Coutinho awaletea Simba... beki Mbrazili
![](http://api.ning.com:80/files/DbrwTSp7ycNNxlOs3veOZmwZO8tmATmYmKSGs*5LQ-bWzKxPSo*ONzv-I3Om-2GWRZxzqaVPZ2OIMuK3V7-ORdXHy-JG1-Rj/tinyo.jpg)
Kiungo wa Yanga, Mbrazil, Andrey Coutinho. Na Said Ally KIUNGO wa Yanga, Mbrazil, Andrey Coutinho, ameushauri uongozi wa Simba katika kipindi hiki cha usajili, iende nchini humo kusajili beki hatari.Coutinho yupo nchini kwao kwa ajili ya mapumziko ya siku 10 waliyopewa na uongozi wa timu hiyo baada ya kusimama kwa ligi. Akizungumza na Championi Jumatatu moja kwa moja kutoka Brazil, Coutinho alisema kama viongozi wa Simba...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TQDVHBx0tuWGt8UPx4yp65pF*x3ZoLrlSVnpPFPqv1NZJ9DuIBtKMuQmIpFN3Gx49BmFgYQxSlcHu1zQZoe4SjHiR7tC4DKc/tff.jpg)
TFF yamfungia beki Simba
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HwqJujqzkWgSqO7ypDtxRUvsKW-BTbKHPVUO1B0U9rp*j6j1AMFAD8uGBif9wtd07*4Uccs0wzvfbZwPOBbt*VrnmcJTmG7U/beki.jpg)
Beki awaita Simba Nigeria
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/BMX2CDnBHSKW4Hly7EtM-urYSp2kYZChDKYQbM*asVVOk-Ce9f3TYnN4QyZpw6AKqvBlALDUcABLKz2dbvyj5IZuzKg3nmCD/beki.gif?width=600)
Beki ataka milioni 35 asaini Simba SC
11 years ago
Tanzania Daima05 Aug
Beki Simba atua African Lyon
KLABU ya African Lyon ya jijini Dar es Salaam, ambayo inashiriki Ligi Daraja la Kwanza Taifa (FDL), imemsajili beki wa Simba, Hassan Isihaka kwa mkataba wa miaka mitatu wenye thamani...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y-6c8O6EPx8N74TTS3iFiSQH00V127XaimZzsa-gTtxKQFtyo2sz3*QGoZc2ENXKYMU8MmacfCbCJDwHGTD8*D*G5JfAncNf/simba.jpg?width=650)
Friends of Simba wateka beki Azam
11 years ago
Mwananchi23 Jun
USAJILI: Simba SC yasajili beki wa Lipuli
9 years ago
Mtanzania28 Nov
Beki Simba ajipa likizo timu ya Taifa
NA ZAINAB IDDY
BEKI wa Simba, Abdi Banda, amesema kuwa kwa hivi sasa hana mpango wa kuitumikia timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ hadi baada ya mwaka mmoja kutokana na majanga aliyokutana nayo akiwa na timu hiyo.
Banda hivi karibuni ameanza mazoezi na kikosi chake cha Simba, baada ya kuwa nje ya uwanja kwa kipindi kirefu kutokana na kusumbuliwa na tatizo la nyama za paja alilolipata akiwa na Taifa Stars kipindi ikijiandaa na michuano ya Afcon ilipokuwa kambini nchini Uturuki.
Akizungumza na...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dM6a4AYRwJOdljokZc6BqLKrtZcV0RH3qzb7YgnxlJr93Ca3VvG4Vddgdn9KWY7WHldCnkh7gHzfZ6ygVBiZK*HBoWuo1UxK/yanga.jpg?width=650)
Yanga yamteka beki Simba airport, yaondoka naye
9 years ago
Mwananchi10 Oct
Beki Simba avunjika kidole, kukaa nje mwezi mmoja