2, lakini mengi yalijiweka bayana katika mchezo huolicha ya matokeo hayo yapo mambo mengi yaliyojitokeza.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi09 Jul
Cannavaro: Beki Taifa Stars tatizo
>Nahodha wa Taifa Stars, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ amesema safu yao ya ulinzi imekuwa ikifanya makosa mengi yanayoigharimu timu hiyo, lakini amewatoa hofu mashabiki kuwa hali hiyo haitajirudia kwenye mchezo ujao dhidi ya Msumbiji.
11 years ago
GPL
Friends of Simba wateka beki Azam
Joram Mgeveke akisani mkataba kujiunga na timu ya Simba mbele ya mwenyekiti wa kamati ya Usajili Simba, Zacharia Hans Pope. Na Sweetbert Lukonge
KAMATI ya Usajili ya Simba iliyopo chini ya mwenyekiti, Zacharia Hans Pope, imeizidi kete Azam FC baada ya kumsajili beki wa kati wa Lipuli ya Iringa na timu ya taifa, Taifa Stars, Joram Nasson Mgezeke. Mgezeke ambaye amekuwa chaguo pekee la Kocha Mholanzi wa Taifa Stars, Mart Nooij...
10 years ago
Habarileo07 Aug
Yanga yasajili beki wa Togo
YANGA imemsajili beki wa kati Vincent Baossou kutoka Togo kuziba nafasi ya Joseph Zuttah wa Ghana aliyetupiwa virago.
11 years ago
GPL
Tambwe: Yanga hakuna beki wa kunizuia
Amissi Tambwe. Na Sweetbert Lukonge
IKIWA imesalia wiki moja kabla ya kukutana uso kwa uso na Yanga, straika wa Simba, Amissi Tambwe ametamba kuwa lazima afunge bao katika mechi hiyo ya Ligi Kuu Bara inayotarajiwa kuchezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Akizungumza na Championi Ijumaa, Tambwe anayeongoza kwa mabao katika ligi hiyo akiwa amecheka na nyavu mara 19, alisema jeuri hiyo anaipata kwa sababu ukuta wa...
11 years ago
GPL
Beki Yanga atimkia Afrika Kusini
Beki wa kati wa Yanga mwenye umbo kubwa, Rajab Zahir. Na Wilbert Molandi
PIGO jingine Yanga! Hivyo ndivyo utakavyoweza kutamka kwa beki wa kati mwenye umbo kubwa, Rajab Zahir kuitwa kwenye majaribio ya kucheza soka la kulipwa kwenye Klabu ya Bloemfontein Celtic inayoshiriki Ligi Kuu ya Afrika Kusini ‘Sauz’.…
10 years ago
Mwananchi28 Apr
Beki wa Blackburn Rovers atua Yanga
Yanga imempokea beki mkongwe wa Afrika Kusini, Aaron Mokoena tayari kufanya majaribio ya kusaka nafasi ya kujiunga na mabingwa wapya Ligi Kuu Bara.
11 years ago
GPL
Beki avunja mkataba, atua Yanga
Na Martha Mboma
BEKI wa Coastal Union, Abdi Banda, amefunguka na kusema yupo katika hatua nzuri ya kuweza kumalizana na Yanga, huku akiwa anavunja mkataba wake. Beki wa Coastal Union, Abdi Banda. Kabla ya msimu uliopita Yanga ilikuwa ikimhitaji beki huyo ambaye alipandishwa kutoka timu ya vijana ya Coastal…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania