Warundi wadakwa na meno 25 ya tembo
Polisi mkoani Katavi wanawashikilia watu wawili raia wa Burundi kwa tuhuma za kuwakuta na meno ya tembo 25 yakiwa na uzito wa kilo 42 yenye thamani ya Sh148 milioni.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo25 Nov
Warundi kortini kwa meno 18 ya tembo
RAIA watatu wa Burundi akiwemo mwanamke wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu mkazi wa Wilaya ya Morogoro, wakikabiliwa na mashitaka matatu ya kuhujumu uchumi baada ya kukamatwa na meno ya tembo 18, na mikia mitano ya twiga, vyote vikiwa na thamani ya Sh milioni 357.
11 years ago
GPL
WATU WATATU WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO
11 years ago
Michuzi.jpg)
WATU WATATU WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO
10 years ago
Uhuru Newspaper14 Apr
Wanaswa na meno ya tembo
NA LATIFA GANZEL, MOROGORO
WATU watano wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma ya kukutwa na vipande vinane vya meno ya tembo, vikiwa vimevificha kwenye dumu la mafuta.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Leonard Paul, alisema tukio hilo lilitokea jana, saa 2:30 usiku katika eneo la Daraja Mbili, barabara ya kwenda Mikumi wilayani Kilosa.
Alisema watuhumiwa hao walikamatwa na polisi kwa kushirikiana na askari wa wanyamapori, waliokuwa kwenye doria.
Paul alisema watu hao walichukua...
11 years ago
Tanzania Daima01 Apr
Wanaswa na meno ya tembo 53
WATU sita wanaodhaniwa kuwa ni majangili wamekamatwa na meno ya tembo 53 yenye kilo 169.7, wakiwa na silaha aina ya SMG yenye magazine tatu kwenye Kijiji cha Kiomboi, wilayani Manyoni,...
11 years ago
Habarileo12 Jan
Meno zaidi ya tembo yakamatwa
JESHI la Polisi Mkoa wa Iringa, usiku wa kuamkia jana lilikamata meno matano ya tembo ambayo thamani yake haikuweza kujulikana mara moja kutoka kwa wafanyabiashara watatu wakazi wa Mbezi, Dar es Salaam.
11 years ago
Habarileo15 Feb
Meno ya tembo yakamatwa Mtwara
JESHI la Polisi wilayani hapa, limekamata nyara za Serikali ikiwa ni meno ya tembo 58 yenye uzito wa kilo 130.6 na watuhumiwa watatu ambao walikuwa wanayasafirisha kutoka hapa kwenda Dar es Salaam.
11 years ago
Mwananchi28 Apr
Ni meno ya tembo au pembe za ndovu?