Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZIARA YA RAIS OBAMA KENYA


Video kwa hisani ya VOA

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

ZIARA YA RAIS OBAMA NCHINI KENYA

Rais Barrack Obama wa Marekani anaanza rasmi ziara yake ya siku tatu nchini Kenya baada ya kuwasili siku ya ijumaa.

 

10 years ago

BBCSwahili

ZIARA YA RAIS OBAMA KENYA YAKAMILIKA

Rais Barrack Obama wa Marekani amewahutubia Wakenya leo jumapili katika uwanja wa michezo wa Kasarani nje kidogo ya mji wa Nairobi na vilevile kuzungumza na viongozi wa makundi ya kijamii katika chuo Kenyatta Jijini nairobi..

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

BBCSwahili

Obama: Ziara itaathiri usalama Kenya ?

Je ziara ya rais wa Marekani Barack Obama itaathiri sera za usalama za Kenya ?.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ziara ya Obama:Anga ya Kenya kufungwa

Shirika linalosimamia safari za ndege nchini Kenya, KCAA, limetangaza kuwa anga ya Kenya itafungwa kwa muda wa dakika hamsini siku ya Ijumaa wiki hii ili kuruhusu ndege ya rais wa Marekani Barrack Obama kutua katika uwanja wa kimataifa wa ndege wa Jomo Ke

 

10 years ago

Vijimambo

WANAHABARI WA VOA WATINGA NAIROBI, KENYA KUHABARISHA ZIARA YA OBAMA NCHINI HUMO

Kutoka kushoto ni Mohammed Mahmoud, Mwamoyo Hamza na Amos Wangwa wanahabari wa Voice of America (VOA) wakiwa katika picha ya pamoja mjini Nairobi nchini Kenya kuhabarisha yanayojiri katika ziara ya Rais wa Wamarekani Mhe. Barack Obama anayefanya ziara nchini Kenya.

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS OBAMA AWASILI NCHINI KENYA

 Rais Barrack Obama wa Marekani, tayari amewasili mjini Nairobi.
Ndege iliyombeba rais obama ilitua katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta muda mfupi baada ya saa mbili za usiku. Alipowasili Rais Obama amelakiwa na mweyeji wake Rais Uhuru Kenyatta. mwendo wa saa mbili na robo rais Obama alitua ndege yake. Alipowasili alizungumza kwa muda mfupi na mwenyeji wake rais Kenyatta na kisha kutia saini kitabu cha wageni kabla ya kuondoka. Obama sasa ameandikisha historia ya kuwa rais wa kwanza wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani