Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DJ SEIF ANAWAALIKA KWENYE BIRTHDAY YAKE JUMAMOSI HII SAFARI CLUB

 Dj Seif kotoka Maryland, USADj Seif anawaalika wadau wote siku ya Jumamosi Novemba 29, 2014 kwenye Bash ya siku yake ya kuzaliwa itakayofanyika Safari Club kuanzia saa 3 usiku mpaka saa 9 alfajiri

Kufika kwako ndio kufanikisha Bash hii itakayokufanya kumalizia wiki ya Thanksgiving kwa bash la nguvu ndani ya kiota kinachoongoza Afrika mashariki kilichopo Washington, DC anuani ni 4306 Georgia Av, NW, Washington, DC 20011

KARIBUNI

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

BIRTHDAY BASH YA DJ SEIF SAFARI CLUB NI SHEEEDAH

 Wadau mbalimbali wakipata picha na Birthday Boy Dj Seif kwenye bash ya siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika siku ya Jumamosi Novemba 29,2014 ndani ya kiota cha maraha na burudani ya kumwaga Safari Club iliyopo Washington, DC.
Wadau mbalimbali wakipata picha na Birthday Boy Dj Seif ndani ya kiota cha Safari club siku ya Jumamosi kwenye bash ya siku yake ya kuzaliwa.Rehema  akipata picha na Birthday Boy Dj Seif.Wadau kutoka kushoto ni Halima , Aminata na Melisa wakipata picha na Dj Seif.Julius...

 

10 years ago

Vijimambo

SAFARI CLUB THE NUMBER ONE EAST AFRICAN CLUB KESHO IJUMAA, JUMAMOSI NA SUNDAYS REGGAE PLUS

LUKE MUSIC FACTORY INVITES YOU FRIDAY, SATURDAY AND SUNDAY REGGAE NIGHT @ CLUB SAFARI WASHINGTON, THE BEST AFRICAN SPOT IN DMV 4306 GEORGIA AVE, NW FROM 9PM-3AM COME AND MINGLE WITH YOUR FRIENDS MUSIC BY DJ SEIF
NO COVER CHARGE



 

10 years ago

Vijimambo

KARIBU SAFARI CLUB THE NUMBER ONE EAST AFRICAN CLUB INDMV AREA KILA SIKU YA IJUMAA NA JUMAMOSI

FRIDAY & SATURDAY NIGHT JAM @ CLUB SAFARI WASHINGTON, THE BEST AFRICAN SPOT IN DMV 4306 GEORGIA AVE, NW FROM 9PM-3AM COME AND MINGLE WITH YOUR FRIENDS MUSIC BY DJS MOE P CITY
NO COVER CHARGE

 

10 years ago

Vijimambo

NEW YEAR EVE NA DJ SEIF NDANI YA SAFARI CLUB ILIVYO LINDIMA

Dj Seif akiwa na poromota DMK katika kuhamasisha wadau waliofika Sfari Club kuaga mwaka 2014 siku ya Jumatano Desemba 31, 2014.Club Safari ikiwa imepambwa kwa ajili ya kuukaribisha mwaka 2015.Walimbwende wakipata picha ya pamoja huku wakisubili kuukaribisha mwaka mpya.Wadau wakiruka rumba ndani ya Safari clubWadau wakijinafasi na mkesha wa mwaka mpyaKwa picha zaidi bofya soma zaidi

 

11 years ago

GPL

CHRISTIAN BELLA, AOMBA KUSHIRIKI TAMSHA LA GURUMO JUMAMOSI HII TCC CLUB

Christian Bella kutoka Malaika Music Band. MWIMBAJI anayesadikika kuwa na sauti tamu zaidi kwa sasa, Christian Bella kutoka Malaika Music Band, amesema atashiriki tamasha la Gurumo litakalofanyika Jumamosi hii kwenye viwanja wa TCC Club Chang’ombe. Mratibu wa tamasha hilo, Juma Mbizo amesema Christian Bella, ameomba awekwe kwenye ratiba ya waburudishaji ambapo atapanda kuimba japo wimbo mmoja kama ishara ya kuonyesha...

 

10 years ago

Vijimambo

SAFARI CLUB IJUMAA HII MAY MOSI NI USIKU MAALUM WA MUZIKI WA WAZEE

Karibu tukumbe enzi zile za White House Kimara muziki wa Kamanyola kucheza bila jasho, Marashi ya Pemba, King Kikii na nyingine nyingi enzi za rangi ya chungwa FRIDAY NIGHT JAM @ CLUB SAFARI WASHINGTON, DC THE BEST AFRICAN SPOT IN DMV 4306 GEORGIA AVE, NW FROM 9PM-3AM COME AND MINGLE WITH YOUR FRIENDS MUSIC BY DJ LUKE
NO COVER CHARGEWazee tuzikumbuke enzi za Banda Beach Kigamboni
Karibuni sana Ijuma May MosiSafari Club

 

10 years ago

Michuzi

SIMBA SPORT CLUB YAJA NA JIPYA TENA, SAFARI HII KUBWA KULIKO…

Simba SCAfisa Mtendaji Mkuu wa Eaggroup Iman Kajula Akizungumza wakti wa Kuzindua Mpango wa Kuuza Vifaa vya simba Kupitia Duka la Mtandao akiwa Sambama na Rais wa Simba  Evans Aveva Pamoja na Msemaji wa Simba Sport Club

Klabu ya Simba kwa kushirikiana na Jumia wamezindua huduma ya kununua jezi za Simba 2015 – 2016 kupitia duka la mtandao la Jumia www.jumia.co.tz . Dhumuni la huduma hii ni kuwapatia wapenzi wa klabu ya Simba njia bora ya kuweza kununua jezi popote walipo Tanzania.Kupitia mtandao imara...

 

11 years ago

CloudsFM

WASANII WAMWALIKA RAIS KWENYE UZINDUZI WA KAMPENI YA ‘NAIAMINIA TANZANIA’,JUMAMOSI HII KWENYE UWANJA WA JAMHURI, DODOMA

Naiminia Tanzania ndiyo habari ya mjini, weekend hii siku ya Jumamosi ndani ya uwanja wa Jamhuri,Mkoani Dodoma wasanii wa fani mbalimbali hapa nchini wameandaa ufunguzi wa kampeni kubwa inayoitwa ‘Naiaminia Tanzania’.Ambayo ni muendelezo wa ile ngoma yao ya miaka 50 ya tanzania, ambayo waliirekodi wasanii 50, wakashuti na video.Msanii wa Bongo Fleva,Mwana FA pamoja na Nikki Wa Pili watatoa speech mbele ya mgeni rasmi, Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, rais wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani