Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHETA AOGESHWA MAJI YA UKOKO SIKU YAKE YA KUZALIWA

Staa wa Bongo Fleva,Sheta alijikuta katika wakati mgumu baada ya kumwagiwa maji ya ukoko na wasanii wenzake siku ya kuzaliwa kwake jana.Kisanga hicho kilimkumba jana wakati alipohudhulia futari iliyoandaliwa na Tanzania House of Tatent(THT)baada ya watu kufuturu nay eye kuingia ndipo walipomuita pembeni kama wanaongea naye kilichotokea hapo ni kumwagiwa maji ya ukoko yaliyokuwa yamelowekwa kwenye masufuria.

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Lulu Amzawadia Nyumba Mama Yake Kwenye Siku Yake ya Kuzaliwa

Mrembo na mwigizaji wa filamu, Elizabeth Michael, ‘Lulu’siku ya jana alimfanyia sherehe mama yake mzazi kwa kufikisha miaka 45 ya kuzaliwa ilyofanyika  kwenye hoteli ya Great Wall, Masaki ambapo mastaa kadhaa wa hapa bongo walihudhuria sherehe hiyo ambapo inadaiwa kuwa mbali kuandaa sherehe hizo mwanadada Lulu alimzawadia jumba mama yake ambayo inasemekana ipo Kimara hapa jijini Dar.

Hii ni kwa mijibu wa mwigizaji Flora Mvungi “H mama”ambae ni moja kati ya mastaa kadhaa waliohudhuria...

 

10 years ago

CloudsFM

PETIT MAN AMFANYIA ‘’SURPRISE’DADA YAKE DIAMOND KWENYE SIKU YAKE YA KUZALIWA

Meneja wa msanii wa Bongo Fleva,Mirror,Petit Man kutoka kampuni ya Endless Fame chini yake Wema Sepetu jana alimfanyia Surprise mke wake ambaye ni dada yake aitwaye Esma Platinumz kwa kumzawadia zawadi ya gari kwenye sherehe yake ya kuzaliwa iliyofanyika Samaki Samaki maeneo ya Masaki.Katika Sherehe iliyohudhuliwa na mastaa kibao akiwemo Wema Sepetu,Petit Man wakati akimzawadia mke wake huyo hakuamini na kuanza kulia kwa furaha. Kupitia Instagram Esma aliandika hivi....Thank u my husband for...

 

9 years ago

Michuzi

JK ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA NA WAJUKUU

KekiWajukuu wakimchukua babu wakamwimbie na kukata naye kekiMjukuu akiogoza wajukuu wenzie kumwimbia babuWajukuu wakimwimbia babu...Happy Birthday to youuuuu...Babu akikata keki huku wajukuu wakiisubiri kwa hamu.Kwa picha zaidi BOFYA HAPA


 

11 years ago

GPL

H.BABA ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA

H.Baba na mke wake, Florah Mvungi wakilishana keki. Florah Mvungi akiwa na mtoto wake Tanzanite. H.Baba akimlisha keki mama yake. Mke wake H.Baba, Florah Mvungi  akiwa…

 

10 years ago

GPL

WEMA SEPETU ASHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA

Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ akijiandaa kukata keki yake ya siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake Kijitonyama. Wema Isaac Sepetu akiongea na wageni wake (hawapo pichani) kabla ya kukata Ndafu.…

 

10 years ago

GPL

NASRA WA GLOBAL ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA

Msanifu Kurasa Mkuu wa Global Publishers, Nasra Nassor (kulia) akikata keki ya kuzaliwa kwake. Keki ya siku ya kuzaliwa ya Nasra. Mhariri Kiongozi wa Magazeti Pendwa ya Global Publishers, Oscar Ndauka akilishwa keki.…

 

10 years ago

Vijimambo

ZAINABU 'IKOTA' MHAMILA ASHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA

Zainabu 'IKOTA' Mhamila kushoto akimlisha keki mama yake mzazi Asha Kamnyanga wakati wa kusherekea siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika juzi nyumbani kwao buguruni LozanaZainabu 'Ikota' mhamila 'Super D' akiwa katika pozi uku akiwa na keki yakeZainabu 'Ikota' mhamila 'Super D' akiwa katika picha ya pamoja na rafikizake siku ya kusherekea siku yake ya kuzaliwaZainabu 'IKOTA' Mhamila kushoto akimlisha keki mama yake mzazi Asha Kamnyanga wakati wa kusherekea siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika...

 

11 years ago

Dewji Blog

Shy Rose Bhanji asherehekea siku yake ya kuzaliwa

Untitled 1

Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Shy Rose Bhanji katikati akipokea keki kutoka kwa ndugu jamaa na marafiki zake wakati wa tafrija maalum ya kumpongeza baada ya kutimiza miaka yake kadhaa katika ulimwengu huu Mei 3, 2014. Tafrija hiyo ilifanyika nyumbani kwake Bweni Dar es Salaam. (Photos by: MD Digital Company +255 755 373999).

Birthday Girl! Shy-Rose akikata akijiandaa kukata keki…

Marafiki zake wa karibu ambao pia ni Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ester...

 

9 years ago

Bongo5

Stamina asherehekea siku yake ya kuzaliwa na wimbo mpya ‘Mr Bonventure’

12237338_1516367548673634_1513271570_n

Rapper Stamina Jumamosi hii anasherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuachia wimbo mpya uitwao Mr Bonventure unaoelezea historia ya maisha yake kama bonus kwa mashabiki wake.

12237338_1516367548673634_1513271570_n

Stamina ameiambia Bongo5 kuwa amefanya hivyo ili mashabiki wajue ni jinsi gani walivyobadili maisha yake.

“Nashukuru Mungu, media pamoja na mashabiki wangu. Huu wimbo niliotoa ni kwa ajili yao kama bonus track, unaelezea maisha yangu kwa ujumla na kazi yangu official itatoka hivi karibuni. Kwahiyo wimbo tayari upo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani