AZA YA THELUJI YASABABISHA WASAFARI WA NJIA YA ANGA KUKWAMA, MAOFISI NA SHULE KUFUNGWA NEW YORK, NA MASSACHUSETTS

Hii ndiyo hali ilivyo pande za New York na Massachusetts theluji ilivyoanguka na kusababisha shughuli nyingi kusimama theluji imefikia inch 12 kwa New York na Massachusetts ni inch 24.
Barabara zilikuwa zimejaa theluji na kusababisha usumbufu mkubwa kwa wakazi wamiji hii.
Abiria walilala uwanjani baada ya ndege kusindwa kuruka na kutua kutokana na theluji iliyoambatana na upepo mkali.
Hatma ya abiria hawa itajulikana leo kama watasafiri au waendelee kusubiri hatma ya safari zao.
Ndege...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo08 Feb
MASSACHUSETTS KUPATA THELUJI FUTI 2 WIKIENDI HII




10 years ago
CloudsFM18 Feb
Magugu maji yasababisha kukwama kwa safari za majini ziwa victoria
Mimea ya magugu maji aina ya matende imetanda katika eneo la Kigongo wilayani Misungwi mkoani Mwanza kiasi cha kutatiza shughuli za usafiri na usafirishaji katika kivuko hicho ambacho ni kiungo muhimu cha usafiri kati ya mikoa ya Kanda ya Ziwa pamoja na nchi jirani.
Kutanda kwa mimea hiyo katika eneo lenye ukubwa wa takribani hekari 4 kulisababisha vivuko vya Mv Misungwi na Mv Sengerema kushindwa kutoa huduma ya usafiri na usafirishaji kwa takriban siku tatu mfululizo baada ya kukosa eneo...
11 years ago
CloudsFM14 Aug
HOFU YA UGAIDI KENYA YASABABISHA TUNDA MAN KUFUNGWA PINGU
Kutokana na mfululizo wa matukio ya kigaidi nchini Kenya, ulinzi umeongezeka maradufu kuhofia mashambulizi ya ghafla yanayofanywa na magaidi wanaotumia silaha za kivita, sasa weekend iliyopita mjini Mombasa,Kenya Captain Tunda Man kutoka kundi la TipTop Connection anawekwa chini ya ulinziwa polisi huku akiwa amefungwa pingu kwa dakika 45.
Zaidi huyu hapa captain wa bongo flava, Tunda Man anafunguka na clouds fm.
10 years ago
VijimamboSHEREHE ZA MIAKA 38 YA KUSHEREHEKEA KUZALIWA KWA CCM ZA NOGA KAMA MCHARO NEW YORK LICHA YA THELUJI KUNYESHA SIKU MZIMA
10 years ago
BBCSwahili22 Jul
Ziara ya Obama:Anga ya Kenya kufungwa
11 years ago
GPLBAADA YA SHULE YA SEKONDARI YA IFUNDA KUFUNGWA KWA VURUGU UONGOZI WA SHULE HIYO WAWAITA WANAFUNZI 28
10 years ago
Vijimambo
VIKWANGUA ANGA MJI WA ALBANY, NEW YORK




9 years ago
StarTV25 Nov
Shule ya Msingi Bafanka mkoani Geita hatarini kufungwa kwa Kujaa Kwa Vyoo Vya Shule
Ukosefu wa Vyoo kwa baadhi ya Shule limekuwa tatizo sugu lililosababisha shule ya msingi Isumabuna kufunga wakati shule ya msingi Bafanka wilayani Bukombe mkoani Geita ikiwa hatarini kufungwa wakati wowote kutokana na vyoo kujaa na kutoa wadudu hali inayowalazimu wanafunzi kujisaidia vichakani.
Kufungwa kwa shule ya Msingi Isumabuma tangu Novemba 12 mwaka huu kulikolenga kunusuru afya za watoto na kuwaepusha ma magonjwa ya mlipuko kumeathiri ratiba ya masomo kwa kiasi kikubwa kwa wanafunzi...
10 years ago
Vijimambo22 Jul
RAIS OBAMA KUWASILI KENYA SIKU YA IJUMAA JIONI, BAADHI YA MITAA NA ANGA KUFUNGWA KWA MUDA

Baadhi ya barabara za jiji la Nairobi zimefungwa kwa ajili ya kuimarisha usalama wa jiji hilo wakati wa ujio wa Rais huyo wa Marekani.
Anga la nchi hiyo litafungwa siku ya Ijumaa mida hiyo ya Rais Obama atakapo wasili ni siku ya...