YOUNG KILLER ATUMIA BAJETI NDOGO KWENYE VIDEO YA NGOMA YAKE YA ‘MY POWER’
Video ya Msanii wa Hip Hop,Young Killer iitwayo ‘The Power’imeelezwa kuwa ni video iliyotumia gharama ndogo pengine kuliko video za wasanii wote wa Kibongo.
Aidha wasanii wanaongoza kwa kutumia gharama kubwa kwenye kutengeneza video zao ni pamoja na Diamond, Ommy Dimpoz, Sheta, Linah , Navy Kenzo, Weusi ila diamond ametajwa kuongoza kwa kutumia bajeti kubwa zaidi.
Huyu hapa Young Killer anafunguka kwanini ngoma yake imetumia gharama ndogo.
CloudsFM
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo522 Oct
Young Killer atoa sababu za ngoma yake na Maua Sama ‘Do For Me’ kubuma
Young Killer Msodoki amekiri kuwa single yake ‘Do For Me’ aliyomshirikisha Maua Sama imebuma. Kama ilivyo kawaida kwa wasanii wengi kama sio wote ambao huwa hawakosi sababu pale nyimbo zao zinaposhindwa kufanya vizuri, Msodoki pia ametoa sababu za wimbo huo kukosa baraka za mashabiki. Akizungumza na Planet Bongo ya EA Radio, Msodoki amesema sababu kubwa […]
11 years ago
Bongo507 Jul
Young Killer kuachia video ya wimbo ‘My Power’,july 12
Msanii wa muziki wa Hip Hop, Young Killer Msodoki amefunguka kwa kusema kuwa siku ya ijumaa july 12 anatarajia kuachia video ya wimbo ‘My Power’ ambayo imetengenezwa na director mpya Jackson Joakim . Akizungumza na bongo5 , Young Killer, amesema video ya My Power ni video nzuri kiasi chake ambayo haijamgharimu pesa nyingi. “My Power […]
11 years ago
GPL13 Jul
9 years ago
Bongo502 Nov
Stamina aondoa utata kuhusu Young Killer kuziba nafasi ya Young D kwenye Mtu Chee
![mtu chee2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/mtu-chee2-94x94.jpg)
11 years ago
Michuzi18 Feb
11 years ago
Bongo520 Jul
Young Killer afunga ndoa ….. kwenye kava la single mpya ‘Umebadilika’
Ukimuuliza Young Killer utaoa lini? Huenda akawa na jibu tofauti kidogo na lile la Mwana FA. At least July 22 atakapoachia single yake mpya ‘Umebadilika aliyomshirikisha Banana Zorro, anaweza kukujibu ‘bado nipo nipo kidogo’. Kama lilivyo jina la single yake, yeye mwenyewe amebadilika pia kwakuwa ameamua kurekodi wimbo wake na producer Man Walter ambaye hajazoeleka […]
11 years ago
Bongo510 Aug
Young Killer alipigwa na mama yake mpaka kuzimia baada ya kugundulika anafanya muziki
Mama wa msanii wa muziki wa Hip Hop Young Killer Msodoki, amesema kuwa anafurahishwa sana na kipaji cha mtoto wake ambacho kinaendelea kuonekana siku hadi siku licha ya kwamba mwanzoni aliwahi kumkataza kwa kumpiga mwanaye huyo mpaka kuzimia ile aachane na muziki. Young Killer akiwa na mama yake Mama Msodoki alikuwa akizungumza na Bongo5 jana […]
10 years ago
Bongo511 Oct
New Music Video: Young Killer ft BananaZorro — Umebadilika
Young Killer Msodoki ameachia rasmi video ya wimbo wake ‘Umebadilika’ aliomshirikisha Banana Zorro. Video imeongozwa na director Hefemi.
10 years ago
GPL11 Oct
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania