RAIS OBAMA AWASILI NCHINI KENYA
![](http://4.bp.blogspot.com/-W5FDYD6Z7VM/VbKEAwrTK5I/AAAAAAABSm8/srTeCABTo1c/s72-c/Obama-flight-610x374.jpg)
Rais Barrack Obama wa Marekani, tayari amewasili mjini Nairobi.
Ndege iliyombeba rais obama ilitua katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta muda mfupi baada ya saa mbili za usiku. Alipowasili Rais Obama amelakiwa na mweyeji wake Rais Uhuru Kenyatta. mwendo wa saa mbili na robo rais Obama alitua ndege yake. Alipowasili alizungumza kwa muda mfupi na mwenyeji wake rais Kenyatta na kisha kutia saini kitabu cha wageni kabla ya kuondoka. Obama sasa ameandikisha historia ya kuwa rais wa kwanza wa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili25 Jul
ZIARA YA RAIS OBAMA NCHINI KENYA
10 years ago
Vijimambo09 Oct
RAIS UHURU KENYATTA AWASILI NCHINI KENYA AKITOKEA MAHAKAMA YA ICC
![](http://api.ning.com/files/4Ejr0qlHpqINso9IOrPmLlqVl0yIlTAk1yewZeokjyeGN47s4jUoTMMTwkXOg3Q9*jmtoSWgEdUgZD46DdZH9DnYf9D8WGi5/uhuru.jpg?width=650)
![](http://api.ning.com/files/4Ejr0qlHpqLc5vEf6GlX8XYTzO*LPeYakLjdpfAD9czsLoLUL8z93eGkwf4R9wOeX7ybfdMu9BrSm2W3WkDIFQYK9U9SkeqC/uhuru2.jpg?width=650)
![](http://api.ning.com/files/4Ejr0qlHpqIrSwh*5yfiwnpyQ7SNqGpvaW30MtWkwZ0GizbU1QbUBF71l0pTEOlLm6-pRClrG*lBq0VKPc-gWWpCfMk9blqi/uhuru3.jpg?width=650)
![](http://api.ning.com/files/4Ejr0qlHpqI3tmxlDyhQb9HQGuFFzu78XBt6w02Exg*tSz9Iz0KVvAUG9yesvaIuOmVf9kwPACxnMVOTSwLpS11tCoAsqyzb/uhuru4.jpg?width=650)
10 years ago
BBCSwahili24 Jul
10 years ago
Bongo528 Jul
Ujio wa Obama nchini Kenya waacha historia, watoto waliozaliwa siku aliyowasili waitwa Barack Obama na wengine ‘AirForceOne’
9 years ago
Vijimambo23 Sep
PAPA FRANCIS AWASILI WASHINGTON, DC ALAKIWA NA MWENYEJI WAKE RAIS BARACK OBAMA
![](https://cbswashington.files.wordpress.com/2015/09/gettyimages-489574434_master.jpg?w=809)
![](http://assets.nydailynews.com/polopoly_fs/1.2370330!/img/httpImage/image.jpg_gen/derivatives/gallery_1200/pope-francis-arrives-washington.jpg)
![](http://cdn.abclocal.go.com/content/creativecontent/images/cms/996735_1280x720.jpg)
![](http://i2.cdn.turner.com/cnn/dam/assets/150922155844-04-pope-visit-0922-exlarge-tease.jpg)
10 years ago
Vijimambo14 Jan
Rais Kikwete awasili nchini Msumbiji kuhudhuria Sherehe za kuapishwa Rais Nyusi
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/HgrE5awSMWk/default.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Lwqh0Bt3h_Q/VlXWqWXtfOI/AAAAAAAAvyE/8bqfUB821Gs/s72-c/IMG-20151125-WA0024.jpg)
BREAKING NYUZZZZZZ.....: PAPA FRANCIS AWASILI NCHINI KENYA JIONI HII
![](http://4.bp.blogspot.com/-Lwqh0Bt3h_Q/VlXWqWXtfOI/AAAAAAAAvyE/8bqfUB821Gs/s640/IMG-20151125-WA0024.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-FQuxpyNXiu0/VlXWuMmcc8I/AAAAAAAAvyM/rz_8spo9GF0/s640/IMG-20151125-WA0023.jpg)
10 years ago
BBCSwahili27 May
Wakili nchini Kenya kuwa mkwe wa Obama?