Picha: Maromboso aogeshwa ndoo ya tope kwenye birthday yake!
Ukisherehekea siku yako ya kuzaliwa siku hizi inabidi ujiandae kuoga bila kupenda. Bahati mbaya hutaishia kuoga maji tu, bali utaogeshwa na kila aina ya kimininika hususan pombe – wanaziita ndoo! Lakini muimbaji wa kundi la Yamoto Band, Maromboso ambaye jana alisherehekea siku yake ya kuzaliwa alimwagiwa ndoo ya tope! “aaaaah!!!!..imenifanya kama”John Rambo” ..ikipita yangu ya […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo516 Sep
Picha: Madee amzawadia Dogo Janja gari kwenye birthday yake
11 years ago
GPL06 May
10 years ago
CloudsFM29 Sep
DIAMOND AMZAWADIA WEMA ZAWADI YA GARI KWENYE BIRTHDAY YAKE
STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' amemzawadia gari aina ya Nissan Murano mpenzi wake Wema Isaac Sepetu katika bethidei yake jana.
9 years ago
Bongo521 Nov
Kylie Jenner ampiga chini Tyga kwenye birthday yake
![Tyga and Kylie](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Tyga-and-Kylie-300x194.jpg)
Couple ya mrembo Kylie Jenner na rapper Tyga inasemekana imevunjika.
Kwa mujibu wa TMZ, couple hiyo imevunjika baada ya kutokea ugomvi mkubwa ambao Tyga ndio chanzo.
Kylie amempiga chini Tyga siku ya Alhamisi NOV.19, siku ambayo Tyga alikuwa akisherehekea birthday yake ya 26 na marafiki mbalimbali wakiwemo A$AP Rocky, Wiz Khalifa, Jamie Foxx na Leonardo DiCaprio, lakini Kylie hakuonekana, wala yeye na dada zake hawakum-wish happy birthday kwenye mitandao ya kijamii.
Vyanzo vingine vimesema...
9 years ago
Bongo514 Nov
Mo Music kuachia single mpya ‘Skendo’ kwenye birthday yake Nov.14
![Mo Music skendo](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Mo-Music-skendo-300x194.jpg)
Msanii aliyewashtua mashabiki wa muziki wa Bongo Fleva kwa single yake ya kwanza ‘Basi Nenda’ mwaka jana, ambayo ilikuja kuwa kama ‘wimbo wa taifa’ kwa jinsi ilivyokubalika, Mo Music anarudi na single mpya iitwayo ‘Skendo’.
Novemba 14 ni birthday ya mwimbaji huyo ambaye jina lake halisi ni Moshi Katemi kutoka Mwanza, na ndio ameichagua kuwa siku ya kuiachia single hiyo ya tano baada ya ‘Nitazoea’.
‘Skendo’ imeandikwa na kutayarishwa na producer Lollipop ambaye ndiye aliyehusika na uandishi...
10 years ago
VijimamboDJ SEIF ANAWAALIKA KWENYE BIRTHDAY YAKE JUMAMOSI HII SAFARI CLUB
Kufika kwako ndio kufanikisha Bash hii itakayokufanya kumalizia wiki ya Thanksgiving kwa bash la nguvu ndani ya kiota kinachoongoza Afrika mashariki kilichopo Washington, DC anuani ni 4306 Georgia Av, NW, Washington, DC 20011
KARIBUNI
11 years ago
CloudsFM17 Jul
SHETA AOGESHWA MAJI YA UKOKO SIKU YAKE YA KUZALIWA
Staa wa Bongo Fleva,Sheta alijikuta katika wakati mgumu baada ya kumwagiwa maji ya ukoko na wasanii wenzake siku ya kuzaliwa kwake jana.
Kisanga hicho kilimkumba jana wakati alipohudhulia futari iliyoandaliwa na Tanzania House of Tatent(THT)baada ya watu kufuturu nay eye kuingia ndipo walipomuita pembeni kama wanaongea naye kilichotokea hapo ni kumwagiwa maji ya ukoko yaliyokuwa yamelowekwa kwenye masufuria.