Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Warundi wanaosaka hifadhi wazidi kuongezeka

IDADI ya raia wa Burundi wanaoingia nchini kutafuta hifadhi ya ukimbizi imetajwa kuwa inazidi kuongezeka siku hadi siku. Taarifa iliyotolewa na msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Isaac Nantanga imesema hadi Oktoba 17 mwaka huu, idadi imefikia 107,112.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wanawake wazidi kuongezeka nchini

Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imesema matokeo ya sensa ya watu na makazi yanaonyesha kuwa idadi ya wanawake inaendelea kuongezeka kulinganisha na wanaume.

 

9 years ago

Vijimambo

IDADI YA RAIA WA BURUNDI WANAOINGIA NCHINI KUTAFUTA HIFADHI YA UKIMBIZI YAZIDI KUONGEZEKA

Baadhi ya Wakimbizi kutoka Burundi wakipokelewa katika Kambi ya Wakimbizi ya Nduta, wilayani Kobondo, mkoani Kigoma. Idadi ya wakimbizi kutoka nchini humo inazidi kuongezeka siku hadi siku. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya NchiWatoto wa Wakimbizi kutoka Burundi wakiwa katika Kambi ya Wakimbizi ya Nduta wilayani Kibondo, mkoani Kigoma ambapo wanahifadhiwa
Idadi ya raia wa Burundi wanaoingia nchini kutafuta hifadhi ya ukimbizi inazidi kuongezeka siku hadi siku ambapo hadi...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: Waomba hifadhi kutoka nchini Burundi wazidi kuwasili nchini

Waomba hifadhi kutoka nchini Burundi wakiwasili nchini kwa boti hivi sasa kwa boti mbili maeneo ya Kibilizi, Mkoani Kigoma. Bado idadi yao haijafahamika kwani bado zoezi la kuwaandikisha linaelea katika eneo hilo. Ujio wa waomba hifadhi hawa unakuja kutokana na machafuko yanayoendelea nchini humo ambayo yameshika kasi na kusababisha wananchi kuanza kukimbilia nchini Tanzania.Burundi ilikumbwa na machafuko katika miaka ya nyuma na baadaye kuwa na amani lakini sasa inaingia katika mgogoro tena...

 

11 years ago

Habarileo

‘Msitumiwe na wanaosaka urais’

WATANZANIA wametakiwa kutokubali kutumiwa na baadhi ya wanasiasa wanaowachochea kufanya vurugu na maandamano kwa lengo la kutafuta urais na nyadhifa nyingine mbalimbali nchini.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanaosaka namba Stars kutajwa kesho

MCHAKATO wa ung’amuzi wa vipaji kwa ajili ya maboresho ya timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, ulioshirikisha wang’amuzi wa vipaji zaidi ya 40 umekamilika jana na majina ya nyota...

 

10 years ago

Michuzi

Benki M kushirikiana na Taasisi ya kibiashara ya Marekani Katika kuwasaidia Watanzania wanaosaka ajira

Makamu Mkurugenzi Mkuu wa Benki M, Bi. Jacqueline Woiso (pili kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati Bank M ikitangaza kushirikiana na Taasisi ya kibiashara ya Marekani ya hapa Tanzania (AMCHAM-TZ) katika kuwasaidia wanaosaka ajira katika kuzikabili changamoto za ajira kisasa zaidi. Wengine pichani toka kushoto ni Makamu wa Rais wa sasa wa AMCHAM-TZ,Bhakti Shah, Mkurugenzi Mkuu wa AMCHAM-TZ, Richard Miles, Bw. David Mbumila kutoka Restless Development na Peter...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MEMBE AWASIHI WATANZANIA KUTOCHAGUA VIONGOZI WANAOSAKA UONGOZI KWA KUTOA RUSHWA

  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimatifa, Bernard Membe akimkabidhi Bi. Shamim Khan tuzo ya heshima ya kujishughulisha na kazi za kijamii hapa Tanzania,katika tamasha la kwanza la Qaswida
lililofanyika katika viwanja vya Shule ya Sekondari Benjamin Mkapa na kudhaminiwa na Kampuni ya Dira ya Mtanzania. PICHA NA MICHUZI JR.PICHA ZAIDI BOFYA HAPAWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe akipokea tuzo maalumu kutoka kwa Sheikh Ismail Mohamed wakati wa tamasha...

 

11 years ago

GPL

Simba SC yasajili Warundi wawili

Mshambuliaji mwenye kasi, Amissi Cedric. Na Sweetbert Lukonge
KAZI ya usajili imeanza na Simba wanaonekana kuwa na kasi kubwa baada ya kuanza mazungumzo na wachezaji wawili wanaokipiga kwenye timu ya taifa ya Burundi na mambo yanakwenda vizuri.
Simba iko katika hatua za mwisho kuwatia mkononi Warundi wawili baada ya kuwaona wakifanya vema katika mechi ya kirafiki dhidi ya Taifa Stars iliyochezwa juzi Jumamosi kwenye Uwanja wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Warundi wapewa uraia wa Tanzania

 Serikali imetoa vyeti vya uraia kwa zaidi ya Warundi 160,000 waliokubali kuwa Watanzania baada ya kuishi nchini kwa muda mrefu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani