Hofu yasababisha Albino kushindwa kuhudhuria mikutano ya kampeni.
Watu wenye ulemavu wa ngozi Albino mkoani Mara wamesema licha ya kuwa na haki ya kuhudhuria mikutano ya kampeni kusikiliza sera za wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi wamekuwa wakikosa fursa hiyo kutokana na kuhofia usalama wa maisha yao.
Wamesema licha ya Serikali na vyombo vingine kukemea vitendo wa kikatili wanavyofanyiwa watu wenye ulemavu wa ngozi ikiwemo kutekwa na kuuawa kikatili na kisha kunyofolewa baadhi ya viungo lakini bado kuna baadhi ya watu wanaendeleza vitendo hivyo...
StarTV
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
Wanakijiji wagoma kuhudhuria mikutano
WAKAZI wa Kijiji cha Izava, wilayani Chamwino, Dodoma, wamekataa kuhudhuria mikutano wa kijiji kwa mara ya nne mfululizo baada ya kuchoshwa na tabia ya kutosomewa mapato na matumizi ya fedha...
5 years ago
BBCSwahili28 Apr
Virusi vya corona: Mikutano mikubwa ya Kampeni za uchaguzi yaibua hofu ya maambukizi ya virusi vya corona
10 years ago
Dewji Blog04 Dec
RC Singida ahimiza wananchi kuhudhuria mikutano ya siasa
Mkuu wa mkoa wa Singida,Dk.Parseko Vicent Kone, akizungumza kwenye ufunguzi wa kikao cha ushauri ya mkoa (RCC) kilichofanyika leo kwenye ukumbi wa mikutano wa Social Training Centre mjini Singida.K ulia ni katibu tawala mkoa wa Singida,Liana Hassan na wa kwanza kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa Singida,M ary Chitanda na anayefuatia ni mwenyekiti CCM mkoa wa Singida,Mgana Msindai.
Na Nathaniel Limu, Singida
MKUU wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Vicent Kone, amewahimiza wananchi...
10 years ago
Bongo520 Feb
Diamond atoa sababu za kushindwa kuhudhuria msiba wa baba yake Dully, Ebby Sykes
10 years ago
CloudsFM14 Aug
HOFU YA UGAIDI KENYA YASABABISHA TUNDA MAN KUFUNGWA PINGU
Kutokana na mfululizo wa matukio ya kigaidi nchini Kenya, ulinzi umeongezeka maradufu kuhofia mashambulizi ya ghafla yanayofanywa na magaidi wanaotumia silaha za kivita, sasa weekend iliyopita mjini Mombasa,Kenya Captain Tunda Man kutoka kundi la TipTop Connection anawekwa chini ya ulinziwa polisi huku akiwa amefungwa pingu kwa dakika 45.
Zaidi huyu hapa captain wa bongo flava, Tunda Man anafunguka na clouds fm.
9 years ago
StarTV08 Sep
Hofu ya vijana kushindwa kuwatunza wazee yadaiwa kuchangia vifo.
Hofu ya vijana wengi ya kutokuwa na uwezo wa kuwatunza wazee imesabanisha wazee wengi kuuawa kwa kusingiziwa kuwa ni wachawi kwa kigezo cha kuwa na macho mekundu.
Hayo yamebainika katika kikao kati ya wazee na wandishi wa habari mkoani Ruvuma walipokuwa wakijadili kuhusu kuuawa kwa wazee kunakodaiwa kutokea katika kata ya Lilambo ambako wazee wamekuwa wakinyeshwa dawa inayosadikiwa kuwa ina sumu na mara baada ya kunyweshwa hupoteza maisha.
Wanawake wazee wakiongea kwa uchungu wamesema...
5 years ago
BBCSwahili22 Jun
Kampeni ya Trump yakanusha idadi ndogo kuhudhuria mkutano wake
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/e5ojRmBjrO8lHKEb06MFmo8XmYHEyjLBcH*BMDtSGSesR9*BlInvRkp*BMaH9IG3pxyUoeYuDIuCSefTkLQMTXuBDQO5s2Q9/makamba.jpg?width=650)
MIKUTANO YA KUFUNGA KAMPENI WA CCM