Simba SC yasajili Warundi wawili

Mshambuliaji mwenye kasi, Amissi Cedric. Na Sweetbert Lukonge KAZI ya usajili imeanza na Simba wanaonekana kuwa na kasi kubwa baada ya kuanza mazungumzo na wachezaji wawili wanaokipiga kwenye timu ya taifa ya Burundi na mambo yanakwenda vizuri. Simba iko katika hatua za mwisho kuwatia mkononi Warundi wawili baada ya kuwaona wakifanya vema katika mechi ya kirafiki dhidi ya Taifa Stars iliyochezwa juzi Jumamosi kwenye Uwanja wa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi23 Jun
USAJILI: Simba SC yasajili beki wa Lipuli
10 years ago
Mwananchi31 Aug
Wawili Simba ‘wauzwa’ Senegal
11 years ago
Tanzania Daima29 Jan
Simba kuwakosa wawili Jumamosi
WEKUNDU wa Msimbazi Simba, wanaotarajiwa kuwavaa maafande wa JKT Oljoro kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, huenda wakawakosa nyota wao wawili; Joseph Owino na Nassor Masoud ‘Cholo’. Akizungumza...
10 years ago
Mwananchi27 Apr
Warundi 152,572 wahalalishwa TZ
11 years ago
Mwananchi15 Oct
Warundi wapewa uraia wa Tanzania
10 years ago
Mwananchi15 Jan
Warundi wadakwa na meno 25 ya tembo
10 years ago
BBCSwahili30 Jun
Warundi 10,000 wakimbia nchi wikendi
10 years ago
Habarileo30 May
Warundi waacha njaa kijijini Kagunga
MWEZI mmoja baada ya wakimbizi wa Burundi kuanza kuingia nchini wakikimbia machafuko nchini mwao, athari za ujio wao zimeanza kuonekana kutokana na kijiji cha Kagunga wilaya ya Kigoma, mwambao wa Kaskazini wa Ziwa Tanganyika, kukumbwa na njaa.
10 years ago
Habarileo19 Oct
Warundi wanaosaka hifadhi wazidi kuongezeka
IDADI ya raia wa Burundi wanaoingia nchini kutafuta hifadhi ya ukimbizi imetajwa kuwa inazidi kuongezeka siku hadi siku. Taarifa iliyotolewa na msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Isaac Nantanga imesema hadi Oktoba 17 mwaka huu, idadi imefikia 107,112.