Vibaka wamliza Gerald Hando,wakomba power window,taa,redio kwenye gari yake
Mtangazaji wa kipindi cha Power Breakfast cha Clouds Fm,Gerald Hando ameibiwa vifaa mbalimbali vya kwenye gari yake aina ya IST yenye namba za usajili T 794 CXC kama power window,redio,taa,redio na vitu vingine usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake maeneo ya Kijitonyama.
Akizungumza kwa uchungu Hando alisema kuwa aliamka asubuhi alipoangalia gari lake ndipo alipokuwa limeibiwa kila kitu na halifai kabisa. ‘’Nilipoamka asubuhi sikuamini macho yangu yaani vibaka wameiba kila kitu kwenye gari...
CloudsFM
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania29 Dec
Vibaka wamliza Harmonize
NA MWANDISHI WETU
MSANII kutoka lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Rajabu Abdulkhali ‘Harmonize’, amewashukuru wakazi wa Tanga kwa kujitokeza kwa wingi kwenye onyesho lake la kwanza alilolifanya mkoani humo siku ya Krismasi licha ya watu wasiofahamika kumuibia vitu vya thamani.
Akizungumzia onyesho hilo, Harmonize alisema hakutarajia kupata mapokezi makubwa kama aliyoyapata, lakini anasikitika baadhi ya mashabiki wasio waaminifu waliweza kumuibia cheni na saa.
“Baada ya onyesho nilishuka...
10 years ago
GPLVIBAKA WAMLIZA TUNDA MAN
10 years ago
CloudsFM29 Sep
DIAMOND AMZAWADIA WEMA ZAWADI YA GARI KWENYE BIRTHDAY YAKE
STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' amemzawadia gari aina ya Nissan Murano mpenzi wake Wema Isaac Sepetu katika bethidei yake jana.
9 years ago
VijimamboAUDIO : LEMBELI AELEZA HATMA YAKE BAADA YA KUUKOSA UBUNGE, AJIBU TETESI JUU YAKE IKIWEMO YA KUUZA REDIO YAKE
Aliyekuwa mgombea ubunge wa jimbo la Kahama Mjini, James Lembeli ameelezea kinachoendelea katika maisha yake ya kisiasa hasa baada ya kushindwa katika uchaguzi wa mwaka huu akiwa ndani ya chama chake kipya cha Chadema.
Akiongea katika taarifa rasmi kwa wananchi wa jimbo hilo, Lembeli amesema kuwa hivi sasa atajikita zaidi katika shughuli za chama chake pamoja na shughuli alizokuwa akizifanya kabla ya kuwa mbunge wa jimbo hilo.
Alisema kuwa ataendelea kufanya kazi zake na mashirika ya kimataifa...
11 years ago
CloudsFM16 Jul
YOUNG KILLER ATUMIA BAJETI NDOGO KWENYE VIDEO YA NGOMA YAKE YA ‘MY POWER’
Video ya Msanii wa Hip Hop,Young Killer iitwayo ‘The Power’imeelezwa kuwa ni video iliyotumia gharama ndogo pengine kuliko video za wasanii wote wa Kibongo.Aidha wasanii wanaongoza kwa kutumia gharama kubwa kwenye kutengeneza video zao ni pamoja na Diamond, Ommy Dimpoz, Sheta, Linah , Navy Kenzo, Weusi ila diamond ametajwa kuongoza kwa kutumia bajeti kubwa zaidi.Huyu hapa Young Killer anafunguka kwanini ngoma yake imetumia gharama ndogo.
9 years ago
Bongo516 Sep
Picha: Madee amzawadia Dogo Janja gari kwenye birthday yake
10 years ago
GPLKIBAKA ALA KICHAPO KWA WIZI WA TAA ZA GARI UPANGA, DAR
11 years ago
GPLAJALI TANDALE; WEZI WAIBA MILANGO, TAA ZA GARI NA KUWAPORA WAPITA NJIA