Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanakijiji wagoma kuhudhuria mikutano

WAKAZI wa Kijiji cha Izava, wilayani Chamwino, Dodoma, wamekataa kuhudhuria mikutano wa kijiji kwa mara ya nne mfululizo baada ya kuchoshwa na tabia ya kutosomewa mapato na matumizi ya fedha...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Wanakijiji wagoma kupokea maji

Wakazi wa Kijiji cha Mharamba Wilaya ya Geita mkoani hapa wamegoma kupokea mradi wa maji wa halmashauri hiyo kutoka Ziwa Victoria kwa madai hawajalipwa ujira wao wa Sh25.5 milioni na mkandarasi.

 

10 years ago

Dewji Blog

RC Singida ahimiza wananchi kuhudhuria mikutano ya siasa

DSC02580

Mkuu wa mkoa wa Singida,Dk.Parseko Vicent Kone, akizungumza kwenye ufunguzi wa kikao cha ushauri ya mkoa (RCC) kilichofanyika leo kwenye ukumbi wa mikutano wa Social Training  Centre mjini Singida.K ulia ni katibu tawala mkoa wa Singida,Liana Hassan na wa kwanza kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa Singida,M ary Chitanda na anayefuatia ni mwenyekiti CCM mkoa wa Singida,Mgana Msindai.

Na Nathaniel Limu, Singida

MKUU wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Vicent Kone, amewahimiza wananchi...

 

9 years ago

StarTV

Hofu yasababisha Albino kushindwa kuhudhuria mikutano ya kampeni.

 

Watu wenye ulemavu wa ngozi Albino mkoani Mara wamesema licha ya kuwa na haki ya kuhudhuria mikutano ya kampeni kusikiliza sera za wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi wamekuwa wakikosa fursa hiyo kutokana na kuhofia usalama wa maisha yao.

Wamesema licha ya Serikali na vyombo vingine kukemea vitendo wa kikatili wanavyofanyiwa watu wenye ulemavu wa ngozi ikiwemo kutekwa na kuuawa kikatili na kisha kunyofolewa baadhi ya viungo lakini bado kuna baadhi ya watu wanaendeleza vitendo hivyo...

 

10 years ago

Michuzi

WASHIRIKI WA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015 WAHIMIZA WANAKIJIJI KUFANYA KILIMO CHA BIASHARA, WAWAPA BURUDANI WANAKIJIJI.

 Baada ya washiriki wa Shindano la Mama shujaa wa Chakula  Shindano linalo endeshwa na Oxfam kupitia kampeni yake ya Grow na kudhaminiwa na Gates and Melinda Foundation,TBS, Cooperative Bank Great Britain na Care Tanzania, baada ya  kuwasili wote sasa wanapangwa makundi makundi kwa ajili ya kuanza mchakato wa siku Hapa katika kundi la kwanza washiriki wa Shindano la  Mama Shujaa wa Chakula , Shindano linaloendeshwa na Oxfam kupitia kampeni yake ya Grow hapa wakiwahamasisha wanakijiji cha...

 

11 years ago

Mwananchi

Wanakijiji waishi mapangoni (1)

Utajiuliza mara mbili mbili pale utakaposikia ama kuona binadamu wa karne ya 21 tena katika ardhi ya Tanzania, wananchi wake kuishi maisha kama ya wakimbizi au kulala usingizi wenye mashaka, tena chini ya mapango ya majabari ya mawe kama wanyama wasio na makazi maalum.

 

11 years ago

Habarileo

Simba atishia usalama wa wanakijiji

WAKAZI wa kijiji cha Pera, kata ya Pera, wilaya ya Bagamoyo, mkoani Pwani, wapo katika hatari ya kupoteza maisha kutokana na simba kuonekana kijijini hapo akitishia maisha yao.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ardhi yawatesa wanakijiji Sange

UMASKINI ni adui namba moja nchini. Rais wa Awamu ya Kwanza Julius Nyerere, alitangaza vita dhidi ya umaskini na kusema kuwa taifa linakabiliwa na maadui watatu ambao ni umaskini, ujinga...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanakijiji Gare waomba katapila

WANAKIJIJI wa Gare, Kata ya Magoroto wilayani Muheza, Tanga, wameiomba serikali kuwapelekea katapila ili wamalizie ujenzi wa barabara kuu itokayo Amani kuelekea Muheza. Akizungumza kwa njia ya simu na Tanzania...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani