Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ugaidi:Uganda yajiweka katika tahadhari

Polisi katika nchi jirani ya Uganda wanasema kuwa wamepokea habari kuwa shambulizi sawa na hilo linapangwa kufanywa nchini humo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Ugaidi:Tanzania yajiweka katika tahadhari

Mathias Chikawe, amesema kufikiia sasa serikali ya Tanzania haijaweza kudhibitisha ripoti kuhusu shambulio la ugaidi nchini humo

 

5 years ago

BBCSwahili

Uvamizi wa nzige: Umoja wa Mataifa watoa tahadhari ya njaa katika Ethiopia, Kenya, Uganda, Tanzania na Somalia

Kuharibiwa kwa tani za mazao na nzige kunaweza kusababisha mzozo wa chakula , wasema Umoja wa Mataifa.

 

10 years ago

Vijimambo

Tahadhari zachukuliwa hofu ya ugaidi

Dar, Mikoani. Ulinzi umeimarishwa kwenye maeneo mbalimbali nchini ikiwamo vyuoni, ofisi za umma na kwenye migahawa mikubwa baada ya kuwapo kwa hofu ya shambulizi la kigaidi katika mikoa ya Dar es Salaam, Arusha na Mwanza.Hofu hiyo imekuja baada ya hivi karibuni Chuo Kikuu cha Garissa, cha nchini Kenya kushambuliwa na kusababisha vifo vya wanafunzi 148.Baada ya shambulizi hilo, kumekuwa na ujumbe mfupi wa simu unaoendelea kusambazwa ukionya kuwapo kwa shambulizi katika mikoa ya Mwanza, Arusha...

 

11 years ago

Mwananchi

Afrika Kusini yachukua tahadhari ya ugaidi

Serikali ya Afrika Kusini imeimarisha ulinzi katika maeneo mbalimbali nyeti katika kipindi hiki cha maombolezo ya kifo cha Rais wake wa kwanza mzalendo, Nelson Mandela.

 

11 years ago

BBCSwahili

Tahadhari ya mashambulizi Uganda

Polisi wamethibiti usalama mjini Kampala kufuatia onyo la mashambulizi ya kigaidi kupangwa kufanywa katika uwanja wa ndege

 

11 years ago

BBCSwahili

Tahadhari kwa waambukizaji wa HIV Uganda

Wabunge nchini Uganda wamepitishwa mswaada unaotoa adhabu kali kwa watu wanaowaambukiza wengine virusi vya HIV kwa maksudi.

 

9 years ago

BBCSwahili

Brussels bado katika hali ya tahadhari

Waziri Mkuu wa Ubelgiji, Charles Michel amesema hali ya tahadhari itaendelea kubaki kwa kiwango cha juu katika mji wa Brussels.

 

11 years ago

BBCSwahili

Tahadhari katika uwanja wa ndege Malawi

Mamia ya wasafiri wamekwama katika uwanja wa kimataifa wa ndege mjini Blantyre, Malawi baada ya uwanja huo kusemekana kutokuwa salama.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ngorongoro Heroes yajiweka pabaya

TIMU ya taifa ya soka ya vijana wa chini ya miaka 20, Ngorongoro Heroes, jana walianza vibaya kampeni ya kuwania kufuzu kwa Fainali za Afrika kwa umri huo baada ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani