Mo Music kuachia single mpya ‘Skendo’ kwenye birthday yake Nov.14
Msanii aliyewashtua mashabiki wa muziki wa Bongo Fleva kwa single yake ya kwanza ‘Basi Nenda’ mwaka jana, ambayo ilikuja kuwa kama ‘wimbo wa taifa’ kwa jinsi ilivyokubalika, Mo Music anarudi na single mpya iitwayo ‘Skendo’.
Novemba 14 ni birthday ya mwimbaji huyo ambaye jina lake halisi ni Moshi Katemi kutoka Mwanza, na ndio ameichagua kuwa siku ya kuiachia single hiyo ya tano baada ya ‘Nitazoea’.
‘Skendo’ imeandikwa na kutayarishwa na producer Lollipop ambaye ndiye aliyehusika na uandishi...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPLMO MUSIC ASHEREHEKEA ‘BIRTHDAY’ NA KUACHIA NGOMA MPYA
9 years ago
Bongo511 Nov
Mo Music apanga kumtumia Lulu kwenye video yake mpya
![mo music](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/mo-music-300x194.jpg)
Hitmaker wa Basi Nenda, Mo Music amesema anajipanga kufanya mazungumzo na muigizaji Elizabeth ‘Lulu’ Michael ili awe mrembo kwenye video yake inayokuja.
Muimbaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa Lulu ni muigizaji mzuri anayeweza kucheza vizuri katika video hiyo.
“Plan zipo za kumtumia, sema bado sijazungumza naye lakini ipo kwenye mpango wa kufanya naye mazunguzo,” amesema Mo.
“Lulu ni muigizaji mzuri sana na pia namkubali kazi zake ndio maana nikaona kama akikaa kwenye project yangu mpya itakuwa...
9 years ago
Bongo514 Nov
Music: K.O aachia wimbo mpya ‘Ding Dong’ kutoka kwenye album yake
![K.O](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/K.O-300x194.jpg)
Rapper wa Afrika Kusini K.O aka Cashtime ameachia wimbno mpya ‘Ding Dong’ kutoka kwenye album yake iitwayo ‘Skhanda Republic’.
K.O alisema video ya wimbo huu anategemea kuiachia mwishoni mwa mwezi huu.
Miezi michache iliyopita K.O ambaye amewahi kushirikishwa kwenye wimbo wa Vanessa Mdee ‘ No Body But Me’ alikuja Tanzania kufanya media tour.
Ding Dong | tayotv Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose...
9 years ago
Bongo505 Oct
Davido atangaza tarehe mpya ya kuachia album yake mpya ‘Baddest’
9 years ago
Bongo520 Oct
Joh Makini, G-Nako na Nikki Wa Pili kuachia single 3 mpya wiki Ijayo, 2 zimefanyiwa video na Justin Campos
9 years ago
Bongo509 Nov
One The Incredible kuachia album yake mpya
![One Incredible](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/11/One-Incredible-300x194.jpg)
Rapper One The Incredible amesema yupo kwenye maandalizi ya kuachia album yake mpya ambayo bado hajaipa jina.
One ameiambia Bongo5 kuwa album hiyo ataifanya iwe bora ili kuhakikisha kuwa mashabiki wake wanapata kitu chenye ubora wa hali ya juu.
“Sasa nina nyimba 18 tayari nimesharekodi na bado ninaendelea kurekodi ndio nianze kupanga ipi itoke na ipi ibaki. Lakini najua na ninajipanga vizuri album iwe kali kila mwenye bahati ya kuwa nayo anufaike na kile nilichokifannya. Na mpaka sasa hivi...