RAIS OBAMA KUWASILI KENYA SIKU YA IJUMAA JIONI, BAADHI YA MITAA NA ANGA KUFUNGWA KWA MUDA
Ulinzi ni mkali kweli kweli zaidi na polisi 10,000 wamemwagwa jiji la Nairobi kwa ajili yakulinda usalama kwa ujio wa Rais wa Marekani Mhe. Barack Obama anayetarajiwa kuwasili jijini Nairobi siku ya Ijumaa kati ya saa 1;45 na 2;35 jioni ya siku hiyo ya July 24, 2015.
Baadhi ya barabara za jiji la Nairobi zimefungwa kwa ajili ya kuimarisha usalama wa jiji hilo wakati wa ujio wa Rais huyo wa Marekani.
Anga la nchi hiyo litafungwa siku ya Ijumaa mida hiyo ya Rais Obama atakapo wasili ni siku ya...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili22 Jul
Ziara ya Obama:Anga ya Kenya kufungwa
10 years ago
Vijimambo24 Jul
10 years ago
Vijimambo01 Jan
RAIS OBAMA ANAPOAMUA KUKATIZA MITAA YA DC KWA MIGUU
The President was heading over to the nearby Department of the Interior and decided to break with tradition and take a Springtime walk. On the way, he got a chance to meet with all sorts of folks, who weren't expecting to meet the President of the United States of America.
10 years ago
Bongo528 Jul
Ujio wa Obama nchini Kenya waacha historia, watoto waliozaliwa siku aliyowasili waitwa Barack Obama na wengine ‘AirForceOne’
5 years ago
CCM Blog![](https://img.youtube.com/vi/Temig0z8Mco/default.jpg)
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Christina Koch: Mwanamke aliyeishi kwenye anga za mbali kwa muda mrefu
5 years ago
BBCSwahili14 Jun
Hali ya upashaji habari ilivyo baada ya kufungwa kwa baadhi ya vyombo vya habari Burundi
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/HgrE5awSMWk/default.jpg)
10 years ago
VijimamboBalozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe, Liberata Mulamula aanda chakula cha jioni kwa baadhi ya mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao kwa ukanda wa Afrika Mashariki nyumbani kwake Bethesda ,Maryland tarehe 11/02/2015
Balozi wa Ethiopia nchini Marekani na mwenyekiti wa mabalozi wa kanda ya Afrika Mashariki Mhe, Girma Birru akisaini kitabu cha wageni nyumbani kwa Balozi, Mhe Liberata Mulamula.
Balozi wa Uganda nchini Marekani Oliver Wonekha ambaye ni mmoja wa mabalozi kutoka kanda ya Afrika Mashariki akisaini kitabu cha wageni nyumbani kwa Balozi. Mhe Liberata Mulamula.
Balozi wa Burundi nchini Marekani Mhe, Ernest Ndabashinze akisaini kitabu cha wageni nyumbani kwa Balozi Mhe, Liberata Mulamula.
Balozi...