Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanawake wazidi kuongezeka nchini

Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imesema matokeo ya sensa ya watu na makazi yanaonyesha kuwa idadi ya wanawake inaendelea kuongezeka kulinganisha na wanaume.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Warundi wanaosaka hifadhi wazidi kuongezeka

IDADI ya raia wa Burundi wanaoingia nchini kutafuta hifadhi ya ukimbizi imetajwa kuwa inazidi kuongezeka siku hadi siku. Taarifa iliyotolewa na msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Isaac Nantanga imesema hadi Oktoba 17 mwaka huu, idadi imefikia 107,112.

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: Waomba hifadhi kutoka nchini Burundi wazidi kuwasili nchini

Waomba hifadhi kutoka nchini Burundi wakiwasili nchini kwa boti hivi sasa kwa boti mbili maeneo ya Kibilizi, Mkoani Kigoma. Bado idadi yao haijafahamika kwani bado zoezi la kuwaandikisha linaelea katika eneo hilo. Ujio wa waomba hifadhi hawa unakuja kutokana na machafuko yanayoendelea nchini humo ambayo yameshika kasi na kusababisha wananchi kuanza kukimbilia nchini Tanzania.Burundi ilikumbwa na machafuko katika miaka ya nyuma na baadaye kuwa na amani lakini sasa inaingia katika mgogoro tena...

 

11 years ago

Mwananchi

Matumizi ya mbolea nchini sasa yadaiwa kuongezeka

Matumizi ya mbolea hai kwenye kilimo yamekuwa na mafanikio, baada wakulima kubaini matokeo mazuri yanayotokana na ardhi kuwa na rutuba ya kutosha na mazao kuwa na ubora.

 

11 years ago

Mwananchi

Vituo vya kupigia kura kuongezeka maradufu nchini

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Damian Lubuva amesema vituo vya kupigia kura katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 vitaongezeka mara mbili zaidi ya vile vilivyotumika katika uchaguzi uliopita.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wanawake Arusha wazidi kuishi kwa hofu

WANAWAKE jijini Arusha, wamesema usalama wao uko matatani kutokana na kuongezeka kwa matukio yanayowalenga ya kushambuliwa kwa risasi na watu wanaokuwa kwenye bodaboda, ambako wengine wakijeruhiwa vibaya huku wawili wakifariki...

 

9 years ago

Vijimambo

IDADI YA RAIA WA BURUNDI WANAOINGIA NCHINI KUTAFUTA HIFADHI YA UKIMBIZI YAZIDI KUONGEZEKA

Baadhi ya Wakimbizi kutoka Burundi wakipokelewa katika Kambi ya Wakimbizi ya Nduta, wilayani Kobondo, mkoani Kigoma. Idadi ya wakimbizi kutoka nchini humo inazidi kuongezeka siku hadi siku. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya NchiWatoto wa Wakimbizi kutoka Burundi wakiwa katika Kambi ya Wakimbizi ya Nduta wilayani Kibondo, mkoani Kigoma ambapo wanahifadhiwa
Idadi ya raia wa Burundi wanaoingia nchini kutafuta hifadhi ya ukimbizi inazidi kuongezeka siku hadi siku ambapo hadi...

 

9 years ago

Mwananchi

Swala wazidi kusaka mafuta nchini

Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala inaendelea na programu zake za kutafuta mafuta nchini licha ya bei kwenye soko la dunia kushuka.

 

5 years ago

Michuzi

UGONJWA WA MALARIA WAZIDI KUPUNGUA NCHINI

Na.WAMJW,Chunya.

Takwimu za kitaifa za viashiria vya malaria kwa mwaka 2017 (Malaria Indicator Survey) inaonesha kuwa upatikanaji wa vyandarua (access) kwa wananchi kitaifa ni asilimia 63 na  matumizi ya vyandarua kwa wanajamii kitaifa ni asilimia 52.

Hayo yamesemwa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu wakati wa uzinduzi wa ugawaji wa vyandarua kwa kila kaya uliofanyika wilayani Chunya.

Waziri Ummy amesema kuwa Mkoa wa Mbeya, upatikanaji wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani