Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tahadhari zachukuliwa hofu ya ugaidi

Dar, Mikoani. Ulinzi umeimarishwa kwenye maeneo mbalimbali nchini ikiwamo vyuoni, ofisi za umma na kwenye migahawa mikubwa baada ya kuwapo kwa hofu ya shambulizi la kigaidi katika mikoa ya Dar es Salaam, Arusha na Mwanza.Hofu hiyo imekuja baada ya hivi karibuni Chuo Kikuu cha Garissa, cha nchini Kenya kushambuliwa na kusababisha vifo vya wanafunzi 148.Baada ya shambulizi hilo, kumekuwa na ujumbe mfupi wa simu unaoendelea kusambazwa ukionya kuwapo kwa shambulizi katika mikoa ya Mwanza, Arusha...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Afrika Kusini yachukua tahadhari ya ugaidi

Serikali ya Afrika Kusini imeimarisha ulinzi katika maeneo mbalimbali nyeti katika kipindi hiki cha maombolezo ya kifo cha Rais wake wa kwanza mzalendo, Nelson Mandela.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ugaidi:Tanzania yajiweka katika tahadhari

Mathias Chikawe, amesema kufikiia sasa serikali ya Tanzania haijaweza kudhibitisha ripoti kuhusu shambulio la ugaidi nchini humo

 

10 years ago

BBCSwahili

Ugaidi:Uganda yajiweka katika tahadhari

Polisi katika nchi jirani ya Uganda wanasema kuwa wamepokea habari kuwa shambulizi sawa na hilo linapangwa kufanywa nchini humo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Hofu ya ugaidi yafuta mchezo

Mchezo wa kirafiki kati ya timu ya Ujerumani na Uholanzi uliokua ufanyike usiku wa kuamkia jumatano umefutwa

 

9 years ago

BBCSwahili

Hofu ya ugaidi imeiwacha Brussels mahame

Mji wa Brussels nchini Ubelgiji yamebakia mahame baada ya utawala kuamri maeneo yote ya umma kufungwa kutokana na tishio la mashambulizi.

 

9 years ago

Mwananchi

Hofu ya ugaidi yatawala mwaka mpya duniani

Nchi mbalimbali ulimwenguni zimeukaribisha mwaka mpya kwa mchanganyiko wa matumaini, hofu na kumbukumbu za namna mwaka 2015 ulivyokubwa na matukio ya ugaidi.     

 

10 years ago

CloudsFM

HOFU YA UGAIDI KENYA YASABABISHA TUNDA MAN KUFUNGWA PINGU

Kutokana na mfululizo wa matukio ya kigaidi nchini Kenya, ulinzi umeongezeka maradufu kuhofia mashambulizi ya ghafla yanayofanywa na magaidi wanaotumia silaha za kivita, sasa weekend iliyopita mjini Mombasa,Kenya Captain Tunda Man kutoka kundi la TipTop Connection anawekwa chini ya ulinziwa polisi huku akiwa amefungwa pingu kwa dakika 45. Zaidi huyu hapa captain wa bongo flava, Tunda Man anafunguka na clouds fm.

 

11 years ago

Mwananchi

Ekari 10 zachukuliwa na mradi wa gesi kwa Sh300,000 tu

Wakati Watanzania wakisubiri kufaidika na gesi asilia iliyogunduliwa mikoa ya kusini ya Lindi na Mtwara, rasilimali hiyo sasa imegeuka shubiri kwa baadhi ya wananchi kutokana na maandalizi yake.

 

10 years ago

GPL

MAUAJI YA POLISI 2 MKOA WA PWANI UGAIDI UGAIDI

Makongoro Oging’ na Issa Mnally
HUKU watu wakisherehekea Sikukuu ya Pasaka kwa vifijo, shangwe na nderemo, kwa familia za polisi waliouawa Vikindu wilayani Mkuranga, Pwani,  Sajenti Michael Aaron Tuheri (49) na Koplo Francis Mkinga (53) ilikuwa ni huzuni kutokana na vifo vya wapendwa wao hao. Mauaji ya polisi hayo yamewaacha ndugu na jeshi la polisi nchini katika hali ya huzuni huku yakifananishwa na yale yaliyotokea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani