Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha: Madee amzawadia Dogo Janja gari kwenye birthday yake

Dogo Janja a.k.a Janjaro amezawadiwa gari katika siku ya kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa Sept 15. Zawadi hiyo ya gari imetoka kwa Madee ambaye ndiye mlezi wake kimuziki kwa muda mrefu. Dogo Janja ambaye sasa amefikisha miaka 21 ameshare picha Instagramakikabidhiwa gari hiyo. “Muwakilishi Wa Mshua Alikuwa @dicksound1 Tajiri Yangu,Moja Ya Watu Wa Karibu […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

DIAMOND AMZAWADIA WEMA ZAWADI YA GARI KWENYE BIRTHDAY YAKE

STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' amemzawadia gari aina ya Nissan Murano mpenzi wake Wema Isaac Sepetu katika bethidei yake jana.

 

11 years ago

Bongo5

Video: Madee azungumzia sababu iliyofanya amsamehe Dogo Janja

Hivi karibuni, Tip Top Connection iliamua kumrejesha tena kundini mwana mpotevu, Dogo Janja aliyeondoka mwaka 2012 baada ya kushindwa kuelewana na Madee. Dogo Janja aliongea maneno mengi yaliyomfanya Madee aonekane mtu mbaya jambo ambalo lilimchukua muda mrefu Madee kurudisha tena moyo wake kwa rapper huyo wa Arusha. Madee ameiambia Bongo5 kuwa kabla ya kukubali arejee […]

 

10 years ago

Bongo5

Madee atoa sababu ya kubadili ratiba ya ujio mpya wa Dogo Janja

Msanii wa muziki kutoka Tip Top Connection, Madee ambaye aliwaahidi mashabiki wa kundi hilo kuwa Dogo Janja ataachia wimbo hivi karibuni, amedai ameahirisha mpango huo kutokana na kuingiliana kwa ratiba nyingine. Akizungumza na Bongo5 leo, Madee amesema imelazimika Dogo Janja asubiri kwakuwa kuna wimbo aliofanya akiwa na Chege na Temba Afrika Kusini unayohitajika kutoka mapema […]

 

9 years ago

Bongo5

Madee kumrudisha shule tena Dogo Janja? Jibu hili hapa

Madee amesema hajalitupilia mbali suala la kumrudisha Dogo Janja shule. Hata hivyo amesema anachoangalia kwa sasa ni ujio wa ngoma yake [Dogo Janja] mpya. “Sitaki kusema eti nimeamua kukauka moja kwa moja asirudi shule,” alikiambia kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio wiki hii. “Vipo vingi ambavyo sasa hivi anaviongelea, ambavyo vipo kwenye plan, lakini […]

 

9 years ago

Bongo5

Dogo Janja: Naogopa kumwanika mpenzi wangu kwenye mitandao

Rapper wa Tip Top Connection, Dogo Janja amesema yeye ni miongoni mwa watu ambao hawawezi kuwaweka wazi wapenzi wao kwenye mitandao. Dogo Janja ameiambia Bongo5 kuwa kitu anachoogopa ni kuanza kutupiana maneno wakati wanapoachana. “Unajua mapenzi ya kwenye mitandao ukigombana tu na mpenzi wako au mkikosana, watu wataanza kutupiana maneno ingawa kwa watu wengine haitokei,” […]

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Maromboso aogeshwa ndoo ya tope kwenye birthday yake!

Ukisherehekea siku yako ya kuzaliwa siku hizi inabidi ujiandae kuoga bila kupenda. Bahati mbaya hutaishia kuoga maji tu, bali utaogeshwa na kila aina ya kimininika hususan pombe – wanaziita ndoo! Lakini muimbaji wa kundi la Yamoto Band, Maromboso ambaye jana alisherehekea siku yake ya kuzaliwa alimwagiwa ndoo ya tope! “aaaaah!!!!..imenifanya kama”John Rambo” ..ikipita yangu ya […]

 

11 years ago

GPL

DIAMOND AMZAWADIA MAMA YAKE GARI LA MILIONI 38

Toyota Lexus New Model yenye thamani ya milioni 38.1 aliyozawadiwa mama Diamond na mwanaye. Muonekano wa gari hilo kwa nyuma. STAA wa Bongo Fleva, Nasib Abdul 'Diamond Platnumz' amefanya kufuru kwa kumzawadia gari mama yake mzazi, Sanura Kassim 'Sandra'. Diamond amemzawadia gari mama yake wakati wa bethidei ya kutimiza miaka 55 hapo jana katika hafla iliyohudhuriwa na mastaa kibao. Gari… ...

 

10 years ago

Bongo Movies

Lulu Amzawadia Nyumba Mama Yake Kwenye Siku Yake ya Kuzaliwa

Mrembo na mwigizaji wa filamu, Elizabeth Michael, ‘Lulu’siku ya jana alimfanyia sherehe mama yake mzazi kwa kufikisha miaka 45 ya kuzaliwa ilyofanyika  kwenye hoteli ya Great Wall, Masaki ambapo mastaa kadhaa wa hapa bongo walihudhuria sherehe hiyo ambapo inadaiwa kuwa mbali kuandaa sherehe hizo mwanadada Lulu alimzawadia jumba mama yake ambayo inasemekana ipo Kimara hapa jijini Dar.

Hii ni kwa mijibu wa mwigizaji Flora Mvungi “H mama”ambae ni moja kati ya mastaa kadhaa waliohudhuria...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani