Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ACT: Udhaifu unachangia albino kuishi kwa hofu

MWENYEKITI wa Chama cha Alliance for Change and Transparence (ACT-Tanzania), Kadawi Limbu, amesema udhaifu wa serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika kuwalinda raia na mali zao kumechangia baadhi ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wanawake Arusha wazidi kuishi kwa hofu

WANAWAKE jijini Arusha, wamesema usalama wao uko matatani kutokana na kuongezeka kwa matukio yanayowalenga ya kushambuliwa kwa risasi na watu wanaokuwa kwenye bodaboda, ambako wengine wakijeruhiwa vibaya huku wawili wakifariki...

 

5 years ago

Michuzi

OFISA LHRC ANAYESHTAKIWA KWA UTAKATISHAJI FEDHA ASEMA VIRUSI VYA CORONA VIMESABABISHA MAHABUSU KUISHI KWA HOFU KUBWA MAGEREZANI




Na Karama Kenyunko,Michuzi TV
MSHTAKIWA Tito Magoti ambaye ni Ofisa wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), amedai licha ya Serikali kupunguza msongamano wa watu katika maeneo mbalimbali nchini ili kuzuia kusambaa kwa virusi vya Corona, mahabusu wanaishi kwa hofu kubwa kutokana na mlundikano uliopo huko gerezani.
Magoti anashtakiwa pamoja na Theodory Giyani (36) ambaye ni mtaalamu wa Tehama katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.Wote kwa pamoja wanakabiliwa na mashtaka matatu likiwemo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Albino bado wanaishi kwa hofu TZ

Kampenzi kubwa imezinduliwa nchini Tanzania,ikiongozwa na Raisi Jakaya Kikwete,kutafuta fedha kwa ajili ya kuwalinda watu wenye ulemavu wa ngozi maarufu kama albino.

 

10 years ago

StarTV

Utekaji Albino, Hofu yaendelea kutanda kwa jamii.

Na Rogers Willium,

Mwanza.

 

Wakati jeshi la polisi nchini likihangaika kumtafuta mtoto Pendo Emanuel mwenye ulemavu wa Ngozi baada ya kutekwa na watu wasiofahamika desemba 27 mwaka jana, mtoto mwingine wa mwaka mmoja Yohana Bahati ametekwa mkoani Geita.

Mtoto huyo ametekwa usiku wa kuamkia siku ya jumatatu nyumbani kwao katika kijiji cha Ilelema Wilaya ya Chato na watu wasiofahamika.

Matukio yote haya yanafanyika ndani ya siku 50 na hivyo kuleta hofu katika jamii hususan kwa watu...

 

11 years ago

Mwananchi

Hatutachoka kusema, albino wana haki ya kuishi

Kwa mara nyingine katika kipindi cha wiki moja, mtu mwenye ulemavu wa ngozi (albino) amekatwa mkono na watu wenye imani za kishirikina mkoani Tabora.

 

10 years ago

StarTV

Hofu yasababisha Albino kushindwa kuhudhuria mikutano ya kampeni.

 

Watu wenye ulemavu wa ngozi Albino mkoani Mara wamesema licha ya kuwa na haki ya kuhudhuria mikutano ya kampeni kusikiliza sera za wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi wamekuwa wakikosa fursa hiyo kutokana na kuhofia usalama wa maisha yao.

Wamesema licha ya Serikali na vyombo vingine kukemea vitendo wa kikatili wanavyofanyiwa watu wenye ulemavu wa ngozi ikiwemo kutekwa na kuuawa kikatili na kisha kunyofolewa baadhi ya viungo lakini bado kuna baadhi ya watu wanaendeleza vitendo hivyo...

 

10 years ago

Mwananchi

SIMULIZI: Huzuni, hofu vyatesa familia ya albino aliyetekwa, kuuawa -2

>Shija anasema yeye ni mtoto wa tatu kuzaliwa kwa baba na mama yake, walizaliwa watoto wanane, kati ya hao wanne ni albino, lakini kati ya albino hao wawili wamekufa, hivyo wamebaki wawili.

 

10 years ago

Mwananchi

Udhaifu wa Simba kuibeba tena kwa Yanga

Simba mwenda pole... Ndiye mla nyama. Au kwa lugha nyingine unaweza kusema Simba dhaifu ndiyo huwa inaifunga Yanga. Usemi huu umekuwa ukijidhihirisha mara nyingi Yanga na Simba zinapokutana hasa katika miaka ya hivi karibuni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani