VIBAKA WAMLIZA TUNDA MAN
![](http://api.ning.com:80/files/d5hxC5etmnnau2eNgjtcNFay145VK6a*ik3ULovkIo44AaP05stxJCmhfhI-VMDLfn1QfQ-ZnZHXrccG8Stsc9MPc2ZBrjaN/fghdryery.gif)
Issa Mnally VIBAKA ambao hawakufahamika mara moja mwishoni mwa wiki iliyopita, walivunja kioo kidogo cha gari la nyota wa Bongo Fleva, Khalid Ramadhan ‘Tunda Man’ na kumkomba vitu mbalimbali vikiwemo power window, kompyuta mpakato na fedha katika tukio lililotokea Kigamboni, jijini Dar es Salaam. Nyota wa Bongo Fleva, Khalid Ramadhan ‘Tunda Man’. Katika usiku ambao msanii huyo ilikuwa apande na...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania29 Dec
Vibaka wamliza Harmonize
NA MWANDISHI WETU
MSANII kutoka lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Rajabu Abdulkhali ‘Harmonize’, amewashukuru wakazi wa Tanga kwa kujitokeza kwa wingi kwenye onyesho lake la kwanza alilolifanya mkoani humo siku ya Krismasi licha ya watu wasiofahamika kumuibia vitu vya thamani.
Akizungumzia onyesho hilo, Harmonize alisema hakutarajia kupata mapokezi makubwa kama aliyoyapata, lakini anasikitika baadhi ya mashabiki wasio waaminifu waliweza kumuibia cheni na saa.
“Baada ya onyesho nilishuka...
10 years ago
CloudsFM23 Feb
Vibaka wamliza Gerald Hando,wakomba power window,taa,redio kwenye gari yake
Mtangazaji wa kipindi cha Power Breakfast cha Clouds Fm,Gerald Hando ameibiwa vifaa mbalimbali vya kwenye gari yake aina ya IST yenye namba za usajili T 794 CXC kama power window,redio,taa,redio na vitu vingine usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake maeneo ya Kijitonyama.
10 years ago
Tanzania Daima08 Dec
Tunda Man: Ukata ni tatizo
MSANII wa muziki wa kizazi kipya kutoka Tip Top Connection, Khalid Ramadhan ‘Tunda Man’, amesema kinachomfanya ashindwe kufanya mambo makubwa kwenye muziki ni ukata wa pesa. Akizungumza jijini Dar es...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/zR-FkEEcSb*wPh4RIeakRBwfHw0NLYMMiWlmwsuzFWH8tt6CI-0note2z96wPDPDCQbtWueCvaY6eWoYzrTkNV9r2Ida7bJC/tunda.jpg)
TUNDA MAN YAMKUTA MAZITO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dbDz8bz8Q7kxRpFfKSzQIf93D8QXuRiDPuR*5jRn7m-ISpvYIaaceYHrSDqhqnbRMvYgHw*16joPxymQg-iPhDNhzv2jQwBf/TUNDA.jpg)
TUNDA MAN, NYOTA NDOGO WANASWA!
9 years ago
Bongo501 Sep
Music: Delilah Ft. Tunda Man — Kichuna
9 years ago
GPLNAKUSOGEZEA 3 ZA TUNDA MAN MWEZI HUU
9 years ago
Bongo502 Dec
Music: Tunda Man – Mama Kijacho
![MAMA-KIJACHO](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/MAMA-KIJACHO-300x194.jpg)
Msanii Tunda Man ameachia wimbo mpya unaitwa “Mama Kijacho”. Studio A.M Records
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Bongo505 Dec
Tunda Man aulilia msamaha wa Matonya
![Matonya na Tunda Man](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/10/Matonya-na-Tunda-Man-300x194.png)
Tunda Man amedai yupo tayari kumpigia magoti Matonya ili wamalize tofauti zao zilizodumu kwa kipindi kirefu.
Muimbaji huyo ambaye ameachia wimbo mpya, Mama Kijacho hivi karibuni, amekiambia kipindi cha Friday Night Live cha EATV kuwa ameshachoshwa na kusikia kuhusu masuala ya kutoelewana.
“Nilimpigia simu akanitukana matusi mengi sana mpaka leo sipati jibu kwanini,” alisema. “Nilimpigia simu ili nijue tunafanyaje kuhusu video ya wimbo tuliofanya pamoja kwa sababu kuna sehemu nilipita...