Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hofu ya ugaidi imeiwacha Brussels mahame

Mji wa Brussels nchini Ubelgiji yamebakia mahame baada ya utawala kuamri maeneo yote ya umma kufungwa kutokana na tishio la mashambulizi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Tahadhari zachukuliwa hofu ya ugaidi

Dar, Mikoani. Ulinzi umeimarishwa kwenye maeneo mbalimbali nchini ikiwamo vyuoni, ofisi za umma na kwenye migahawa mikubwa baada ya kuwapo kwa hofu ya shambulizi la kigaidi katika mikoa ya Dar es Salaam, Arusha na Mwanza.Hofu hiyo imekuja baada ya hivi karibuni Chuo Kikuu cha Garissa, cha nchini Kenya kushambuliwa na kusababisha vifo vya wanafunzi 148.Baada ya shambulizi hilo, kumekuwa na ujumbe mfupi wa simu unaoendelea kusambazwa ukionya kuwapo kwa shambulizi katika mikoa ya Mwanza, Arusha...

 

9 years ago

BBCSwahili

Hofu ya ugaidi yafuta mchezo

Mchezo wa kirafiki kati ya timu ya Ujerumani na Uholanzi uliokua ufanyike usiku wa kuamkia jumatano umefutwa

 

9 years ago

Mwananchi

Hofu ya ugaidi yatawala mwaka mpya duniani

Nchi mbalimbali ulimwenguni zimeukaribisha mwaka mpya kwa mchanganyiko wa matumaini, hofu na kumbukumbu za namna mwaka 2015 ulivyokubwa na matukio ya ugaidi.     

 

10 years ago

CloudsFM

HOFU YA UGAIDI KENYA YASABABISHA TUNDA MAN KUFUNGWA PINGU

Kutokana na mfululizo wa matukio ya kigaidi nchini Kenya, ulinzi umeongezeka maradufu kuhofia mashambulizi ya ghafla yanayofanywa na magaidi wanaotumia silaha za kivita, sasa weekend iliyopita mjini Mombasa,Kenya Captain Tunda Man kutoka kundi la TipTop Connection anawekwa chini ya ulinziwa polisi huku akiwa amefungwa pingu kwa dakika 45. Zaidi huyu hapa captain wa bongo flava, Tunda Man anafunguka na clouds fm.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mji wa Bor S.Kusini wageuka mahame

Mji wa Bor uliokombolewa hivi karibuni na wanajeshi wa Serikari umeharibika kabisa kufuatia mapambano na waasi.

 

5 years ago

BBCSwahili

Tazama picha ya jinsi miji ilivyobakia mahame.

Wapiga picha wa shirika la Reuters wamenasa picha za miji mikubwa duniani ili kuonyesha ilivyo salia mahame kwa sasa.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Mji wenye shughuli nyigi wa New York wabakia mahame

New York ni mji ulio na shughuli nyingi masaa 24 kwa siku saba… Lakini sasa amini usiamini mji huo mkuu duniani umebakia kimya.

 

10 years ago

GPL

MAUAJI YA POLISI 2 MKOA WA PWANI UGAIDI UGAIDI

Makongoro Oging’ na Issa Mnally
HUKU watu wakisherehekea Sikukuu ya Pasaka kwa vifijo, shangwe na nderemo, kwa familia za polisi waliouawa Vikindu wilayani Mkuranga, Pwani,  Sajenti Michael Aaron Tuheri (49) na Koplo Francis Mkinga (53) ilikuwa ni huzuni kutokana na vifo vya wapendwa wao hao. Mauaji ya polisi hayo yamewaacha ndugu na jeshi la polisi nchini katika hali ya huzuni huku yakifananishwa na yale yaliyotokea...

 

9 years ago

BBCSwahili

Ulinzi waimarishwa Brussels

Ubelgiji imewakamata watu 16 katika operesheni ya polisi kupambana na ugaidi mjini Brussels.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani