MIKUTANO YA KUFUNGA KAMPENI WA CCM
![](http://api.ning.com:80/files/e5ojRmBjrO8lHKEb06MFmo8XmYHEyjLBcH*BMDtSGSesR9*BlInvRkp*BMaH9IG3pxyUoeYuDIuCSefTkLQMTXuBDQO5s2Q9/makamba.jpg?width=650)
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa na Mjumbe wa Kamati ya Kampeni, January Makamba. CCM itafunga kampeni zake kwa utaratibu mpya na kwa kishindo. Kampeni za CCM zitafungwa kitaifa kwa mikutano mikubwa ya kampeni katika mikoa mitano. Mikutano hiyo itaongozwa na viongozi wa CCM kitaifa waliopo madarakani na wastaafu. Mikoa hiyo na viongozi wakaoongoza mikutano hiyo ni kama ifuatavyo: 1. Mwanza – Ndugu Jakaya Mrisho...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog22 Oct
CCM kufunga kampeni zake kwa kishindo, Magufuli, Mgombea mwenza na Rais Kikwete kufunga kampeni Mkoani Mwanza
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwa kwenye gari pamoja na Mgombea mwenza (picha ya Maktaba yetu wakati wa kampeni zinazoendelea za wagombea hao).
CCM inapenda kutoa taarifa kuhusu masuala kadhaa kwa wanachama, wapenzi na mashabiki wake na kwa umma wa Watanzania.
Kufunga Kampeni
CCM itafunga kampeni zake kwa utaratibu mpya na kwa kishindo. Kampeni za CCM zitafungwa Kitaifa kwa mikutano mikubwa ya kampeni katika mikoa mitano. Mikutano hiyo itaongozwa na viongozi...
9 years ago
Michuzi22 Oct
KUFUNGA KAMPENI CCM
CCM inapenda kutoa taarifa kuhusu masuala kadhaa kwa wanachama, wapenzi na mashabiki wake na kwa umma wa Watanzania.
Kufunga KampeniCCM itafunga kampeni zake kwa utaratibu mpya na kwa kishindo. Kampeni za CCM zitafungwa Kitaifa kwa mikutano mikubwa ya kampeni katika mikoa mitano. Mikutano hiyo itaongozwa na viongozi wa CCM Kitaifa waliopo madarakani na wastaafu. Mikoa hiyo na viongozi watakaoongoza mikutano hiyo ni kama ifuatavyo:
1. Mwanza – Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete, Mwenyekiti wa...
9 years ago
MichuziPINDA AHUTUBIA MIKUTANO YA KAMPENI ZA CCM KALAMBO
KWA PICHA ZAIDI BOFYA...
9 years ago
Mtanzania23 Oct
CCM kuwa na vikosi saba kufunga kampeni
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza vikosi saba vitakavyofanya mikutano ya kufunga kampeni zitakazomshirikisha Rais Jakaya Kikwete katika jiji la Mwanza.
Rais Kikwete ambaye ni Mwenyekiti wa CCM anatarajia kuongoza kampeni hizo Mwanza katika mkutano utakaowashirikisha Mgombea urais wa chama hicho, Dk. John Magufuli na Mgombea mwenza, Samia Hassan Suluhu.
Akitaja vikosi hivyo Dar es Salaam jana, Mjumbe wa Kamati ya Kampeni, January Makamba alisema kikosi...
11 years ago
Mwananchi14 Mar
CCM, Chadema kufunga kampeni za ubunge kesho
9 years ago
Mzalendo Zanzibar18 Sep
Walinzi wa viongozi wa CCM wazuia waandishi binafsi katika mikutano ya kampeni zao.
Katika mkutano wa leo wa CCM wa huko Konde, Pemba nilikuwa nimejipanga kuurusha moja kwa moja kama kawaida yangu ya kurusha mikutano ya kampeni inayofanyika kisiwani Pemba. Teari nimesharusha live mikutano mitatu ya chama cha Wananchi […]
The post Walinzi wa viongozi wa CCM wazuia waandishi binafsi katika mikutano ya kampeni zao. appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Mzalendo Zanzibar23 Oct
Taarifa ya CCM Juu ya Kufunga Kampeni Zake katika Mikoa Mbalimbali.
Friday, October 23, 2015 Taarifa ya CCM Juu ya Kufunga Kampeni Zake katika Mikoa Mbalimbali. CCM inapenda kutoa taarifa kuhusu masuala kadhaa kwa wanachama, wapenzi na mashabiki wake na kwa umma wa Watanzania. Kufunga Kampeni CCM […]
The post Taarifa ya CCM Juu ya Kufunga Kampeni Zake katika Mikoa Mbalimbali. appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-vLfXd-bG2Es/Vijl3khwR2I/AAAAAAABKfY/svBNgeNE6fk/s72-c/CCM%2BLOGO.png)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA CCM KUHUSU KUFUNGA KAMPENI
![](http://3.bp.blogspot.com/-vLfXd-bG2Es/Vijl3khwR2I/AAAAAAABKfY/svBNgeNE6fk/s320/CCM%2BLOGO.png)
Kufunga Kampeni
CCM itafunga kampeni zake kwa utaratibu mpya na kwa kishindo. Kampeni za CCM zitafungwa Kitaifa kwa mikutano mikubwa ya kampeni katika mikoa mitano. Mikutano hiyo itaongozwa na viongozi wa CCM Kitaifa waliopo madarakani na wastaafu. Mikoa hiyo na viongozi watakaoongoza mikutano hiyo ni kama ifuatavyo:
1. Mwanza – Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete, Mwenyekiti wa...
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-10zp342__5Q/VipJ0lYAE0I/AAAAAAAA0ys/l2_vfoN4iZY/s72-c/DSC_0308.jpg)
MAMA SAMIA NA DK. SHEIN WAFUNGA KAZI MKUTAO WA KUFUNGA KAMPENI ZA CCM ZANZIBAR LEO
![](http://2.bp.blogspot.com/-10zp342__5Q/VipJ0lYAE0I/AAAAAAAA0ys/l2_vfoN4iZY/s640/DSC_0308.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-NVFV2rcBM6w/VipJzzkw7-I/AAAAAAAA0yk/tP9F55rsAX4/s640/DSC_0313.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-FxWCYew27dM/VipJ3sGDoqI/AAAAAAAA0zE/p8dejFZlF7k/s640/DSC_0328.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-QC7GYvJU1LE/VipKTPhry2I/AAAAAAAA0zk/eBXRRcJ3JEA/s640/DSC_0369.jpg)