Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Friends of Simba wateka beki Azam

Joram Mgeveke akisani mkataba kujiunga na timu ya Simba mbele ya mwenyekiti wa kamati ya Usajili Simba, Zacharia Hans Pope. Na Sweetbert Lukonge
KAMATI ya Usajili ya Simba iliyopo chini ya mwenyekiti, Zacharia Hans Pope, imeizidi kete Azam FC baada ya kumsajili beki wa kati wa Lipuli ya Iringa na timu ya taifa, Taifa Stars, Joram Nasson Mgezeke. Mgezeke ambaye amekuwa chaguo pekee la Kocha Mholanzi wa Taifa Stars, Mart Nooij...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

FRIENDS OF SIMBA: WABAYA WA KILA JAMBO, DAWA YA MWENDO SIMBA

Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zakaria Hans Pope. Na Saleh Ally
NILIWAHI kuzungumzia kuhusiana na Coastal Union kuachana na malumbano yasiyokuwa na sababu dhidi ya aliyekuwa mdhamini wao, Nassor Bin Slum ambaye ni mnazi mkubwa wa timu hiyo. Azim Dewji. Mwisho Bin Slum ameondoka na kuamua kufanya mambo yake kibiashara zaidi, sasa kampuni yake kupitia matairi na betri za magari, inadhamini… ...

 

10 years ago

Mwananchi

Beki tatizo Yanga, Azam

Wawakilishi wa Tanzania katika mashindano ya Afrika mwakani, Azam na Yanga walishindwa kutambiana juzi kwa kutoka sare 2-2, lakini mengi yalijiweka bayana katika mchezo huolicha ya matokeo hayo yapo mambo mengi yaliyojitokeza.

 

10 years ago

Michuzi

Friends Rangers kuwavaa Azam

KIKOSI cha timu ya Friends Rangers, kesho asubuhi kinashuka kwenye Uwanja wa Azam Complex, uliopo Chamazi Dar es Salaam, kuvaana na timu ya Azam FC, katika mchezo wa kirafiki.
Ofisa habari wa klabu hiyo Asha Kigundula, alisema kuwa mchezo huo utafanyika asubuhi kuanzia saa 2, asubuhi.
Kigundula alisema kuwa wameshukuru kupata mechi hiyo ambayo itaendelea kuiweka timu yao katika mazingira mazuri kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa ligi daraja la kwanza.
Alisema kuwa kucheza na timu kama Azam...

 

10 years ago

GPL

Beki awaita Simba Nigeria

Beki wa zamani wa Simba, Komambil Keita. Na Mwandishi Wetu
BEKI wa zamani wa Simba, Komambil Keita, amewaita viongozi wa klabu hiyo nchini Nigeria wakafanye mazungumzo. Keita, raia wa Mali, anakipiga nchini Nigeria katika klabu ya Highland FC na ametamba kuwa yuko katika kiwango cha juu kabisa.Akizungumza na Championi Jumatano kutoka Nigeria, Keita amesema amepata taarifa za Simba kuwa na matatizo katika safu ya ulinzi....

 

11 years ago

GPL

TFF yamfungia beki Simba

BEKI wa kushoto wa timu ya Simba (kulia), Abdi Banda. Na Said Ally
BEKI wa kushoto wa timu ya Simba, Abdi Banda, amesema kuwa amefungiwa mechi mbili na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF). Banda alikuwa na utata kwenye usajili wake na Simba huku akidaiwa kuwa alisaini kwenye timu hiyo ya Msimbazi wakati akiwa bado na mkataba na Coastal Union na timu zote zilipeleka jina la mchezaji huyo kwenye usajili wake lakini aliidhinishwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Beki Simba atua African Lyon

KLABU ya African Lyon ya jijini Dar es Salaam, ambayo inashiriki Ligi Daraja la Kwanza Taifa (FDL), imemsajili beki wa Simba, Hassan Isihaka kwa mkataba wa miaka mitatu wenye thamani...

 

10 years ago

GPL

Coutinho awaletea Simba... beki Mbrazili

Kiungo wa Yanga, Mbrazil, Andrey Coutinho. Na Said Ally
KIUNGO wa Yanga, Mbrazil, Andrey Coutinho, ameushauri uongozi wa Simba katika kipindi hiki cha usajili, iende nchini humo kusajili beki hatari.Coutinho yupo nchini kwao kwa ajili ya mapumziko ya siku 10 waliyopewa na uongozi wa timu hiyo baada ya kusimama kwa ligi. Akizungumza na Championi Jumatatu moja kwa moja kutoka Brazil, Coutinho alisema kama viongozi wa Simba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani