TUNDA MAN YAMKUTA MAZITO
![](http://api.ning.com:80/files/zR-FkEEcSb*wPh4RIeakRBwfHw0NLYMMiWlmwsuzFWH8tt6CI-0note2z96wPDPDCQbtWueCvaY6eWoYzrTkNV9r2Ida7bJC/tunda.jpg)
Na Shakoor Jongo Memba wa Kundi la Tip Top Connection, Khalid Ramadhan ’Tunda Man’ amekutwa na mauzauza baada ya kupokea simu yenye namba zinazodaiwa kuwa za ajabu na kumsababishia atokwe damu puani, mdomoni na kupooza upande mmoja. Memba wa Kundi la Tip Top Connection, Khalid Ramadhan ’Tunda Man’ akiwa katika Hospitali ya Palestina. Chanzo makini kilicho karibu na msanii huyo ambacho kilikuwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/79FAz6LP6Hh4tNnHyWcUyumoeGXMO0eac5rul5TMoDsZNBwG*E5TYOrYv-IULPIeA4R3vMPMPgL1anl*1yILWjf3x7*knNKH/mc.jpg?width=650)
BABU AYUBU YAMKUTA MAZITO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/d5hxC5etmnnau2eNgjtcNFay145VK6a*ik3ULovkIo44AaP05stxJCmhfhI-VMDLfn1QfQ-ZnZHXrccG8Stsc9MPc2ZBrjaN/fghdryery.gif)
VIBAKA WAMLIZA TUNDA MAN
10 years ago
Tanzania Daima08 Dec
Tunda Man: Ukata ni tatizo
MSANII wa muziki wa kizazi kipya kutoka Tip Top Connection, Khalid Ramadhan ‘Tunda Man’, amesema kinachomfanya ashindwe kufanya mambo makubwa kwenye muziki ni ukata wa pesa. Akizungumza jijini Dar es...
9 years ago
Bongo501 Sep
Music: Delilah Ft. Tunda Man — Kichuna
10 years ago
GPLTUNDA MAN ATINGA GLOBAL TV ONLINE
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dbDz8bz8Q7kxRpFfKSzQIf93D8QXuRiDPuR*5jRn7m-ISpvYIaaceYHrSDqhqnbRMvYgHw*16joPxymQg-iPhDNhzv2jQwBf/TUNDA.jpg)
TUNDA MAN, NYOTA NDOGO WANASWA!
9 years ago
Bongo502 Dec
Music: Tunda Man – Mama Kijacho
![MAMA-KIJACHO](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/MAMA-KIJACHO-300x194.jpg)
Msanii Tunda Man ameachia wimbo mpya unaitwa “Mama Kijacho”. Studio A.M Records
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
GPLNAKUSOGEZEA 3 ZA TUNDA MAN MWEZI HUU
9 years ago
Bongo505 Dec
Tunda Man aulilia msamaha wa Matonya
![Matonya na Tunda Man](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/10/Matonya-na-Tunda-Man-300x194.png)
Tunda Man amedai yupo tayari kumpigia magoti Matonya ili wamalize tofauti zao zilizodumu kwa kipindi kirefu.
Muimbaji huyo ambaye ameachia wimbo mpya, Mama Kijacho hivi karibuni, amekiambia kipindi cha Friday Night Live cha EATV kuwa ameshachoshwa na kusikia kuhusu masuala ya kutoelewana.
“Nilimpigia simu akanitukana matusi mengi sana mpaka leo sipati jibu kwanini,” alisema. “Nilimpigia simu ili nijue tunafanyaje kuhusu video ya wimbo tuliofanya pamoja kwa sababu kuna sehemu nilipita...