ZIARA YA RAIS OBAMA KENYA YAKAMILIKA
Rais Barrack Obama wa Marekani amewahutubia Wakenya leo jumapili katika uwanja wa michezo wa Kasarani nje kidogo ya mji wa Nairobi na vilevile kuzungumza na viongozi wa makundi ya kijamii katika chuo Kenyatta Jijini nairobi..
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo08 Jul
10 years ago
BBCSwahili25 Jul
ZIARA YA RAIS OBAMA NCHINI KENYA
Rais Barrack Obama wa Marekani anaanza rasmi ziara yake ya siku tatu nchini Kenya baada ya kuwasili siku ya ijumaa.
10 years ago
Vijimambo11 Jul
10 years ago
BBCSwahili22 Jul
Ziara ya Obama:Anga ya Kenya kufungwa
Shirika linalosimamia safari za ndege nchini Kenya, KCAA, limetangaza kuwa anga ya Kenya itafungwa kwa muda wa dakika hamsini siku ya Ijumaa wiki hii ili kuruhusu ndege ya rais wa Marekani Barrack Obama kutua katika uwanja wa kimataifa wa ndege wa Jomo Ke
10 years ago
BBCSwahili21 Jul
Obama: Ziara itaathiri usalama Kenya ?
Je ziara ya rais wa Marekani Barack Obama itaathiri sera za usalama za Kenya ?.
10 years ago
VijimamboWANAHABARI WA VOA WATINGA NAIROBI, KENYA KUHABARISHA ZIARA YA OBAMA NCHINI HUMO
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/HgrE5awSMWk/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-W5FDYD6Z7VM/VbKEAwrTK5I/AAAAAAABSm8/srTeCABTo1c/s72-c/Obama-flight-610x374.jpg)
RAIS OBAMA AWASILI NCHINI KENYA
![](http://4.bp.blogspot.com/-W5FDYD6Z7VM/VbKEAwrTK5I/AAAAAAABSm8/srTeCABTo1c/s640/Obama-flight-610x374.jpg)
Ndege iliyombeba rais obama ilitua katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta muda mfupi baada ya saa mbili za usiku. Alipowasili Rais Obama amelakiwa na mweyeji wake Rais Uhuru Kenyatta.
![](http://2.bp.blogspot.com/-k-zeETXiuk8/VbKEAw-XWfI/AAAAAAABSnI/wtn4tVZwT18/s640/PC_150724_ko5sb_obama-kenya-arrivee_sn635.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania