Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


USAJILI: Simba SC yasajili beki wa Lipuli

>Simba imemsajili beki wa Lipuli na Taifa Stars, Joram Mgeveke kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Yanga yasajili beki wa Togo

YANGA imemsajili beki wa kati Vincent Baossou kutoka Togo kuziba nafasi ya Joseph Zuttah wa Ghana aliyetupiwa virago.

 

10 years ago

Dewji Blog

Wakala wa usajili ufilisi na udhamini (RITA) yasajili na kutoa vyeti 5,081 kwa shule zote za wilaya ya Kinondoni jijini Dar

Msajili wa Vizazi na Vifo wa Wilaya ya Kinondoni, Mariam Ling’ande (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu maendeleo ya kampeni ya usajili na utoaji wa vyeti vya kuzaliwa kwa wanafunzi wa shule za msingi katika Wilaya ya Kinondoni. Kushoto ni Meneja Masoko Mawasiliano Elimu kwa Umma wa  Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA), Josephat Kimaro.

Meneja Masoko Mawasiliano Elimu kwa Umma wa  Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA),...

 

10 years ago

Vijimambo

WAKALA WA USAJILI UFILISI NA UDHAMINI (RITA) YASAJILI NA KUTOA VYETI 5,081 KWA SHULE ZOTE ZA WILAYA YA KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM



 Msajili wa Vizazi na Vifo wa Wilaya ya Kinondoni, Mariam Ling'ande (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu maendeleo ya kampeni ya usajili na utoaji wa vyeti vya kuzaliwa kwa wanafunzi wa shule za msingi katika Wilaya ya Kinondoni. Kushoto ni Meneja Masoko Mawasiliano Elimu kwa Umma wa  Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA), Josephat Kimaro. Meneja Masoko Mawasiliano Elimu kwa Umma wa  Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA),...

 

11 years ago

GPL

Simba SC yasajili Warundi wawili

Mshambuliaji mwenye kasi, Amissi Cedric. Na Sweetbert Lukonge
KAZI ya usajili imeanza na Simba wanaonekana kuwa na kasi kubwa baada ya kuanza mazungumzo na wachezaji wawili wanaokipiga kwenye timu ya taifa ya Burundi na mambo yanakwenda vizuri.
Simba iko katika hatua za mwisho kuwatia mkononi Warundi wawili baada ya kuwaona wakifanya vema katika mechi ya kirafiki dhidi ya Taifa Stars iliyochezwa juzi Jumamosi kwenye Uwanja wa...

 

11 years ago

Michuzi

SIMBA NA MBEYA CITY DROO 1-1 , LIPULI FC YAICHAPA POLISI MOROGORO 3-1

Mashabiki wa Simba
Matokeo  ya mchezo la  ligi kuu  ya  Voda Com si Simba  wala  Mbeya City  baada ya  timu  hizo  zote  mbili kutoka   uwanjani  hapo kwa kifua mbele  cha goli 1-1.Mchezo  huo  ambao  kwa Mbeya  City  ni mchezo wa nyumbani  imeweza  kuonyesha umakini mkubwa wa kugomea  kufungwa  katika uwanja  wa Nyumbani wa Sokoine jijini Mbeya   huku   Simba nayo  ikikwepa " kugagaduliwa " ugenini  kiasi cha kuifanya  Simba  kukomaa na  kusawazisha  goli  la Mbeya  City lililofungwa...

 

10 years ago

GPL

TFF yamfungia beki Simba

BEKI wa kushoto wa timu ya Simba (kulia), Abdi Banda. Na Said Ally
BEKI wa kushoto wa timu ya Simba, Abdi Banda, amesema kuwa amefungiwa mechi mbili na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF). Banda alikuwa na utata kwenye usajili wake na Simba huku akidaiwa kuwa alisaini kwenye timu hiyo ya Msimbazi wakati akiwa bado na mkataba na Coastal Union na timu zote zilipeleka jina la mchezaji huyo kwenye usajili wake lakini aliidhinishwa...

 

10 years ago

GPL

Beki awaita Simba Nigeria

Beki wa zamani wa Simba, Komambil Keita. Na Mwandishi Wetu
BEKI wa zamani wa Simba, Komambil Keita, amewaita viongozi wa klabu hiyo nchini Nigeria wakafanye mazungumzo. Keita, raia wa Mali, anakipiga nchini Nigeria katika klabu ya Highland FC na ametamba kuwa yuko katika kiwango cha juu kabisa.Akizungumza na Championi Jumatano kutoka Nigeria, Keita amesema amepata taarifa za Simba kuwa na matatizo katika safu ya ulinzi....

 

11 years ago

GPL

Beki ataka milioni 35 asaini Simba SC

Beki wa pembeni wa Coastal Union ya Tanga, Abdi Banda. Wilbert Molandi na Said Ally
BEKI wa pembeni wa Coastal Union ya Tanga, Abdi Banda amekubali kusaini kuichezea klabu kongwe ya Simba, lakini kwa sharti moja kubwa kuwa wampatie shilingi milioni 35. Awali, beki huyo ambaye pia anaichezea timu ya taifa ya vijana yenye umri chini ya miaka 20, Ngorongoro Heroes alipendekezwa na Kocha Mkuu wa Yanga, Mholanzi, Hans van Der...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Beki Simba atua African Lyon

KLABU ya African Lyon ya jijini Dar es Salaam, ambayo inashiriki Ligi Daraja la Kwanza Taifa (FDL), imemsajili beki wa Simba, Hassan Isihaka kwa mkataba wa miaka mitatu wenye thamani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani