Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ziara ya Obama:Anga ya Kenya kufungwa

Shirika linalosimamia safari za ndege nchini Kenya, KCAA, limetangaza kuwa anga ya Kenya itafungwa kwa muda wa dakika hamsini siku ya Ijumaa wiki hii ili kuruhusu ndege ya rais wa Marekani Barrack Obama kutua katika uwanja wa kimataifa wa ndege wa Jomo Ke

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

RAIS OBAMA KUWASILI KENYA SIKU YA IJUMAA JIONI, BAADHI YA MITAA NA ANGA KUFUNGWA KWA MUDA

US President Barack Obama boards Air Force One at Andrews Air Force Base in Maryland. PHOTO | AFPUlinzi ni mkali kweli kweli zaidi na polisi 10,000 wamemwagwa jiji la Nairobi kwa ajili yakulinda usalama kwa ujio wa Rais wa Marekani Mhe. Barack Obama anayetarajiwa kuwasili jijini Nairobi siku ya Ijumaa kati ya saa 1;45 na 2;35 jioni ya siku hiyo ya July 24, 2015.
Baadhi ya barabara za jiji la Nairobi zimefungwa kwa ajili ya kuimarisha usalama wa jiji hilo wakati wa ujio wa Rais huyo wa Marekani.
Anga la nchi hiyo litafungwa siku ya Ijumaa mida hiyo ya Rais Obama atakapo wasili ni siku ya...

 

10 years ago

Vijimambo

ZIARA YA RAIS OBAMA KENYA


Video kwa hisani ya VOA

 

10 years ago

BBCSwahili

ZIARA YA RAIS OBAMA NCHINI KENYA

Rais Barrack Obama wa Marekani anaanza rasmi ziara yake ya siku tatu nchini Kenya baada ya kuwasili siku ya ijumaa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Obama: Ziara itaathiri usalama Kenya ?

Je ziara ya rais wa Marekani Barack Obama itaathiri sera za usalama za Kenya ?.

 

10 years ago

BBCSwahili

ZIARA YA RAIS OBAMA KENYA YAKAMILIKA

Rais Barrack Obama wa Marekani amewahutubia Wakenya leo jumapili katika uwanja wa michezo wa Kasarani nje kidogo ya mji wa Nairobi na vilevile kuzungumza na viongozi wa makundi ya kijamii katika chuo Kenyatta Jijini nairobi..

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

WANAHABARI WA VOA WATINGA NAIROBI, KENYA KUHABARISHA ZIARA YA OBAMA NCHINI HUMO

Kutoka kushoto ni Mohammed Mahmoud, Mwamoyo Hamza na Amos Wangwa wanahabari wa Voice of America (VOA) wakiwa katika picha ya pamoja mjini Nairobi nchini Kenya kuhabarisha yanayojiri katika ziara ya Rais wa Wamarekani Mhe. Barack Obama anayefanya ziara nchini Kenya.

 

10 years ago

Vijimambo

AZA YA THELUJI YASABABISHA WASAFARI WA NJIA YA ANGA KUKWAMA, MAOFISI NA SHULE KUFUNGWA NEW YORK, NA MASSACHUSETTS

 Hii ndiyo hali ilivyo pande za New York  na Massachusetts theluji ilivyoanguka na kusababisha shughuli nyingi kusimama theluji imefikia inch 12 kwa New York na Massachusetts ni inch 24. Barabara zilikuwa zimejaa theluji na kusababisha usumbufu mkubwa kwa wakazi wamiji hii.
 Abiria walilala uwanjani baada ya ndege kusindwa kuruka na kutua kutokana na theluji iliyoambatana na upepo mkali. Hatma ya abiria hawa itajulikana leo kama watasafiri au waendelee kusubiri hatma ya safari zao. Ndege...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani