Utekaji Albino, Hofu yaendelea kutanda kwa jamii.
Na Rogers Willium,
Mwanza.
Wakati jeshi la polisi nchini likihangaika kumtafuta mtoto Pendo Emanuel mwenye ulemavu wa Ngozi baada ya kutekwa na watu wasiofahamika desemba 27 mwaka jana, mtoto mwingine wa mwaka mmoja Yohana Bahati ametekwa mkoani Geita.
Mtoto huyo ametekwa usiku wa kuamkia siku ya jumatatu nyumbani kwao katika kijiji cha Ilelema Wilaya ya Chato na watu wasiofahamika.
Matukio yote haya yanafanyika ndani ya siku 50 na hivyo kuleta hofu katika jamii hususan kwa watu...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili28 Aug
Ebola:Hofu yaendelea kutanda A.Magharibi
10 years ago
BBCSwahili09 Dec
Albino bado wanaishi kwa hofu TZ
10 years ago
Tanzania Daima30 Aug
ACT: Udhaifu unachangia albino kuishi kwa hofu
MWENYEKITI wa Chama cha Alliance for Change and Transparence (ACT-Tanzania), Kadawi Limbu, amesema udhaifu wa serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika kuwalinda raia na mali zao kumechangia baadhi ya...
10 years ago
Habarileo26 Feb
Hoteli yahusishwa utekaji wa albino Pendo
MTOTO Pendo Emmanuel (4) mwenye ulemavu wa ngozi, aliyetekwa na kuchukuliwa na watu wasiojulikana nyumbani kwao wilayani Kwimba, imegundulika alihifadhiwa katika hoteli moja ya kifahari jijini Mwanza, kabla ya kukabidhiwa kwa watu wengine, walioondoka naye kusikojulikana.
10 years ago
StarTV26 Feb
Utekaji Albino, chunguzi waendelea dhidi ya wahusika Mwanza.
Na Ester Nangale,
Mwanza
Kukithiri kwa vitendo vya ukatili dhidi ya watu wenye ulemavu wa ngozi albinism umekuwa ni janga la kitaifa linalozidi kuleta hofu miongoni mwa jamii na kutishia kupotea sifa ya nchi ya Tanzania ya kisiwa cha amani.
Bado watu hawa wanadaiwa kuishi kwa hofu bila ya kuwa na uhakika wa kuiona kesho kutokana na vitendo hivi kukithiri na wahusika wa vitendo hivyo kushindwa kubainika na kuchukuliwa hatua stahiki ndani ya muda muafaka.
Walemavu wa ngozi wamezidi kupaza...
10 years ago
Mwananchi22 Feb
Hali ya mama wa Albino aliyeuawa yaendelea vizuri
9 years ago
StarTV26 Sep
Hofu yasababisha Albino kushindwa kuhudhuria mikutano ya kampeni.
Watu wenye ulemavu wa ngozi Albino mkoani Mara wamesema licha ya kuwa na haki ya kuhudhuria mikutano ya kampeni kusikiliza sera za wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi wamekuwa wakikosa fursa hiyo kutokana na kuhofia usalama wa maisha yao.
Wamesema licha ya Serikali na vyombo vingine kukemea vitendo wa kikatili wanavyofanyiwa watu wenye ulemavu wa ngozi ikiwemo kutekwa na kuuawa kikatili na kisha kunyofolewa baadhi ya viungo lakini bado kuna baadhi ya watu wanaendeleza vitendo hivyo...
10 years ago
Mwananchi22 Feb
SIMULIZI: Huzuni, hofu vyatesa familia ya albino aliyetekwa, kuuawa -2
10 years ago
Michuzi09 Jun
ZADIA YAENDELEA KUSAKA MAENDELEO YA USTAWI WA JAMII ZANZIBAR
![](http://www.zanzibardiaspora.go.tz/images/made/images/uploads/zadia_224_211_c1.gif)
Kwa vile kuwa na watu tu haitoshi kuleta maendeleo ya nchi, ndio maana ZADIA imelipa kipaumbele swala la afya na ustawi wa...