Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BIRTHDAY BASH YA DJ SEIF SAFARI CLUB NI SHEEEDAH

 Wadau mbalimbali wakipata picha na Birthday Boy Dj Seif kwenye bash ya siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika siku ya Jumamosi Novemba 29,2014 ndani ya kiota cha maraha na burudani ya kumwaga Safari Club iliyopo Washington, DC.
Wadau mbalimbali wakipata picha na Birthday Boy Dj Seif ndani ya kiota cha Safari club siku ya Jumamosi kwenye bash ya siku yake ya kuzaliwa.Rehema  akipata picha na Birthday Boy Dj Seif.Wadau kutoka kushoto ni Halima , Aminata na Melisa wakipata picha na Dj Seif.Julius...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

DJ SEIF ANAWAALIKA KWENYE BIRTHDAY YAKE JUMAMOSI HII SAFARI CLUB

 Dj Seif kotoka Maryland, USADj Seif anawaalika wadau wote siku ya Jumamosi Novemba 29, 2014 kwenye Bash ya siku yake ya kuzaliwa itakayofanyika Safari Club kuanzia saa 3 usiku mpaka saa 9 alfajiri

Kufika kwako ndio kufanikisha Bash hii itakayokufanya kumalizia wiki ya Thanksgiving kwa bash la nguvu ndani ya kiota kinachoongoza Afrika mashariki kilichopo Washington, DC anuani ni 4306 Georgia Av, NW, Washington, DC 20011

KARIBUNI

 

10 years ago

Vijimambo

NEW YEAR EVE NA DJ SEIF NDANI YA SAFARI CLUB ILIVYO LINDIMA

Dj Seif akiwa na poromota DMK katika kuhamasisha wadau waliofika Sfari Club kuaga mwaka 2014 siku ya Jumatano Desemba 31, 2014.Club Safari ikiwa imepambwa kwa ajili ya kuukaribisha mwaka 2015.Walimbwende wakipata picha ya pamoja huku wakisubili kuukaribisha mwaka mpya.Wadau wakiruka rumba ndani ya Safari clubWadau wakijinafasi na mkesha wa mwaka mpyaKwa picha zaidi bofya soma zaidi

 

10 years ago

Vijimambo

BIRTHDAY BASH YA VINCENT NI BALAA

Bityhday Boy Vincent akipata picha na Ghati siku ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika Ellicott City siku ya Jumamosi Januari 3, 2015BVincent katika picha ya pamoja na Loveness.Vincent akipata chakula.Vincent akifungua dansi na Edah.Mgeni mwalikwa akiwa katika pichaMpwa katika picha na kadogoo.Iska katika pozi.Mkuu wa utawala na Fedha Ubalozi wa Tanzania nchini Marekami akiwa mmoja ya wageni waalikwa. Picha na Aloyce Mbullu mwakilishi wa Vijimambo Maryland.Kwa picha zaidi bofya...

 

10 years ago

Vijimambo

PICHA ZINGINE BIRTHDAY BASH YA VINCENT, ELLICOTT CITY, MARYLAND

Birthday Boy Vincent akiwa katika picha siku ya Jumamosi Januari 3, 2015 Ellicott City, Maryland nchini Marekani.Juu na chini ni watoto wakisema yao ya moyoni kuhusu birthday boy.Watoto wakipasua jipu.Watoto wakiendelea kutoa yao ya moyoniJipu likiendelea kupasuliwa.Edah nae akitoa yake ya rohoni.Vincent akiongea nae na kushukuru yote yaliyosemwa.Picha zote na Aloyce Mbullu mwakilishi wa Vijimambo Maryland.Kwa picha zaidi bofya soma zaidi

 

10 years ago

Vijimambo

SATURDAY NIGHT JAM AT SESKA PLUS MAMA ALICE BIRTHDAY BASH

This Saturday Nov 22, 2014 from 9pm - 3 am At Seska Lounge Saturday Night Jam plus Mama Alice Birthday Bash
Add 2017 Veirs Mill Rd, Rockville, MD
Music by The Mix Master Dj Luke.

 

10 years ago

Vijimambo

BREAKING NEEEEEEWWZZZZ OMMY DIMPOZ BIRTHDAY BASH YA CCM NEW YORK FEB 21

             JE NI MSANII GANI ATAKAYE WARUSHA ROHO KWENYE BIRTHDAY BASH YA CCM NEW YORK FEB 21?????..                     
""AIN'T NO PARTY LIKE A NEW YORK PARTY""                                                   Tuungane Tuiline Tanzania Yetu


                          
                                         UKUMBI WA RICHI RICH PALACE KWA NJE                          
                                     UKUMBI UNAVYOONEKANA KWA NDANI
                          
                               ...

 

10 years ago

Vijimambo

Black &White 55th Birthday Bash ya Asia Idarous Khamsin Desemba 24

 Na Andrew Chale
WABUNIFU wa Mavazi wachanga na chipukizi wamemwandalia Sherehe za kuzaliwa ya Mama wa Mitindo, Asia Idarous Khamsin, zitakazofanyika usiku wa Desemba 24, ndani ya ukumbi wa M.O.G Bar (Nyumbani Lounge) huku ikisindikizwa na Spice Modern Taarab pamoja na Mini fashion show.
Katika usiku huo maalum, kiingilio ni sh 5,000, huku vazi maalum likiwa Black & White, ambapo pia wadau watakaojumuika na Mama wa Mitindo, watapata burudani kali ya muziki kutoka kundi hilo la Spice Modern...

 

10 years ago

Michuzi

Black &White Bash 55th Birthday party ya Asia Idarous Khamsin Desemba 24

Na Andrew ChaleWABUNIFU wa Mavazi wachanga na chipukizi wamemwandalia Sherehe za kuzaliwa ya Mama wa Mitindo, Asia Idarous Khamsin, zitakazofanyika usiku wa Desemba 24, ndani ya ukumbi wa M.O.G Bar (Nyumbani Lounge) huku ikisindikizwa na Spice Modern Taarab pamoja na Mini fashion show.
Katika usiku huo maalum, kiingilio ni sh 5,000, huku vazi maalum likiwa Black & White, ambapo pia wadau watakaojumuika na Mama wa Mitindo, watapata burudani kali ya muziki kutoka kundi hilo la Spice Modern...

 

10 years ago

Vijimambo

Usiku wa Black &White 55th Birthday Bash ya Asia Idarous Khamsin wafana

NA ANDREW CHALE
SHEREHE maalum ya kuzaliwa ya kutimiza miaka 55 ya kuzaliwa kwa Mama wa Mitindo, Asia Idarous Khamsin ‘Black &White 55th Birthday Bash’ usiku wa Desemba 24 ulifana huku Spice Modern Taarab wakikonga nyoyo wadau mbalimbali waliojitokeza ndani ya M.O.G Bar (Zamani Nyumbani Lounge) katika tafrija hiyo.
Sherehe hizo zilizoandaliwa na Wabunifu wa mavazi wachanga na wanaochipukia nchini, uliojulikana kama ‘Black &White 55th Birthday Bash Asia Idarous Khamsin’ ambapo wadau...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani