Wanawake Arusha wazidi kuishi kwa hofu
WANAWAKE jijini Arusha, wamesema usalama wao uko matatani kutokana na kuongezeka kwa matukio yanayowalenga ya kushambuliwa kwa risasi na watu wanaokuwa kwenye bodaboda, ambako wengine wakijeruhiwa vibaya huku wawili wakifariki...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima30 Aug
ACT: Udhaifu unachangia albino kuishi kwa hofu
MWENYEKITI wa Chama cha Alliance for Change and Transparence (ACT-Tanzania), Kadawi Limbu, amesema udhaifu wa serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika kuwalinda raia na mali zao kumechangia baadhi ya...
5 years ago
Michuzi
OFISA LHRC ANAYESHTAKIWA KWA UTAKATISHAJI FEDHA ASEMA VIRUSI VYA CORONA VIMESABABISHA MAHABUSU KUISHI KWA HOFU KUBWA MAGEREZANI
Na Karama Kenyunko,Michuzi TV
MSHTAKIWA Tito Magoti ambaye ni Ofisa wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), amedai licha ya Serikali kupunguza msongamano wa watu katika maeneo mbalimbali nchini ili kuzuia kusambaa kwa virusi vya Corona, mahabusu wanaishi kwa hofu kubwa kutokana na mlundikano uliopo huko gerezani.
Magoti anashtakiwa pamoja na Theodory Giyani (36) ambaye ni mtaalamu wa Tehama katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.Wote kwa pamoja wanakabiliwa na mashtaka matatu likiwemo...
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Nigeria ni miongoni mwa nchi zilizo hatari ulimwenguni kwa wanawake kuishi
11 years ago
Mwananchi16 Oct
Wanawake wazidi kuongezeka nchini
11 years ago
Mwananchi11 Oct
Jambazi tishio kwa wanawake Arusha auawa
11 years ago
Habarileo08 Apr
Chadema Arusha wazidi kumong’onyoka
CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Arusha kimeendelea kumeguka baada ya jana vigogo wake wanne wakiwemo wenyeviti wawili wa wilaya kutangaza kujiuzulu nyadhifa zao pamoja na uanachama kutokana na ufisadi unaodaiwa kuwepo ndani ya chama hicho ngazi ya taifa.
11 years ago
Tanzania Daima16 Sep
Ushirikina, mfumo dume vyawatia hofu wanawake, vijana
IMANI za kishirikina pamoja na mfumo dume ndani ya baadhi ya wanajamii wa mkoa wa Pwani, chanzo cha vijana na wanawake kushindwa kugombea nafasi za uongozi kwenye chaguzi mbalimbali. Hayo...
11 years ago
Tanzania Daima04 Jan
Watumishi wa Mungu watakiwa kuishi kwa maadili
WATUMISHI wa Mungu wametakiwa kuzingatia maadili katika maisha yao kwa kuishi kwa tabia njema ili waweze kushiriki kazi ya kulea na kuwalisha wanadamu maneno ya kiroho. Kauli hiyo ilitolewa na...