Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HOFU YA UGAIDI KENYA YASABABISHA TUNDA MAN KUFUNGWA PINGU

Kutokana na mfululizo wa matukio ya kigaidi nchini Kenya, ulinzi umeongezeka maradufu kuhofia mashambulizi ya ghafla yanayofanywa na magaidi wanaotumia silaha za kivita, sasa weekend iliyopita mjini Mombasa,Kenya Captain Tunda Man kutoka kundi la TipTop Connection anawekwa chini ya ulinziwa polisi huku akiwa amefungwa pingu kwa dakika 45. Zaidi huyu hapa captain wa bongo flava, Tunda Man anafunguka na clouds fm.

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

AZA YA THELUJI YASABABISHA WASAFARI WA NJIA YA ANGA KUKWAMA, MAOFISI NA SHULE KUFUNGWA NEW YORK, NA MASSACHUSETTS

 Hii ndiyo hali ilivyo pande za New York  na Massachusetts theluji ilivyoanguka na kusababisha shughuli nyingi kusimama theluji imefikia inch 12 kwa New York na Massachusetts ni inch 24. Barabara zilikuwa zimejaa theluji na kusababisha usumbufu mkubwa kwa wakazi wamiji hii.
 Abiria walilala uwanjani baada ya ndege kusindwa kuruka na kutua kutokana na theluji iliyoambatana na upepo mkali. Hatma ya abiria hawa itajulikana leo kama watasafiri au waendelee kusubiri hatma ya safari zao. Ndege...

 

9 years ago

StarTV

Hofu yasababisha Albino kushindwa kuhudhuria mikutano ya kampeni.

 

Watu wenye ulemavu wa ngozi Albino mkoani Mara wamesema licha ya kuwa na haki ya kuhudhuria mikutano ya kampeni kusikiliza sera za wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi wamekuwa wakikosa fursa hiyo kutokana na kuhofia usalama wa maisha yao.

Wamesema licha ya Serikali na vyombo vingine kukemea vitendo wa kikatili wanavyofanyiwa watu wenye ulemavu wa ngozi ikiwemo kutekwa na kuuawa kikatili na kisha kunyofolewa baadhi ya viungo lakini bado kuna baadhi ya watu wanaendeleza vitendo hivyo...

 

11 years ago

GPL

HATIMAYE ROONEY AJITIA PINGU MAN UNITED

Wayne Rooney akisani Mkataba mpya Manchester United. MSHAMBULIAJI Wayne Rooney amemshukuru kocha David Moyes jana usiku baada ya kujihakikishia mustakabali wake katika klabu ya Manchester United, kufuatia kusaini Mkataba mpya wa miaka mitano ambao utamfanya apate mshahara wa Pauni 300,000 kwa wiki. Rooney aliwaambia United alitaka kuondoka mwishoni mwa msimu uliopita baada ya kutofautiana na aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Sir...

 

9 years ago

BBCSwahili

Hofu ya ugaidi yafuta mchezo

Mchezo wa kirafiki kati ya timu ya Ujerumani na Uholanzi uliokua ufanyike usiku wa kuamkia jumatano umefutwa

 

10 years ago

Vijimambo

Tahadhari zachukuliwa hofu ya ugaidi

Dar, Mikoani. Ulinzi umeimarishwa kwenye maeneo mbalimbali nchini ikiwamo vyuoni, ofisi za umma na kwenye migahawa mikubwa baada ya kuwapo kwa hofu ya shambulizi la kigaidi katika mikoa ya Dar es Salaam, Arusha na Mwanza.Hofu hiyo imekuja baada ya hivi karibuni Chuo Kikuu cha Garissa, cha nchini Kenya kushambuliwa na kusababisha vifo vya wanafunzi 148.Baada ya shambulizi hilo, kumekuwa na ujumbe mfupi wa simu unaoendelea kusambazwa ukionya kuwapo kwa shambulizi katika mikoa ya Mwanza, Arusha...

 

10 years ago

GPL

VIBAKA WAMLIZA TUNDA MAN

Issa Mnally
VIBAKA ambao hawakufahamika mara moja mwishoni mwa wiki iliyopita, walivunja kioo kidogo cha gari la nyota wa Bongo Fleva, Khalid Ramadhan ‘Tunda Man’ na kumkomba vitu mbalimbali vikiwemo power window, kompyuta mpakato na fedha katika tukio lililotokea Kigamboni, jijini Dar es Salaam. Nyota wa Bongo Fleva, Khalid Ramadhan ‘Tunda Man’. Katika usiku ambao msanii huyo ilikuwa apande na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tunda Man: Ukata ni tatizo

MSANII wa muziki wa kizazi kipya kutoka Tip Top Connection, Khalid Ramadhan ‘Tunda Man’, amesema kinachomfanya ashindwe kufanya mambo makubwa kwenye muziki ni ukata wa pesa. Akizungumza jijini Dar es...

 

11 years ago

GPL

TUNDA MAN YAMKUTA MAZITO

Na Shakoor Jongo
Memba wa Kundi la Tip Top Connection, Khalid Ramadhan ’Tunda Man’ amekutwa na mauzauza baada ya kupokea simu yenye namba zinazodaiwa kuwa za ajabu na kumsababishia atokwe damu puani, mdomoni na kupooza upande mmoja. Memba wa Kundi la Tip Top Connection, Khalid Ramadhan ’Tunda Man’ akiwa katika Hospitali ya Palestina. Chanzo makini kilicho karibu na msanii huyo ambacho kilikuwa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Hofu ya ugaidi imeiwacha Brussels mahame

Mji wa Brussels nchini Ubelgiji yamebakia mahame baada ya utawala kuamri maeneo yote ya umma kufungwa kutokana na tishio la mashambulizi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani